Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

Mnashab
Mnashabikia watu kuuawa?
 

Hawezi pambana na watu smart kama Iran 🇮🇷. Iran iliwahi kuwa taifa lenye nguvu kuzidi hata marekani ya sasa. Tofauti na izirael, taifa la kubumba. Iran iko pale miaka nenda miaka rudi. Iran ndiyo nchi pekee yenye uislam hofauti ambao unaendana na mila na desturi zao kwa kiwanjo kikubwa sana.
 

Katika watu ambao hawapswi kusimamishwa au kushauriwa kuacha vita ni hawa. Maana ni watu wa hovyo sana. Miaka yoote ni kutishana na kutunishiana misuli. Sasa imefika wakati wa kuwaacha wapigane mpaka waache wenyewe. Kuanzia hapo kuheshimiana kuta tamalaki.
 
Hata kama atalipa , lakinia tayari jamaa kaonyesha weakness kubwa sana. Wengi tuliamini jamaa yupo tayari muda wowote ule anaposhambuliwa kumbe ni hadi ujipange na kutafuta nguvu ya nje
Ogopa nchi ambayo ilianzishwa kwa vita na maisha yake yote inapigana! Imeishajenga msuli wa kujua mahali pa kumpiga adui akadhulika kuliko kurusha makombola. Iran ilivyomshambulia kwa ballistic missile 300, Israel 🇮🇱 alilipiza kwa akili akamuua Rais wao na wao hawakujua kwa intelligencia ya ndani sana. Kivita na kimaandiko unaweza kumpiga mtu kisigino yeye akijibu anakupiga kichwa. Israel 🇮🇱 vita yake analenga kichwa! Sasa sikilizia Ayatollah hana muda mrefu watamla kichwa. Ayatollah mwenyewe anajua ndo maana na hata juzi wakati anatoa hotuba pembeni alikuwa kasimama na AK47 ya Mrusi! Chezea wewe!
 
Alikuwa anataka kudandia hapo kwa usa ili baadae hagai aje kwenye TV kutishia watu kwenye middle east kama alivyofanya kwa huthi siku ile
 
Maneno yao, usinihusishe kwenye kundi hilo. Nazungumzia nyie wabongo ambao mnashabikia vita as if ni mpira, regardless upande wowote
Vita si simba na yanga, maisha ya watu yapo at risk,
Wewe unaeshabikia ukipelekea huko utashabikia hivyo?
Acha panic wewe. Detective gani muogaoga hivyo. Vita vipo Duniani ili kurekebisha mifumo na hata ustaarabu huu uliopo Duniani ni matokeo ya vita na pale inaposhindikana kabisa ndipo Muumba anaingilia kati( ref Sodoma & gomorrah).
 
Leo wanamzika kamanda mmoja kule Iran!!

Na 25% ya Lebanon ipo mikononi mwa Taifa teule la Mungu wa kweli
 
Hakuna taifa linaweza kumshambulia Iran direct, ukifanya hivyo ni kuamua kuvuruga uchumi wa dunia hasa sisi nchi za Africa na america kusini us anaelewa hilo ndio maana aliwahi kipindi cha mapinduzi alipochemka pale ndio maana kakaa kimya kwenye vikwazo na penyewe kuna dili haramu zinapigwa anangalia tu.
 
Acha panic wewe. Detective gani muogaoga hivyo. Vita vipo Duniani ili kurekebisha mifumo na hata ustaarabu huu uliopo Duniani ni matokeo ya vita na pale inaposhindikana kabisa ndipo Muumba anaingilia kati( ref Sodoma & gomorrah).
nani kapanic? Unapo mjibu mtu kwanza usimjumishe kwenye kikundi fulani, si kila alie against mawazo yako ametoka huko
Jifunze ku seperate mtu na kikundi

Uwoga ni narratives tu but not a fact, since the only indication about that ni facial and voice changes and not maandish means your point is null, or haina mashiko

Naongelea from tactical view, vita sio movie. Ww ulioko huko bongo uliepekwa hapo utashabikia?
They way ina iona vita si the way wengine wanaiona. Unless ulishawahi shiriki
 
Alikuwa anataka kudandia hapo kwa usa ili baadae hagai aje kwenye TV kutishia watu kwenye middle east kama alivyofanya kwa huthi siku ile
Anajitutumua tu unafikiri zikipigwa hata baki myahudi hapo
Waarabu wamemzunguka hapo na ipo siku watawamaliza tu
Hasira huwa haziishi kwa vizazi na vizazi
Fikiria mtoto ameachwa peke yake na familia nzima imeuwawa bila kosa
Kesho akikua lazima alipe kisasi
 
 

Attachments

  • 20241017_194004.jpg
    661.1 KB · Views: 2
Dawa ya Mbu haiui kunguni, wanatengenezewa dawa yao.
 
Israel ilianzishwa kwa vikao vya mataifa yenye nguvu sio kwa vita.
Usidanganye watu hapa.
Au hujui kulikalia resolution kama tatu kuunda taifa la Israel na Palestina!?
Ebrahim Raisi hakuuawa na Israel hilo futa akilini mwako.
Israel wenyewe wamekanusha wewe nani ushikilie!?
 
Leo wanamzika kamanda mmoja kule Iran!!

Na 25% ya Lebanon ipo mikononi mwa Taifa teule la Mungu wa kweli
Acha KUROPOKA kama umelishwa usembe.
25% ya Lebanon iliyo mikononi mwa Israel ya shangazi yako!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…