Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
 
Vita siyo nzuri, msishabikie. Washirika wa Israeli washapima hasara za kiuchumi, hasara za kuzidi kutengeneza maadui duniani hasa vikundi vya wanamgambo n.k, maana hadi leo haijulikani status ya Hamas imedhoofika au imebaki vile vile, vipi hezbollah. Huku mpinzani wa kiuchumi China anapepea tu. Vita visikie tu.
 
Mzee hawapigani kama Masela wa Manzese.

Halafu unajua akifanya shambulizi la kulipa kisasi kuna watu wasio na hatia wanaenda kupoteza maisha? Kwanini usitamani mambo yaishie hapa hapa watoto waendelee kuishi na familia zao kwa amani?

Nyuma ya Keyboard maisha matamu sana.
 
Sisi wayahudi wa Matosa, chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Walitegemea kupanda juu ya mabega ya USA ili aonekane yeye ni mwamba
 
Sisi wayahudi wa Matosa, chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
25 minutes ago

Israel’s plan to strike Iran is ready, source says​

Israel’s plan to respond to this month’s Iranian attack is ready, a source familiar with the matter told CNN. Israeli officials, including Prime Minister Benjamin Netanyahu, have assured the US that the counterstrike would be limited to military targets rather than oil or nuclear facilities, according to a source.
 
Tukisema Israel si lolote bila USA mnabisha
 
25 minutes ago

Israel’s plan to strike Iran is ready, source says​

Israel’s plan to respond to this month’s Iranian attack is ready, a source familiar with the matter told CNN. Israeli officials, including Prime Minister Benjamin Netanyahu, have assured the US that the counterstrike would be limited to military targets rather than oil or nuclear facilities, according to a source.

Hata kama atalipa , lakinia tayari jamaa kaonyesha weakness kubwa sana. Wengi tuliamini jamaa yupo tayari muda wowote ule anaposhambuliwa kumbe ni hadi ujipange na kutafuta nguvu ya nje
 
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
We nawe inadhani vita ni kama kombolela ety
It takes a lot of time, money, energy kila kitu sio kukurupuka tu anauwezo qa kumpiga muda wowote
 
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Kwa torati yao asipo lipa kwake itakuwa kama dhambi! (Jino kwa jino principle). Kumbuka Nasrallah katafutwa kwa miaka 32, kaja kuuawa kama mbwa.
Pia mkubwa analipwa kikubwa mkuu
 
Back
Top Bottom