Ndugu umenena japo mimi mkristo na sipendi kabisa Hamas wanavyotumia njia ya majibizano kupigania haki yao lakini ukweli ni kuwa Israeli inasafisha kizazi cha wapalestina Gaza, yaani ni uhalifu ambao hauelezeki katika historia ya binadamu jamaa wamenyimwa chakula , maji, mafuta, madawa, umeme karibu miezi 12 leo watu wanalisha watotot mende aisee , wanaaambiwa hama huku nenda kule kisha wanapigwa mabomu kabla hawajafika, maelfu ya watu wamefukiwa kwenye vifusi wakiwa hai , kama ni kutafuta mateka wangetafuta njia nyingine salama zaidi kwa raia