SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Netanyahu bonda kabisa hayo magaidi ya Kiajemi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunaga akili dogo 😀 😀Israel inapita tu haina cha kupoteza
Ona ulivyo chizi😀😀Netanyahu bonda kabisa hayo magaidi ya Kiajemi
Nashukuru unaniogopaHunaga akili dogo 😀 😀
Chizi ni chizi tu😀Nashukuru unaniogopa
Nikianza huwa unalia kama panyaChizi ni chizi tu😀
Kinachoongelewa hapo ni uwezo,kama uwezo alionao ni wa juu kuliko hicho alicho kifanya kwake ni shambulio dogo ndio maana hata Iran wenyewe wanasema wamepata madhara kiasi kutokana na nafasi walionayo.Ndio ujue akili zingine huwa zinashangaza sana😂😂😂😂😂ndege 100 mtu anakwambia shambulio dogo la nguvu ndogo😂😂😂😂🙌🙌🙌.
hizi propaganda wala haziwezi kuwarudisha watu nyuma...israeli na iron dome is weak baada ya THAAD wanaona kama wana nguvu ya kushindana na Iran,ngoja tuone majibu...sehemu waliyotumia ndogo kuishambulia Iran hii ni kutaka viazi muone kama israeli mwamba kumbe bure kabisa,jiulize kwanini akipigwa yeye anazuia picha za satelite zisionyeshe alivyobondwaJeshi la Israel limesema kuwa katika shambulio lake la Jumamosi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran, ilitumia sehemu ndogo ya uwezo wake wa kijeshi, kuionya Iran, lakini uwezo wake kamili itautumia kama endapo Iran itajibu shambulio hilo:
"Israel’s chief of the general staff, Herzi Halevi, warned on Sunday that any threat against his country would be dealt with militarily. He added that Israel had “used only a portion” of its military capabilities during Saturday’s strikes on Iran."
Israel imesema kuwa ilipiga sehemu kubwa ya atargets zote alizodhamiria, na kuleta madhara kwa adui yaliyotarajiwa. Jeshi limezuia kwa kiasi fulani wanajeshi wake na wananchi kusambaza picha za uharibifu uliofanywa na shambulio hilo ili kuipa Iran nafasi ya kuwahadaa wananchi wake kuwa hakukuwa na madhara, ili kusiwe na msukumo wa wananchi kuitaka Serikali ya Iran ijibu mashambulizi.
"Israel had a relatively muted public posture immediately after the strikes, which was intentional, according to a source familiar with the government’s thinking, aimed at giving Iran the opportunity to downplay the strikes and avoid further escalation.
Iran’s government seemed to seize that opportunity initially, claiming the strikes caused only limited damage at military sites, even as it acknowledged that one civilian and four Iranian soldiers were killed.
Baadhi ya ndege za kijeshi za Israel ziliweza kuingia kwenye anga la Iran, huku nyingine zikishambulia kutokea nje ya anga la Iran. Iran imepeleka malalamiko yake Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kufuatia shambulio hili:
"As part of Israel’s airstrikes on Iran early Saturday, some Israeli warplanes breached Iranian airspace, representing a significant Israeli military capability against Iran.
About 100 Israeli aircraft took part in the mission, though not all of them entered Iranian airspace."
Iran imesema haitaki vita na Israel lakini ina wajibu wa kulinda raia wake:
" The Iranian president warned tensions would escalate if Israel continues its aggression and crimes. We do not seek war, but we will defend the rights of the people and the nation. IRNA also quoted Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi as saying Iran was not seeking war, but adding that it would respond to any aggression by Israel at an “appropriate time.”
HATUA ILIZOCHUKUA IRAN BAADA YA SHAMBULIO
Iran imepeleka malalamiko yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
MADHARA YA SHAMBULIO
Kwa kunukuu taarifa toka kwa maafisa watatu wa Iran, na maafisa watatu wa Israel: kwanza kwa kutumia ndege za kivita, Israel ilishambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyopo Syria na Iraq ili kuzuia marafiki marafiki wa Iran kushambulia ndege zikiwa safarini kuelekea kuishambulia Iran.
"Citing three Israeli and three Iranian officials, the first phase of the attack, Israeli jets targeted air defence systems in Syria and Iraq, preventing Tehran’s allies from intercepting the aircraft en route."
Ndani ya Iran pia, mifumo ya ulinzi wa anga ilishambuliwa ili kuzuia uwezo wa Iran kuishambulia Israel kwa siku za mbeleni. Mitambo 3 ya kutoka Urusi ya S-300 iliyokuwepo mjini Tehran, Parchin na Parand, nayo ilipigwa. Picha za video pia zilionesha kiwanda cha kutengeneza mitambo inayotumia mafuta na gas kilichopigwa.
"In Iran, air defence systems were also attacked, with the aim of limiting Iran’s ability to fend off future attacks. Some of the targeted systems are supposed to protect important sites, including the Abadan oil refinery, the Bandar Imam Khomeini petrochemical complex, the gasfield Tange Bijar, and Bandar port in the south of the country, the paper said."
Three Russian-made S-300 air defence systems around Tehran were also reportedly hit, as well as the Parchin and Parand military bases, it added. Social media videos appeared to show damage to a factory near the capital that builds oil and gas industry machinery"
Picha za satellite zimeonesha majengo yaliyovunjwa kabisa, mojawapo ni lile linaloaminika ni kiwanda cha kutengeneza makombora.
"Satellite imagery analysed by the Associated Press and Reuters showed one totally destroyed structure and several damaged ones at Parchin, near Tehran, a site the International Atomic Energy Agency says is linked to the Iranian nuclear programme. Two buildings appeared to have suffered damage at the nearby Khojir military base, which western analysts believe is a production site for long-range ballistic missiles"
Pia sehemu 3 za uzalishaji makombora katika jimbo la Tehran, zilipigwa.
"Three missile manufacturing sites in Tehran province operated by the guards were attacked: Falagh, Shaid Ghadiri and Abdol Fath."
Jeshi la Iran halijatoa taarifa ya maeneo haya yaliyopigwa, bali limetamka tu kuwa kuna madhara kiasi yametokea, na kwamba kiasi kikubwa cha makombora kilitunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
"The Iranian army has not commented on the reported destruction at the Parchin, Khojir and Parand military bases. It said “limited damage” was caused to air defence systems in Khuzestan, Ilam and Tehran but that the country had intercepted most of the Israeli projectiles."
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah, amesema kuwa shambulio hili lisipunguzwe makali yake wala kukuzwa, na suala la kujibu shambulio hilo, linaweza lisiwepo."
" Iran’s supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, said on Sunday the event “should neither be minimised nor exaggerated”, and that military officials would discuss Iran’s next steps, suggesting retaliation may not be imminent."
NOTE: Tuombe viongozi wa Iran wapatwe na hekima ili kulinda uhai wa binadamu. Uamuzi wa Israel kuwajulisha Iran juu ya maeneo watakayoshambulia, na Iran kuwaondosha binadamu maeneo hayo, imesaidia sana kupunguza idadi ya vifo. Tatizo la vifo vingi vya raia bado ni kubwa huko Gaza na Lebanon. Ni vema Dunia ichukue hatua madhubuti zitakazozuia wapiganaji kujificha kwenye makundi ya raia huko Gaza na Lebanon ili kuokoa maisha ya raia.
Ndege 100 sio uwezo mdogo.Kinachoongelewa hapo ni uwezo,kama uwezo alionao ni wa juu kuliko hicho alicho kifanya kwake ni shambulio dogo ndio maana hata Iran wenyewe wanasema wamepata madhara kiasi kutokana na nafasi walionayo.
Chizi ni wale wawili walikaliana uchi na kuiletea dunia zezeta kama weweOna ulivyo chizi😀😀
Hili ni junya tu watu wanajibonyezea kizenji tu.Nikianza huwa unalia kama panya
Kwa sasa Adui mkubwa wa Israel ni HAMASI na sio IRAN, vita na IRAN haina impact yeyote kwa Israel kwa sababu Ni laisi sana HAMASI kuleta madhara Israel Kuliko IRAN, HAMASI wanaweza kufanya GROUND INVERSION kama walivyofanya october 1 na kuuma waisrael 1200, haya niambie makombora 500 ya IRAN yameua watu wangapi?Propaganda tu ambazo hata Iran wanaweza kuzitengeneza ili kujifisia kwamba nao hawajapata madhara makubwa na kwamba hata wao walitumia uwezo wao kidogo sana waliposhambulia Israel.
Cha kujiuliza kwanini Israel itumie nguvu kubwa Gaza ilihali ikijua Hamas hawana uwezo mkubwa wa kukabiliana nao lakini watumie nguvu ndogo Iran ambao wana uwezo mkubwa wa kukabiliana nao na kuleta upinzani dhidi yao! Israel iache maneno ya khanga na blah blah.
Your brainwashed by Jews, patheticJeshi la Israel limesema kuwa katika shambulio lake la Jumamosi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran, ilitumia sehemu ndogo ya uwezo wake wa kijeshi, kuionya Iran, lakini uwezo wake kamili itautumia kama endapo Iran itajibu shambulio hilo:
"Israel’s chief of the general staff, Herzi Halevi, warned on Sunday that any threat against his country would be dealt with militarily. He added that Israel had “used only a portion” of its military capabilities during Saturday’s strikes on Iran."
Israel imesema kuwa ilipiga sehemu kubwa ya atargets zote alizodhamiria, na kuleta madhara kwa adui yaliyotarajiwa. Jeshi limezuia kwa kiasi fulani wanajeshi wake na wananchi kusambaza picha za uharibifu uliofanywa na shambulio hilo ili kuipa Iran nafasi ya kuwahadaa wananchi wake kuwa hakukuwa na madhara, ili kusiwe na msukumo wa wananchi kuitaka Serikali ya Iran ijibu mashambulizi.
"Israel had a relatively muted public posture immediately after the strikes, which was intentional, according to a source familiar with the government’s thinking, aimed at giving Iran the opportunity to downplay the strikes and avoid further escalation.
Iran’s government seemed to seize that opportunity initially, claiming the strikes caused only limited damage at military sites, even as it acknowledged that one civilian and four Iranian soldiers were killed.
Baadhi ya ndege za kijeshi za Israel ziliweza kuingia kwenye anga la Iran, huku nyingine zikishambulia kutokea nje ya anga la Iran. Iran imepeleka malalamiko yake Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kufuatia shambulio hili:
"As part of Israel’s airstrikes on Iran early Saturday, some Israeli warplanes breached Iranian airspace, representing a significant Israeli military capability against Iran.
About 100 Israeli aircraft took part in the mission, though not all of them entered Iranian airspace."
Iran imesema haitaki vita na Israel lakini ina wajibu wa kulinda raia wake:
" The Iranian president warned tensions would escalate if Israel continues its aggression and crimes. We do not seek war, but we will defend the rights of the people and the nation. IRNA also quoted Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi as saying Iran was not seeking war, but adding that it would respond to any aggression by Israel at an “appropriate time.”
HATUA ILIZOCHUKUA IRAN BAADA YA SHAMBULIO
Iran imepeleka malalamiko yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
MADHARA YA SHAMBULIO
Kwa kunukuu taarifa toka kwa maafisa watatu wa Iran, na maafisa watatu wa Israel: kwanza kwa kutumia ndege za kivita, Israel ilishambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyopo Syria na Iraq ili kuzuia marafiki marafiki wa Iran kushambulia ndege zikiwa safarini kuelekea kuishambulia Iran.
"Citing three Israeli and three Iranian officials, the first phase of the attack, Israeli jets targeted air defence systems in Syria and Iraq, preventing Tehran’s allies from intercepting the aircraft en route."
Ndani ya Iran pia, mifumo ya ulinzi wa anga ilishambuliwa ili kuzuia uwezo wa Iran kuishambulia Israel kwa siku za mbeleni. Mitambo 3 ya kutoka Urusi ya S-300 iliyokuwepo mjini Tehran, Parchin na Parand, nayo ilipigwa. Picha za video pia zilionesha kiwanda cha kutengeneza mitambo inayotumia mafuta na gas kilichopigwa.
"In Iran, air defence systems were also attacked, with the aim of limiting Iran’s ability to fend off future attacks. Some of the targeted systems are supposed to protect important sites, including the Abadan oil refinery, the Bandar Imam Khomeini petrochemical complex, the gasfield Tange Bijar, and Bandar port in the south of the country, the paper said."
Three Russian-made S-300 air defence systems around Tehran were also reportedly hit, as well as the Parchin and Parand military bases, it added. Social media videos appeared to show damage to a factory near the capital that builds oil and gas industry machinery"
Picha za satellite zimeonesha majengo yaliyovunjwa kabisa, mojawapo ni lile linaloaminika ni kiwanda cha kutengeneza makombora.
"Satellite imagery analysed by the Associated Press and Reuters showed one totally destroyed structure and several damaged ones at Parchin, near Tehran, a site the International Atomic Energy Agency says is linked to the Iranian nuclear programme. Two buildings appeared to have suffered damage at the nearby Khojir military base, which western analysts believe is a production site for long-range ballistic missiles"
Pia sehemu 3 za uzalishaji makombora katika jimbo la Tehran, zilipigwa.
"Three missile manufacturing sites in Tehran province operated by the guards were attacked: Falagh, Shaid Ghadiri and Abdol Fath."
Jeshi la Iran halijatoa taarifa ya maeneo haya yaliyopigwa, bali limetamka tu kuwa kuna madhara kiasi yametokea, na kwamba kiasi kikubwa cha makombora kilitunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
"The Iranian army has not commented on the reported destruction at the Parchin, Khojir and Parand military bases. It said “limited damage” was caused to air defence systems in Khuzestan, Ilam and Tehran but that the country had intercepted most of the Israeli projectiles."
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah, amesema kuwa shambulio hili lisipunguzwe makali yake wala kukuzwa, na suala la kujibu shambulio hilo, linaweza lisiwepo."
" Iran’s supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, said on Sunday the event “should neither be minimised nor exaggerated”, and that military officials would discuss Iran’s next steps, suggesting retaliation may not be imminent."
NOTE: Tuombe viongozi wa Iran wapatwe na hekima ili kulinda uhai wa binadamu. Uamuzi wa Israel kuwajulisha Iran juu ya maeneo watakayoshambulia, na Iran kuwaondosha binadamu maeneo hayo, imesaidia sana kupunguza idadi ya vifo. Tatizo la vifo vingi vya raia bado ni kubwa huko Gaza na Lebanon. Ni vema Dunia ichukue hatua madhubuti zitakazozuia wapiganaji kujificha kwenye makundi ya raia huko Gaza na Lebanon ili kuokoa maisha ya raia.
Halina akili kabisaHili ni junya tu watu wanajibonyezea kizenji tu.
🥲😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseee kaka hata kama wewe zuzu ila sio kwa uzuzu huu.
NDEGE 100 NI UWEZO MDOGO!?
Bro unajua mafuta yaliyotumika kupaisha hizo ndege 100 zifanye mahsambulizi ni gharama kiasi gani jumlisha makombora yalotumika!??
Aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yale yale ya Gaza kupambana na wanamgambo elfu 30 amepeleka jeshi la watu LAKI SITA.
Hapo anakwambia kikosi kidogo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ifike hatua mpanue akili zenu ninyi jamaa msiwe mazumbukuku kiasi hicho.
Ndege 100 zinatosha kupigana FULL OUT WAR na zikaleta ushindi.
Kwahiyo kila anachosema Israel basi kiaminiwe!??Una tatizo la kushindwa kusoma au uelewa wako ni mdogo sana?
Hiyo ya kusema Israel imetumia sehemu ndogo ya uwezo wa jeshi lao, ni maneno yangu au ya Israel?
Koşa la İran ni kufadhili vikundi vya kigaidi vinavyoishambulia Israel. Kumbuka Oct 7 Hamas, Hezbollah ndio walianza mashambulizi dhidi ya IsraelHakuna justification ya ujinga wa Israeli, aache kuua watu Palestina na kuchukua maeneo yao.
Atafute solution ya kudumu itakayoridhiwa na pande zote ili watu wapalestina wapate haki zao.
Ugomvi wa Israeli na Iran chanzo chake ni uonevu wa Israeli juu ya watu wa Palestina, Kosa la Iran ni kusimama upande wa Palestina na kutaka Palestina apewe haki yake.
Israeli aache kufanya mauaji ya kijeuri kule Palestina na kuua hovyohovyo watoto na akina mama Kwa kigezo cha Hamasi ilihali hamasi ipo kwasababu ya udhalimu wa Israeli.
Haya mengine ni ushabiki tu, wote kwa pamoja tumkemee Israeli kwa ujinga anaofanya, maana tuliwakemea Makaburu walivyoua ndugu zetu SA mpaka wakaacha, Ulaya yote na USA inamkemea Russia anavyowapiga waukraine mpaka kumpa misaada lakini Kwa suala la Palestina wote wako kimya baadala yake wanasimama nyuma ya Israeli, basi tusimame nyuma ya Urusi pia akiua watu pale Ukraine.
Hittler analaumiwa Kwa mauaji ya wayahudi lakini hakuna anayeilaumu Israeli kwa mauaji ya wapalestina.
Wapalestina wapewe haki yao nao waishi kama binadamu wengine wanavyoishi duniani hapa.
Acha uzindiki,shida sio hamas tatizo ni USA na UK walienda kuanzisha nchi kwenye ardhi ya watu.