Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Sasa mambo ya Israel yanahusiana vipi na marekani? Au israel yenyewe kama yenyewe haijiamini mpaka marekani?
Kama hauwezi kuelewa kitu kidogo hicho sidhani kama kuna unakielewa kwenye siasa za kimataifa.
 
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Iran sio Eritrea au M23
 
Mbona haya maneno hamkuyaongea mwanzo. Nyie mlisema mtu arushe tu hata jiwe aone majibu yake ndani ya dakika. Mkasema hazipiti siku mbili.

Leo ndio mnaleta scenarios za maandalizi
Kiongozi gani wa Israel alisema ndani ya dk 2 au siku mbili
 
Tatizo lenu waafrica wengi haswa east africa mnashangilia vita as if ni mpira wa miguu au movie. Mwajijengea fantasy kichwani jinsi kisas kitakavyo kuwa

Vita yoyote ni careful planned, so whem israel watajibu ita depend na mipango yao. Mnataka watu waparamie tu, vita haiko hivyo
Maneno yenu siku zote mlikuwa mnasema likirushwa jiwe tu mwamba atajibu ndani ya dakika. Sasa leo mnageuka na kusema eti vita ni mipango /careful plan.

Mimi ninachosema leo ni kwamba wayahudi wa Mbande mwamba kawa prove very wrong kuhusu majigambo yenu na jinsi mlivyokuwa mnaichukulia Israel kana kwamba wana remote ambayo iki sense tu kuwa wameshambuliwa wanajibu hapohapo.
Na mwanzo mlidai Israel haiingiliki kutokana na mifumo bora kabisa ya ulinzi iliyopo. Mmeshaona mabomu yamesafirishwa angani tena kutoka mbali na kupiga ndani ya ardhi sasa mnaleta scenario zingine kuwa vita ni mipango.

Ninachoamini hata kama mwamba atajibu vikali lakini sio yeye bali ni Marekani.
 
Kiongozi gani wa Israel alisema ndani ya dk 2 au siku mbili
Ni nyie viongozi wa IDF na MOSAD mliopo humu. Kwani nyie si ndio mnaoletaga taarifa nyeti za vikao vya huko Israel. Humu mpo makarani na makatibu wa vikao nyeti ndani ya system za Uyahudini. Ni kama kule kwenye jukwaa la Ukraine yupo katibu mkuu kiongozi wa Kiev anaitwa KP Kipanya
 
Jeuli hiyo hana yahudi,, ingekuwa labda Syria au Iraq sawa ungeona mbwembe zake kama ilivyokuwa gaza, yani ndani ya masaa 24 tu midege na msururu wa vifaru kwenda kulipa kisasi,, lkn kwa Iran maji ya shingo karudisha mpira kwa kipa,, kwa sasa kinachosubiliwa tukio lolote lile la maafa ili liunganishwe na revenge, yani kwa mfano ikitokea labda kama kimbunga kile kilichotekea USA wayahudi wa mbezi kibanda cha mkaa watasema mungu wa Israel na yakobo anafanya kazi yake. Au kama labda itatokea ajali yoyote labda ya basi au treni pia wayahudi hao hao wa mbezi kibanda cha mkaa tena sasa hivi kwa kushirikiana na wenzao wa mwembe madole goba, watasema mossad hao wapo kazini, shenzi kabisa!
Pia kuna wayahudi wa Boko Basiaya, Magengeni , Bunju, Kijichi na Mbweni ile inayojaa maji kipindi cha Mvua.
HUWA WANAIJUA ISRAEL KULIKO NETANYAHU
 
My analysis!

While it seems like Israel has freezed from retaliating following the recent Iranian attack inside Israel territories but it's not. Here is what I think could be the reason for the delay.

Iran own almost all Middle East proxies, obviously!

Iran ni master wa rusha ni rushe, nobody wins on this but Iran. Rusha nijibu, hiki kitu iran anapenda sana. But ni muoga wa damage. Akiwa anafanya hivi anatumia as distraction ya ku re-arm na kuwapa moyo proxies wake (Hezbollah, Hamas, houthis, etc) kutokana na kuzidiwa. Recent Israel military strike almost wake decimate entire Hezbollah capability, IMO kutakua na response za hapa na pale but not that Hezbollah I know.

Following that reason ya Iran kupenda piga nikupige ambayo haina damage kubwa (distraction kuwa arm proxies wake) Israel hataki hiyo strategy. Doctrine ya Israel ni hit once and very hard that it gives warning against any further retaliation, refer Houthis oil field ambayo walirespond kwa kurusha ICBM moja basi.

I anticipate a fatal response that could ignite a full-scale conflict or some weird oil price hikes!
 
Braza hata kamaungekuwa wewe lazima uogope,yaani 2000KM + kwa dakika 8 na vitu vikapiga targets
Wewe ndiye umempatia jibu sahihi. Vita si mpira wa Yanga na Simba, unaongelea unimaginable deaths (loss of life) both side,tena wee unaweza ukapoteza sana kwani adui yako mpaka anakutandika, anajiamini nini,

Hapa unaongelea huge economic loss and potential /real economic recession/depression which might take centuries to recover, unaongelea social , physical and phycological torture to your people and the citizen of the countries you are fighting with. Worse, unaongelea disruption of social life;shule zitafungawa, huduma za kijamii zitasimamame, umasikini na njaa utatamalaki etc. Hivi hujawahi kufikilia/kujiuliza tulipigana na Nduli amini wa Uganda miaka ya 1978-79 if I am not mistaken, mpaka leo miaka zaidi ya arobaini tunasema uchumi wetu umeshuka kutokana na vita vya Uganda. Sijui kama unfahamu tulifika mahali tunakula unga wa njano;ule wa mahindi ya ngombe, sabuni tunatumia magwanji etc, sukari ikawa bidhaa adimu sana kama almasi baada ya vita ya uganda.

Ninachomaanisha hapa ni kwamba , wenzetu wanafanya in-depth and strategic situation analysis of either to retaliate now or re-strategize for effective and fruitful future attack.
 
Kwa torati yao asipo lipa kwake itakuwa kama dhambi! (Jino kwa jino principle). Kumbuka Nasrallah katafutwa kwa miaka 32, kaja kuuawa kama mbwa.
Pia mkubwa analipwa kikubwa mkuu
Watanzania wenzangu nawaheshimu sana Kwa ujuaji.
Tufanye Hasrallah kauliwa akiwa ana miaka 60,
Kwa hiyo kaanza kutafutwa tangu alaipokua na miaka 28.
Yaani zoezi la kumtafuta lilianza 1992
Hapa ndio penye ukakasi.
Ila ukinipa ushahidi wa hii hoja Yako nitafuta hoja yangu.
 
Maneno yenu siku zote mlikuwa mnasema likirushwa jiwe tu mwamba atajibu ndani ya dakika. Sasa leo mnageuka na kusema eti vita ni mipango /careful plan.

Mimi ninachosema leo ni kwamba wayahudi wa Mbande mwamba kawa prove very wrong kuhusu majigambo yenu na jinsi mlivyokuwa mnaichukulia Israel kana kwamba wana remote ambayo iki sense tu kuwa wameshambuliwa wanajibu hapohapo.
Na mwanzo mlidai Israel haiingiliki kutokana na mifumo bora kabisa ya ulinzi iliyopo. Mmeshaona mabomu yamesafirishwa angani tena kutoka mbali na kupiga ndani ya ardhi sasa mnaleta scenario zingine kuwa vita ni mipango.

Ninachoamini hata kama mwamba atajibu vikali lakini sio yeye bali ni Marekani.
Maneno yao, usinihusishe kwenye kundi hilo. Nazungumzia nyie wabongo ambao mnashabikia vita as if ni mpira, regardless upande wowote
Vita si simba na yanga, maisha ya watu yapo at risk,
Wewe unaeshabikia ukipelekea huko utashabikia hivyo?
 
Nimemsikiliza mtaalam na mchambuzi wa masuala ya kivita
Amesema Israel haweza kwenda kupiga nuclear reactor ya Iran kwa sababu kwanza amejenga chini kama mita 100 na katikati ya milima
Na la pili hakuna ndege za myahudi zinaruhusiwa kupita juu ya anga la nchi nne kuanzia Jordan, Syria KSA, Iraq
Wote wamepigwa mkwara na Iran
Wao pia wameweka wazi kuwa nchi yoyote hawakubali ipote anga zao kwenda kushambulia nchi nyingine.
La tatu kupiga hizo sehemu inataka bomb kubwa sana ambalo ni 🇺🇸 tu ndio analo na Israel hana ndege ya kubeba hilo bomb isipokuwa ndege za us tu
Na hawezi kumpa kwa sababu thamani yake ni kubwa sana
La 3 Iran ana Ballistics missile na pia nuclear capability anazo
Israel kama atapeleka ndege 100 zitarudi chache sana maana zitashushwa tena kama atatumia njia ndefu ya kuzunguka kupitia Turkey
Kama Turkey atakubali pia
Kwa hiyo mkuu usiwaze tu kuwa ooh kwanini Israel hajaipiga Iran siku ya pili tu think again
 
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Revenge is a dish best served cold: Wajukuu wa Isaka awana Papara_ wakati sahihi watafanya jambo lao pale Teheran na Viunga vyake
 
Mkuu ata USA ufaransa na wengine pande yao ngudu IRAN apaingiliki kwanjia yyte iwe maji iwe anga wale jamaaa sio poa kitechnology wanamuogopea icho kawadhidi mbali. We ushawai ona Ktk maisha yako USA anashambuliwa kijesh je umewai kuwaza Israel atapigwa na nchi yoyote na USA atasema yeye atousika ktk iyo mbungi yani anasema mm simooo mtajuana wenyewe😂😂😂 sababu upelelezi wao unajua Iran inch hatari wazungu walikuwa wanaiba technology kutoka kwao kuna siku ayatollah alisema tunataka sasa walimwengu wajue ninani asa mmiliki wa technology na tutaifanya dunia iyende ktk mwelekeo mpya unaoendana na talatibu za iman ya kislamu. Apo nimemnukuu ayatollah.
 
Tukisema Israel si lolote bila USA mnabisha
Hivi tukisema Hamas,Hezboullah,Houth ni sawa na Iran mwenyewe hawa mnatuelewa.? Hakuna nchi Duniani anayeweza akiwa peke yake hata marekani hawezi vita peke yake. Ndeiyo maana hata Russia peke yake kashindwa mpaka sasa anasaidiwa na Iran,KOREA,CHINA na watu wengine maana Ukraine imemtoa Kamasi!!
 
Back
Top Bottom