Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Jeshi la Israel limesema kuwa katika shambulio lake la Jumamosi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran, ilitumia sehemu ndogo ya uwezo wake wa kijeshi, kuionya Iran, lakini uwezo wake kamili itautumia kama endapo Iran itajibu shambulio hilo:
"Israel’s chief of the general staff, Herzi Halevi, warned on Sunday that any threat against his country would be dealt with militarily. He added that Israel had “used only a portion” of its military capabilities during Saturday’s strikes on Iran."
Israel imesema kuwa ilipiga sehemu kubwa ya atargets zote alizodhamiria, na kuleta madhara kwa adui yaliyotarajiwa.
Jeshi limezuia kwa kiasi fulani wanajeshi wake na wananchi kusambaza picha za uharibifu uliofanywa na shambulio hilo ili kuipa Iran nafasi ya kuwahadaa wananchi wake kuwa hakukuwa na madhara, ili kusiwe na msukumo wa wananchi kuitaka Serikali ya Iran ijibu mashambulizi.
"Israel had a relatively muted public posture immediately after the strikes, which was intentional, according to a source familiar with the government’s thinking, aimed at giving Iran the opportunity to downplay the strikes and avoid further escalation.
Iran’s government seemed to seize that opportunity initially, claiming the strikes caused only limited damage at military sites, even as it acknowledged that one civilian and four Iranian soldiers were killed.
Baadhi ya ndege za kijeshi za Israel ziliweza kuingia kwenye anga la Iran, huku nyingine zikishambulia kutokea nje ya anga la Iran. Iran imepeleka malalamiko yake Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kufuatia shambulio hili:
"As part of Israel’s airstrikes on Iran early Saturday, some Israeli warplanes breached Iranian airspace, representing a significant Israeli military capability against Iran.
About 100 Israeli aircraft took part in the mission, though not all of them entered Iranian airspace."
Iran imesema haitaki vita na Israel lakini ina wajibu wa kulinda raia wake:
" The Iranian president warned tensions would escalate if Israel continues its aggression and crimes. We do not seek war, but we will defend the rights of the people and the nation. IRNA also quoted Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi as saying Iran was not seeking war, but adding that it would respond to any aggression by Israel at an “appropriate time.”
HATUA ILIZOCHUKUA IRAN BAADA YA SHAMBULIO
Iran imepeleka malalamiko yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
MADHARA YA SHAMBULIO
Kwa kunukuu taarifa toka kwa maafisa watatu wa Iran, na maafisa watatu wa Israel: kwanza kwa kutumia ndege za kivita, Israel ilishambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyopo Syria na Iraq ili kuzuia marafiki marafiki wa Iran kushambulia ndege zikiwa safarini kuelekea kuishambulia Iran.
"Citing three Israeli and three Iranian officials, the first phase of the attack, Israeli jets targeted air defence systems in Syria and Iraq, preventing Tehran’s allies from intercepting the aircraft en route."
Ndani ya Iran pia, mifumo ya ulinzi wa anga ilishambuliwa ili kuzuia uwezo wa Iran kuishambulia Israel kwa siku za mbeleni. Mitambo 3 ya kutoka Urusi ya S-300 iliyokuwepo mjini Tehran, Parchin na Parand, nayo ilipigwa. Picha za video pia zilionesha kiwanda cha kutengeneza mitambo inayotumia mafuta na gas kilichopigwa.
"In Iran, air defence systems were also attacked, with the aim of limiting Iran’s ability to fend off future attacks. Some of the targeted systems are supposed to protect important sites, including the Abadan oil refinery, the Bandar Imam Khomeini petrochemical complex, the gasfield Tange Bijar, and Bandar port in the south of the country, the paper said."
Three Russian-made S-300 air defence systems around Tehran were also reportedly hit, as well as the Parchin and Parand military bases, it added. Social media videos appeared to show damage to a factory near the capital that builds oil and gas industry machinery"
Picha za satellite zimeonesha majengo yaliyovunjwa kabisa, mojawapo ni lile linaloaminika ni kiwanda cha kutengeneza makombora.
"Satellite imagery analysed by the Associated Press and Reuters showed one totally destroyed structure and several damaged ones at Parchin, near Tehran, a site the International Atomic Energy Agency says is linked to the Iranian nuclear programme. Two buildings appeared to have suffered damage at the nearby Khojir military base, which western analysts believe is a production site for long-range ballistic missiles"
Pia sehemu 3 za uzalishaji makombora katika jimbo la Tehran, zilipigwa.
"Three missile manufacturing sites in Tehran province operated by the guards were attacked: Falagh, Shaid Ghadiri and Abdol Fath."
Jeshi la Iran halijatoa taarifa ya maeneo haya yaliyopigwa, bali limetamka tu kuwa kuna madhara kiasi yametokea, na kwamba kiasi kikubwa cha makombora kilitunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
"The Iranian army has not commented on the reported destruction at the Parchin, Khojir and Parand military bases. It said “limited damage” was caused to air defence systems in Khuzestan, Ilam and Tehran but that the country had intercepted most of the Israeli projectiles."
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah, amesema kuwa shambulio hili lisipunguzwe makali yake wala kukuzwa, na suala la kujibu shambulio hilo, linaweza lisiwepo."
" Iran’s supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, said on Sunday the event “should neither be minimised nor exaggerated”, and that military officials would discuss Iran’s next steps, suggesting retaliation may not be imminent."
NOTE: Tuombe viongozi wa Iran wapatwe na hekima ili kulinda uhai wa binadamu. Uamuzi wa Israel kuwajulisha Iran juu ya maeneo watakayoshambulia, na Iran kuwaondosha binadamu maeneo hayo, imesaidia sana kupunguza idadi ya vifo. Tatizo la vifo vingi vya raia bado ni kubwa huko Gaza na Lebanon. Ni vema Dunia ichukue hatua madhubuti zitakazozuia wapiganaji kujificha kwenye makundi ya raia huko Gaza na Lebanon ili kuokoa maisha ya raia.