Israel Imesema Imetumia Sehemu Ndogo ya Uwezo Wake Kuishambulia Iran, Uwezo Kamili Itautumia Iran Ikijibu

Acha wapelekwe moto..kama wanao a hasara kwanini wasirudishe mateka vita viishe wakae kwa Aman..tatizo kobasi vichwa vigumu moyo wakigaidi
 
Kwahiyo kila anachosema Israel basi kiaminiwe!??
Vitu vingine tumia common sense tu.
Ndege 100 kiuhalisia sio sehemu ndogo ya nguvu ya jeshi.
Mimi nimeripoti walichokisema. Hiyo haikuwa analysis yangu. Aliyefanya shambulio amesema hivyo. Ni sawa na Iran ilivyosema kuwa shambulio limeleta limited damage.

Anayesema kuwa ametumia sehemu ndogo ya uwezo wake, anajua yeye uwezo wake ni upi, na alichokitumia kina count nini katika uwezo wake. Anayesema kuna limited damage, ana reference yake, kwake yeye huge damage inahusisha nini na nini. Kama una nyumba 5, ikivunjwa 1, ni huge damage, ni big loss. Kama una nyumba 1,000 halafu ikavunjwa 1, ni limited damage.

Kama nina lorry lenye uwezo wa kubeba tani 100 mara moja, halafu nikabeba tani 30, nimetumia sehemu ndogo ya uwezo wa lorry, ingawa tani 30 siyo mzigo mdogo. Lakini nikiwa na lorry lenye uwezo wa kubeba tani 30 halafu nikabeba tani 30, nimetumia uwezo wote wa lorry. Uzito ni ule ule, lakini kwa mwingine ni sehemu ndogo ya uwezo wa lorry lake, wakati kwa mwingine ndiyo uwezo wa wa mwisho wa lorry lake. Uwezo mdogo au damage ndogo ni relative words, hivyo huwezi kusema ni kweli au uwongo mpaka uwe na reference. Na hiyo reference, wewe huna, na mimi sina. Tunawasikiliza wao wanaozijua reference zao.
 
Israel ni kama anavitaka vita na Iran, ndio maana kaanza kuwadhohofisha washirika wake, yaani Hamas na Ezbulaah ili wakiaanza kuzichapa kusiwe na vikwanzo kutoka kwa hawa washirika yaani yeye adeal na Irani tu. Ni vigumu sana Israel kuzichapa na Irani ikiwa Hamas na Ezbulaah wako active.
 
Endelea kumtukuza tu uamuzi ni wako.
 
Wewe kumbe ni mtupu sana!! Israel inazuia picha za satellite!! Inazuia kwa namna gani? Au hujui satellite zinavyofanya kazi?
 
Ndio ujue akili zingine huwa zinashangaza sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndege 100 mtu anakwambia shambulio dogo la nguvu ndogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.
Na makombora yaliyotumika ni very selective ya ni gharama kubwa sana ndo wakapati hayo matokeo
 
Ndege 100 sio uwezo mdogo.
Bro nenda kapigie mahesabu gharama ya kila ndege na mafuta yalotumika.
Hivi unajua ndege 100 zina uwezo wa kumaliza full out war!?
Tuacheni utani kaka.
Nchi zenye ndege 100 za Kiza cha 5 ni cha he sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…