Mbona haya maneno hamkuyaongea mwanzo. Nyie mlisema mtu arushe tu hata jiwe aone majibu yake ndani ya dakika. Mkasema hazipiti siku mbili.We nawe inadhani vita ni kama kombolela ety
It takes a lot of time, money, energy kila kitu sio kukurupuka tu anauwezo qa kumpiga muda wowote
Nasrallah hajatafutwa, bali walikuwa bado hawajapanga kumuondoa, na walipoamua ndipo wakafanya. Nasrallah alitafutwa vipi wakati alikuwa anaonekana hadi mitaani na kwenye mikutano liveKwa torati yao asipo lipa kwake itakuwa kama dhambi! (Jino kwa jino principle). Kumbuka Nasrallah katafutwa kwa miaka 32, kaja kuuawa kama mbwa.
Pia mkubwa analipwa kikubwa mkuu
Nimeamia Israel rasmi, na hii ni baada ya kujiridhisha kuwa wanaopigwa kule Lebanoni 75% - 80% ni Makafiri.Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Atashambulia,ndege ya nane imeingia leo israel toka USA kwenda kufunga mitambo ya kujilinda na makomboraMsahau mnaofikitlria Israel altalipa kisasi. Hawezi kuthubuti hata kurusha jiwe. Bwana wake kaishamchana kama anataka kuaibika basi aendelee aneng'eneke tu
Sasa mambo ya Israel yanahusiana vipi na marekani? Au israel yenyewe kama yenyewe haijiamini mpaka marekani?Sababu ni Uchaguzi Mkuu wa Marekani.
Iron dome ilikua haipo mpaka ije mitambo mingine?Atashambulia,ndege ya nane imeingia leo israel toka USA kwenda kufunga mitambo ya kujilinda na makombora
Iron dome haina tofauti na jiko la kuchomea nyama,ni vyuma tuIron dome ilikua haipo mpaka ije mitambo mingine?
Mbona limekaa kama..Yale mandoo ya mashine yakusagia unga wa ugali
View: https://youtu.be/Z9GlxOi-O_w?si=Mp_SvFJKsKG4YHOi
Huko Lebanon kashindwa Juzi Hezbullah anamuonyesha Missiles inayo itwa Al Nasri imeingia official vitani tarehe 14/10/2024 haizuiliki hio
🤣🤣🤣 Wanajilisha upepo. Labda wajilinde na makombola ya hamas tuAtashambulia,ndege ya nane imeingia leo israel toka USA kwenda kufunga mitambo ya kujilinda na makombora
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Atashambulia,ndege ya nane imeingia leo israel toka USA kwenda kufunga mitambo ya kujilinda na makombora
Sababu ni Uchaguzi Mkuu wa Marekani.
Maavii,habari ya jana na ni ajali ya kawaidaMoto mkubwa watokea katika Kiwanda cha Mafuta cha Irani huko Khuzestan
Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti https://www.youtube.com/live/GggsAxvY4Q0?si=sKjzE7_DpA2gYIxe --- At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar refinery in Iran’s Khuzestan province. According to Al Arabiya, a local authority attributed the cause...www.jamiiforums.com
Hana lolote huyo, Bado anamuangukia Biden akubali kumlinda kupigo kikimrudiaSisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Tuliaminishwa kuwa anayetafutwa ni Iran .kiko wapi sasaHata kama atalipa , lakinia tayari jamaa kaonyesha weakness kubwa sana. Wengi tuliamini jamaa yupo tayari muda wowote ule anaposhambuliwa kumbe ni hadi ujipange na kutafuta nguvu ya nje
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 da nimecheka sana na hii commentJeuli hiyo hana yahudi,, ingekuwa labda Syria au Iraq sawa ungeona mbwembe zake kama ilivyokuwa gaza, yani ndani ya masaa 24 tu midege na msururu wa vifaru kwenda kulipa kisasi,, lkn kwa Iran maji ya shingo karudisha mpira kwa kipa,, kwa sasa kinachosubiliwa tukio lolote lile la maafa ili liunganishwe na revenge, yani kwa mfano ikitokea labda kama kimbunga kile kilichotekea USA wayahudi wa mbezi kibanda cha mkaa watasema mungu wa Israel na yakobo anafanya kazi yake. Au kama labda itatokea ajali yoyote labda ya basi au treni pia wayahudi hao hao wa mbezi kibanda cha mkaa tena sasa hivi kwa kushirikiana na wenzao wa mwembe madole goba, watasema mossad hao wapo kazini, shenzi kabisa!
Tatizo lenu waafrica wengi haswa east africa mnashangilia vita as if ni mpira wa miguu au movie. Mwajijengea fantasy kichwani jinsi kisas kitakavyo kuwaSisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon