Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Mnashab
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Mnashabikia watu kuuawa?
 
Hawezi pambana na watu smart kama Iran 🇮🇷. Iran iliwahi kuwa taifa lenye nguvu kuzidi hata marekani ya sasa. Tofauti na izirael, taifa la kubumba. Iran iko pale miaka nenda miaka rudi. Iran ndiyo nchi pekee yenye uislam hofauti ambao unaendana na mila na desturi zao kwa kiwanjo kikubwa sana.
 
Vita siyo nzuri, msishabikie. Washirika wa Israeli washapima hasara za kiuchumi, hasara za kuzidi kutengeneza maadui duniani hasa vikundi vya wanamgambo n.k, maana hadi leo haijulikani status ya Hamas imedhoofika au imebaki vile vile, vipi hezbollah. Huku mpinzani wa kiuchumi China anapepea tu. Vita visikie tu.

Katika watu ambao hawapswi kusimamishwa au kushauriwa kuacha vita ni hawa. Maana ni watu wa hovyo sana. Miaka yoote ni kutishana na kutunishiana misuli. Sasa imefika wakati wa kuwaacha wapigane mpaka waache wenyewe. Kuanzia hapo kuheshimiana kuta tamalaki.
 
Hata kama atalipa , lakinia tayari jamaa kaonyesha weakness kubwa sana. Wengi tuliamini jamaa yupo tayari muda wowote ule anaposhambuliwa kumbe ni hadi ujipange na kutafuta nguvu ya nje
Ogopa nchi ambayo ilianzishwa kwa vita na maisha yake yote inapigana! Imeishajenga msuli wa kujua mahali pa kumpiga adui akadhulika kuliko kurusha makombola. Iran ilivyomshambulia kwa ballistic missile 300, Israel 🇮🇱 alilipiza kwa akili akamuua Rais wao na wao hawakujua kwa intelligencia ya ndani sana. Kivita na kimaandiko unaweza kumpiga mtu kisigino yeye akijibu anakupiga kichwa. Israel 🇮🇱 vita yake analenga kichwa! Sasa sikilizia Ayatollah hana muda mrefu watamla kichwa. Ayatollah mwenyewe anajua ndo maana na hata juzi wakati anatoa hotuba pembeni alikuwa kasimama na AK47 ya Mrusi! Chezea wewe!
 
Nimemsikiliza mtaalam na mchambuzi wa masuala ya kivita
Amesema Israel haweza kwenda kupiga nuclear reactor ya Iran kwa sababu kwanza amejenga chini kama mita 100 na katikati ya milima
Na la pili hakuna ndege za myahudi zinaruhusiwa kupita juu ya anga la nchi nne kuanzia Jordan, Syria KSA, Iraq
Wote wamepigwa mkwara na Iran
Wao pia wameweka wazi kuwa nchi yoyote hawakubali ipote anga zao kwenda kushambulia nchi nyingine.
La tatu kupiga hizo sehemu inataka bomb kubwa sana ambalo ni 🇺🇸 tu ndio analo na Israel hana ndege ya kubeba hilo bomb isipokuwa ndege za us tu
Na hawezi kumpa kwa sababu thamani yake ni kubwa sana
La 3 Iran ana Ballistics missile na pia nuclear capability anazo
Israel kama atapeleka ndege 100 zitarudi chache sana maana zitashushwa tena kama atatumia njia ndefu ya kuzunguka kupitia Turkey
Kama Turkey atakubali pia
Kwa hiyo mkuu usiwaze tu kuwa ooh kwanini Israel hajaipiga Iran siku ya pili tu think again
Alikuwa anataka kudandia hapo kwa usa ili baadae hagai aje kwenye TV kutishia watu kwenye middle east kama alivyofanya kwa huthi siku ile
 
Maneno yao, usinihusishe kwenye kundi hilo. Nazungumzia nyie wabongo ambao mnashabikia vita as if ni mpira, regardless upande wowote
Vita si simba na yanga, maisha ya watu yapo at risk,
Wewe unaeshabikia ukipelekea huko utashabikia hivyo?
Acha panic wewe. Detective gani muogaoga hivyo. Vita vipo Duniani ili kurekebisha mifumo na hata ustaarabu huu uliopo Duniani ni matokeo ya vita na pale inaposhindikana kabisa ndipo Muumba anaingilia kati( ref Sodoma & gomorrah).
 
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.

Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI

Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Leo wanamzika kamanda mmoja kule Iran!!

Na 25% ya Lebanon ipo mikononi mwa Taifa teule la Mungu wa kweli
 
Hakuna taifa linaweza kumshambulia Iran direct, ukifanya hivyo ni kuamua kuvuruga uchumi wa dunia hasa sisi nchi za Africa na america kusini us anaelewa hilo ndio maana aliwahi kipindi cha mapinduzi alipochemka pale ndio maana kakaa kimya kwenye vikwazo na penyewe kuna dili haramu zinapigwa anangalia tu.
 
Acha panic wewe. Detective gani muogaoga hivyo. Vita vipo Duniani ili kurekebisha mifumo na hata ustaarabu huu uliopo Duniani ni matokeo ya vita na pale inaposhindikana kabisa ndipo Muumba anaingilia kati( ref Sodoma & gomorrah).
nani kapanic? Unapo mjibu mtu kwanza usimjumishe kwenye kikundi fulani, si kila alie against mawazo yako ametoka huko
Jifunze ku seperate mtu na kikundi

Uwoga ni narratives tu but not a fact, since the only indication about that ni facial and voice changes and not maandish means your point is null, or haina mashiko

Naongelea from tactical view, vita sio movie. Ww ulioko huko bongo uliepekwa hapo utashabikia?
They way ina iona vita si the way wengine wanaiona. Unless ulishawahi shiriki
 
Alikuwa anataka kudandia hapo kwa usa ili baadae hagai aje kwenye TV kutishia watu kwenye middle east kama alivyofanya kwa huthi siku ile
Anajitutumua tu unafikiri zikipigwa hata baki myahudi hapo
Waarabu wamemzunguka hapo na ipo siku watawamaliza tu
Hasira huwa haziishi kwa vizazi na vizazi
Fikiria mtoto ameachwa peke yake na familia nzima imeuwawa bila kosa
Kesho akikua lazima alipe kisasi
 
Ni nyie viongozi wa IDF na MOSAD mliopo humu. Kwani nyie si ndio mnaoletaga taarifa nyeti za vikao vya huko Israel. Humu mpo makarani na makatibu wa vikao nyeti ndani ya system za Uyahudini. Ni kama kule kwenye jukwaa la Ukraine yupo katibu mkuu kiongozi wa Kiev anaitwa KP Kipanya
 
Attachments

  • 20241017_194004.jpg
    20241017_194004.jpg
    661.1 KB · Views: 2
Ogopa nchi ambayo ilianzishwa kwa vita na maisha yake yote inapigana! Imeishajenga msuli wa kujua mahali pa kumpiga adui akadhulika kuliko kurusha makombola. Iran ilivyomshambulia kwa ballistic missile 300, Israel 🇮🇱 alilipiza kwa akili akamuua Rais wao na wao hawakujua kwa intelligencia ya ndani sana. Kivita na kimaandiko unaweza kumpiga mtu kisigino yeye akijibu anakupiga kichwa. Israel 🇮🇱 vita yake analenga kichwa! Sasa sikilizia Ayatollah hana muda mrefu watamla kichwa. Ayatollah mwenyewe anajua ndo maana na hata juzi wakati anatoa hotuba pembeni alikuwa kasimama na AK47 ya Mrusi! Chezea wewe!
Israel ilianzishwa kwa vikao vya mataifa yenye nguvu sio kwa vita.
Usidanganye watu hapa.
Au hujui kulikalia resolution kama tatu kuunda taifa la Israel na Palestina!?
Ebrahim Raisi hakuuawa na Israel hilo futa akilini mwako.
Israel wenyewe wamekanusha wewe nani ushikilie!?
 
Back
Top Bottom