Jeuli hiyo hana yahudi,, ingekuwa labda Syria au Iraq sawa ungeona mbwembe zake kama ilivyokuwa gaza, yani ndani ya masaa 24 tu midege na msururu wa vifaru kwenda kulipa kisasi,, lkn kwa Iran maji ya shingo karudisha mpira kwa kipa,, kwa sasa kinachosubiliwa tukio lolote lile la maafa ili liunganishwe na revenge, yani kwa mfano ikitokea labda kama kimbunga kile kilichotekea USA wayahudi wa mbezi kibanda cha mkaa watasema mungu wa Israel na yakobo anafanya kazi yake. Au kama labda itatokea ajali yoyote labda ya basi au treni pia wayahudi hao hao wa mbezi kibanda cha mkaa tena sasa hivi kwa kushirikiana na wenzao wa mwembe madole goba, watasema mossad hao wapo kazini, shenzi kabisa!