Kama hauwezi kuelewa kitu kidogo hicho sidhani kama kuna unakielewa kwenye siasa za kimataifa.Sasa mambo ya Israel yanahusiana vipi na marekani? Au israel yenyewe kama yenyewe haijiamini mpaka marekani?
Iran sio Eritrea au M23Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Kiongozi gani wa Israel alisema ndani ya dk 2 au siku mbiliMbona haya maneno hamkuyaongea mwanzo. Nyie mlisema mtu arushe tu hata jiwe aone majibu yake ndani ya dakika. Mkasema hazipiti siku mbili.
Leo ndio mnaleta scenarios za maandalizi
Maneno yenu siku zote mlikuwa mnasema likirushwa jiwe tu mwamba atajibu ndani ya dakika. Sasa leo mnageuka na kusema eti vita ni mipango /careful plan.Tatizo lenu waafrica wengi haswa east africa mnashangilia vita as if ni mpira wa miguu au movie. Mwajijengea fantasy kichwani jinsi kisas kitakavyo kuwa
Vita yoyote ni careful planned, so whem israel watajibu ita depend na mipango yao. Mnataka watu waparamie tu, vita haiko hivyo
Ni nyie viongozi wa IDF na MOSAD mliopo humu. Kwani nyie si ndio mnaoletaga taarifa nyeti za vikao vya huko Israel. Humu mpo makarani na makatibu wa vikao nyeti ndani ya system za Uyahudini. Ni kama kule kwenye jukwaa la Ukraine yupo katibu mkuu kiongozi wa Kiev anaitwa KP KipanyaKiongozi gani wa Israel alisema ndani ya dk 2 au siku mbili
Pia kuna wayahudi wa Boko Basiaya, Magengeni , Bunju, Kijichi na Mbweni ile inayojaa maji kipindi cha Mvua.Jeuli hiyo hana yahudi,, ingekuwa labda Syria au Iraq sawa ungeona mbwembe zake kama ilivyokuwa gaza, yani ndani ya masaa 24 tu midege na msururu wa vifaru kwenda kulipa kisasi,, lkn kwa Iran maji ya shingo karudisha mpira kwa kipa,, kwa sasa kinachosubiliwa tukio lolote lile la maafa ili liunganishwe na revenge, yani kwa mfano ikitokea labda kama kimbunga kile kilichotekea USA wayahudi wa mbezi kibanda cha mkaa watasema mungu wa Israel na yakobo anafanya kazi yake. Au kama labda itatokea ajali yoyote labda ya basi au treni pia wayahudi hao hao wa mbezi kibanda cha mkaa tena sasa hivi kwa kushirikiana na wenzao wa mwembe madole goba, watasema mossad hao wapo kazini, shenzi kabisa!
Huyo jamaa inawezekana amejeruhiwa vibaya wanamuangaikia apone ndio wamuonyeshe hadharaniAnatoa video za zamani za kamanda wake Herzi Halevi , anatengeneza clone ila tunajua watu washakula kichwa .
Wanatengeneza clone yake , jamaa wamepanik wanaonesha video za zamani kabla ya tukio .Huyo jamaa inawezekana amejeruhiwa vibaya wanamuangaikia apone ndio wamuonyeshe hadharani
Wewe ndiye umempatia jibu sahihi. Vita si mpira wa Yanga na Simba, unaongelea unimaginable deaths (loss of life) both side,tena wee unaweza ukapoteza sana kwani adui yako mpaka anakutandika, anajiamini nini,Braza hata kamaungekuwa wewe lazima uogope,yaani 2000KM + kwa dakika 8 na vitu vikapiga targets
Watanzania wenzangu nawaheshimu sana Kwa ujuaji.Kwa torati yao asipo lipa kwake itakuwa kama dhambi! (Jino kwa jino principle). Kumbuka Nasrallah katafutwa kwa miaka 32, kaja kuuawa kama mbwa.
Pia mkubwa analipwa kikubwa mkuu
Pia ukae ukijua ugumu mwingine umesababishwa na Putin.Bila USA sio rahisi hilo shambulio kufanyika.
Inashangaza namna Babu Biden kashindwa kutumia ushawishi huo huo kushinikiza vita vya Gaza na huko Lebanon vifike mwisho.
Maneno yao, usinihusishe kwenye kundi hilo. Nazungumzia nyie wabongo ambao mnashabikia vita as if ni mpira, regardless upande wowoteManeno yenu siku zote mlikuwa mnasema likirushwa jiwe tu mwamba atajibu ndani ya dakika. Sasa leo mnageuka na kusema eti vita ni mipango /careful plan.
Mimi ninachosema leo ni kwamba wayahudi wa Mbande mwamba kawa prove very wrong kuhusu majigambo yenu na jinsi mlivyokuwa mnaichukulia Israel kana kwamba wana remote ambayo iki sense tu kuwa wameshambuliwa wanajibu hapohapo.
Na mwanzo mlidai Israel haiingiliki kutokana na mifumo bora kabisa ya ulinzi iliyopo. Mmeshaona mabomu yamesafirishwa angani tena kutoka mbali na kupiga ndani ya ardhi sasa mnaleta scenario zingine kuwa vita ni mipango.
Ninachoamini hata kama mwamba atajibu vikali lakini sio yeye bali ni Marekani.
Revenge is a dish best served cold: Wajukuu wa Isaka awana Papara_ wakati sahihi watafanya jambo lao pale Teheran na Viunga vyakeSisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA MVAA SURUALI FUPI NA KOBASI
Au mlimaanisha mnalipizia kule Lebanon
Mkuu ata USA ufaransa na wengine pande yao ngudu IRAN apaingiliki kwanjia yyte iwe maji iwe anga wale jamaaa sio poa kitechnology wanamuogopea icho kawadhidi mbali. We ushawai ona Ktk maisha yako USA anashambuliwa kijesh je umewai kuwaza Israel atapigwa na nchi yoyote na USA atasema yeye atousika ktk iyo mbungi yani anasema mm simooo mtajuana wenyeweπππ sababu upelelezi wao unajua Iran inch hatari wazungu walikuwa wanaiba technology kutoka kwao kuna siku ayatollah alisema tunataka sasa walimwengu wajue ninani asa mmiliki wa technology na tutaifanya dunia iyende ktk mwelekeo mpya unaoendana na talatibu za iman ya kislamu. Apo nimemnukuu ayatollah.mnageuka
Hivi tukisema Hamas,Hezboullah,Houth ni sawa na Iran mwenyewe hawa mnatuelewa.? Hakuna nchi Duniani anayeweza akiwa peke yake hata marekani hawezi vita peke yake. Ndeiyo maana hata Russia peke yake kashindwa mpaka sasa anasaidiwa na Iran,KOREA,CHINA na watu wengine maana Ukraine imemtoa Kamasi!!Tukisema Israel si lolote bila USA mnabisha