Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Israel hasahau na hampigi Iran sasahivi wakati ambao iran anasubiria kupigwa , atampiga wakati Iran amejisahau na kujua ugomvi umeisha. Hio ndio njia nzuri ya kumwadhibu adui na kipigo kitaingia vizuri .
 
Back
Top Bottom