Shambulizi la Israel kwa Iran liliua wanajeshi 6 mkuu siyo mmojaHivi Kuna uhusiano gani kuwa MUISLAMU na upumbavu,,wewe ni moja ya wapumbavu,, shambulizi la IRAN halikuuwa hata mtu mmoja,huku shambulizi la Israel liliua mwanajeshi mmoja wa IRAN na ku prove kuwa mifumo yao ya ulinzi Haina nguvu,, hauwezi kufikilia au haujui haya???
Hahaha bora msubiri niwe Rais, lakini mkiipata chini ya hawa WATAWALA/CCM, mtakuwa WATUMWA milele.Sawa
Baadaye Bongo Tutapata Nuclear Yetu
Siyo kweli.Sisi kama Waajemi,tutaanza kutumia majini kuyapiga mazayuni.Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja.
Ndege za kijeshi za kizazi cha tano pekee za Israel, zenye uwezo wa ndege hizo kulingana na Admiral Tony Redkin, ni ndege za kivita za F35.
Hii ni mara ya kwanza kwa afisa wa ngazi ya juu wa jeshi kuzungumzia hadharani kuhusu aina ya ndege zilizotumika katika shambulio la Israel dhidi ya Iran na matokeo ya shambulio hilo.
ENDELEA KUSOMA HAPA CHINI 👇👇
Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu? Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu?
Na kama hawajui Israel ilikuwa itaka kulenga sehemu nyeti kama vinu vya nuklia na visima vya mafuta ilirudishwa nyuma na Marekani na nchi za Magharibi ndo ikawa bahati ya mavaa kobaziHuwenda uko sahihi, ila cha kujiuliza mimi na wewe, Je tambo za Iran kulipa kisasi cha pap kwa papo kama ilivyodai baada ya jaribio lake kuishambulia Israel, kwamba, endapo Israel atajaribu kulipiza, atapigwa achakae, bado unamsikia akisema tena baada ya hiki unachpinga?
🤣🤣🤣😂Hahaha bora msubiri niwe Rais, lakini mkiipata chini ya hawa WATAWALA/CCM, mtakuwa WATUMWA milele.
Hawa ni waongo usiwaamini, ni hivyo walisema Hezb wakishambuliwa nao wataingia uwanja wa vita, ila walitulia tuli.✅ Iran will join and take up the fight with open fronts in Iraq if the threats turn towards Iraqi land, as confirmed by Iranian officials now.
🔹@enemywatch