Walitegemea kupanda juu ya mabega ya USA ili aonekane yeye ni mwambaSisi wayahudi wa Matosa, chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
25 minutes agoSisi wayahudi wa Matosa, chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Tukisema Israel si lolote bila USA mnabisha25 minutes ago
Israel’s plan to strike Iran is ready, source says
Israel’s plan to respond to this month’s Iranian attack is ready, a source familiar with the matter told CNN. Israeli officials, including Prime Minister Benjamin Netanyahu, have assured the US that the counterstrike would be limited to military targets rather than oil or nuclear facilities, according to a source.
25 minutes ago

We nawe inadhani vita ni kama kombolela etySisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Braza hata kamaungekuwa wewe lazima uogope,yaani 2000KM + kwa dakika 8 na vitu vikapiga targetsHuu mwaka kadharilika sana
Hakuna cha kuzubaa Netanyahu hizo bange zake anazovuta kutoka Goran heights zitamtokea puani.Halafu Iran 🇮🇷 tuna copy moja matata sana ya ISKANDER ambayo imeboreshwa tuna hamu sana ya kuitumia.Anasubiri adui azubae. Then boom
Kwa torati yao asipo lipa kwake itakuwa kama dhambi! (Jino kwa jino principle). Kumbuka Nasrallah katafutwa kwa miaka 32, kaja kuuawa kama mbwa.Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Bila USA sio rahisi hilo shambulio kufanyika.Tukisema Israel si lolote bila USA mnabisha