Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Nipe certificate ya mirembe basi ๐คฃ Mimi nafurahi kichaa wanao sema 1=3 wakinita sina akili. Wakapime vizuri akili zao 1=3 aje hapo.Labda kama huna akili au exposure ndiyo unaweza fikiri hivyo.
Iran atajibu tuu hatuna shaka na hiloMsikiti wa shehe tumbo tumefadhaishwa na kitendo cha Iran kuogopa kujibu mapigo. Hii ni aibu kubwa sana kwa Allah.
Shambulio la irani la October mosi .kwenye taswira ya dunia lilipeleka ujumbe huuShambulio lipi ndiyo au unazungumzia ilo shambulio la kiuoga kusave Netanyahu face kwa Dunia sasa kama shambulio la kulipa kisasi cha makombola 200 na kuhalibiwa ndege zako za kisasa F35 ndiyo lile la kiuoga kuna haja gani ya Iran kuwa na wasiwasi hakuna miundombinu yoyote iliyohaliniwa si viwanda vya mafuta wala nuclear power plants Zaid ya ngonjera ohooo tumelipiza ๐๐sawa je kuna madhara Gani ya wazi ukiacha maneno matupu ya wayahudi
Shambulio la irani la October mosi .kwenye taswira ya dunia lilipeleka ujumbe huuNani kakwambia Mimi ni muisilamu na umeona wapi nimeweka udini yangu hapo Mimi Sio mfia dini hizo za kizombi za western na Arabian Mimi nimependa facts ila wewe kwasababu ni popoma na upo unga kichwani unaleta dini ili kuuwa hoja zangu makini NB: MIMI SIO MFIA DINI leta hoja
Pili shambulio la Iran lilikua Sio kuuwa raia wasio na hatia kama afanyavyo Israel. jiulize kama alipiga Base zenye ulinzi angeshindwa kuyaelekeza makombola 200 kwenye maghorofa yeye alialibu Israel military assert Note: msikalili vita Sio kuuwa raia kama mlivyozoeshwa na Bibi Bali ni kulenga military za mpinzani kumlemaza kimedani kuuwa raia wasio na hatia ni uoga na Sio sifa sawa
Na hii ndiyo maana nikasema wewe upo unga kichwani
Sheikh wangu sipendi kuweka hizi links za kuonesha makafir wametushambulia lakini ngoja niweke tuEehheee Sasa nioneshe matokeo ya shambulio lililo haribu uwezo wote wa Iran wa makombora
Shambulio la irani la October mosi .kwenye taswira ya dunia lilipeleka ujumbe huu
1. Isreaeli defence force ni ya kawaida sana kwa nchi zenye miliatary za kisasa tofauti na mbwembwe za magharibi na misifa kedekede kuhusu isreli na wao wakavimba kichwa
2.Mifumo ya isreli sio ya kuminika tena na hivyo soko lake litadorora has kwa waarabu
3.waarabu wajitafarik kwenye kutoa mabillion ya hela kununua hiyo mifumo kuwa ndo kinga pekee ya ulizni wao
4.waaribu hawanaulinzi kama blinken alovyo waambiwa eti usa itawalinda tena kwa nchi ziliyoko kilometa 150 karibu na iran kama wameweza kulenga shabaha mbali wa kilometa 1500 na 2000
5.ulinzi wa isreli sio wa kuaminika na hivyo mabillioni ya uwekezJi hayawezi kuplekwa isreli kufunga viwanda vyenye high tech maan ni riski hamana billioneor atakayekubali kupeleka uwekezaji wa mana kwenye hali kama hii iliyopo isreli
6.Soko la Iran la slaa limepaa na heshima yao imekuwa kubwa dunia japo cnn na fox hawawezi kulisema hili
HiHa ha ha ha ha walisema wameharibu makombora yote ya Hezbollah cha ajabu Hezbollah wakaendelea kuwachapa na makombora hayo hayo mpaka wayahudi wakaomba pooo mchana kweupe
Ukweli mchungu ni kwamba Israeli level zake ni hamas tu
Hezbollah mara ya mwisho kurusha makombora kwenda Israel ilikua lini?Ha ha ha ha ha walisema wameharibu makombora yote ya Hezbollah cha ajabu Hezbollah wakaendelea kuwachapa na makombora hayo hayo mpaka wayahudi wakaomba pooo mchana kweupe
Ukweli mchungu ni kwamba Israeli level zake ni hamas tu
Sasa akili zitoke wapi hapo?Hiv ww unaakili kweli unapinga nn kwa Myahudi hata SATELLITE ZA IRANI Kuna mkono wa myahudi
Eti ilimu! HahahaSheikh hujui haya mambo wacha siye wenye ilimu duniya tukuelekeze. Si jambo baya kujifunza toka kwa wenye ilimu. Kaa kitako sheikh wangu nikujuze
Kwani yeye haogopi?Irani alianza kupiga , Israel akalipa,mbona huyo iran amekaa kimya???,kwa ubabe zaidi Israel amechukua maeneo ya Syria ambao ni washirika wa IRAN,na Bado anaendelea kupiga pale Palestina,Ina maanisha IRAN haoni??,kwa Nini kakaa kimya??
Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja.
Ndege za kijeshi za kizazi cha tano pekee za Israel, zenye uwezo wa ndege hizo kulingana na Admiral Tony Redkin, ni ndege za kivita za F35.
Hii ni mara ya kwanza kwa afisa wa ngazi ya juu wa jeshi kuzungumzia hadharani kuhusu aina ya ndege zilizotumika katika shambulio la Israel dhidi ya Iran na matokeo ya shambulio hilo.
ENDELEA KUSOMA HAPA CHINI ๐๐
Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu? Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu?
Iran ilipigwa kuliko hata ilivyotangazwa. Israel walisema hawatashambulia vituo vya nyuklia, lakini walikishambulia kituo kikubwa, kilichokuwa kwenye maficho, kwa kukiangamiza kabisa. Zile picha za satellite ilikuwa ni kama hakukuwahi hata kuwa na jengo. Iran imebakia kusomba maelfu ya tani za vifusi.Sisi wenye akili tulisema hili. Tuliona namna Iran ilivyonyong'onyea na kujitutumua kidogo.... Tunajua kile kipigo cha mayahudi kilituathiri sana mpaka hii leo. Na wale makafiri wanakupiga halafu wananyamaza wewe au wenzio ndo waseme. Mbwa kabisa wale. Iran ipo hoi kwa sasa.
Ritz Webabu na Adiosamigo inabidi tuangalie tunafanyaje katika hilo.
Subiri hata mwaka, Iran haiwezi kuishambulia tena Israel labda ishambuliwe kwanza.Hata Israeli ilichukua mwezi kuishambuli iran mzee vita hawakulupuki
Hakika mkuu tumeingopewa miaka mingi sana juu ya uwezo wa Israel kuizidi ety mpaka USA, NATO, Russia kwamba hao wote ni takataka mbele ya ilo taifa la wateule Israel what level of stupidity yaan umzidi mtu anayekuweka mjini(USA) kwa hali hii ninamashaka na ukweli juu Six day warShambulio la irani la October mosi .kwenye taswira ya dunia lilipeleka ujumbe huu
1. Isreaeli defence force ni ya kawaida sana kwa nchi zenye miliatary za kisasa tofauti na mbwembwe za magharibi na misifa kedekede kuhusu isreli na wao wakavimba kichwa
2.Mifumo ya isreli sio ya kuminika tena na hivyo soko lake litadorora has kwa waarabu
3.waarabu wajitafarik kwenye kutoa mabillion ya hela kununua hiyo mifumo kuwa ndo kinga pekee ya ulizni wao
4.waaribu hawanaulinzi kama blinken alovyo waambiwa eti usa itawalinda tena kwa nchi ziliyoko kilometa 150 karibu na iran kama wameweza kulenga shabaha mbali wa kilometa 1500 na 2000
5.ulinzi wa isreli sio wa kuaminika na hivyo mabillioni ya uwekezJi hayawezi kuplekwa isreli kufunga viwanda vyenye high tech maan ni riski hamana billioneor atakayekubali kupeleka uwekezaji wa mana kwenye hali kama hii iliyopo isreli
6.Soko la Iran la slaa limepaa na heshima yao imekuwa kubwa dunia japo cnn na fox hawawezi kulisema hili