Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #41
Vita Haina macho tusipangiane sehemu za kupiga Tafadhali. Halafu Israel waache mara Moja kuweka silaha karibu na makazi ya watu. IDF HQ imechakazwa vibaya sana ila tukiangalia vizuri location utaona ipo karibu na residents apartments hata kama ungekua wewe ndio Iran ungefanyaje?kwani Hamas October 7 si waliua raia waisrael 1200 wakachukua mateka raia 250 wakabaka raia,wakachoma moto watoto ,wakaua raia wa Gaza ila wafia dini mmekuwa mkilia kuhusu wanawake na watoto wa gaza tu ila alichofanya Hamas October 7 hamkioni
Israel analinda sana raia wake hicho ndicho kitu cha muhimu zaidi kwake tofauti na nchi nyingi za wavaa kobazi,hata haya mashambulizi ni kuwalinda raia wakeIran Hana jinsi Israel anaweka air defense katikati ya majengo ya raia hata ungekua wewe ungefanyaje? Israel iache mara Moja kuwatumia raia kama ngao
Kwahiyo kumbe katika vita huwa Kuna taratibu za kupangiana pa kupiga sikuwa najua kabisa by the way Asante kwa elimuUnachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.
Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.
Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.
Nadhani umeelewa mkuu.
Ni vizuri tu kwenye vita Kila upande una mbinu zake.Analalamika!?
Ironically,anaitumia hii mbinu Ili aweze kuiangamiza Iran .
Kama anaona raia wake ni muhimu hata raia wa nchi nyingine ni muhimu.Israel analinda sana raia wake hicho ndicho kitu cha muhimu zaidi kwake tofauti na nchi nyingi za wavaa kobazi,hata haya mashambulizi ni kuwalinda raia wake
Tupo pamoja mkuu.Kama ni kweli naomba nitoe pongezi nyingi kwa Taifa la Iran
Hzo propaganda.....sasa kama adui kaka kwa watu wasio na hatia ndo uwaue wote...!!?Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.
Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.
Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.
Nadhani umeelewa mkuu.
Kishaomba msaada huko kwa USA,anataka pentagon ikutane kujadili ni namna gani itaivamia iran 😀Anapigana vita harafu anataka raia wasife kweli pana watu hivyo Duniani aisee kama anaona watu wake wanakufa aachane na vita..
Hawa wanatakiwa wasiingiliwe na mtu....waachwe mtu bee hivi hivi mpk tuone nani atatoa mlio.....story za vita ya siku sita Huwa Kila nikiisoma naona mauzauza Fulani hiviAnapigana vita harafu anataka raia wasife kweli pana watu hivyo Duniani aisee kama anaona watu wake wanakufa aachane na vita..
But nchi nyingi za kiislamu zinazopigana na Israel haziwajali sana raia zakeKama anaona raia wake ni muhimu hata raia wa nchi nyingine ni muhimu.
Vita ni vita mura, Israeli aache kulilia vita haina macho, tuliwaambia Iran sio Palestine. Haya alikeni mabwa zenu wasaidie kudungua makombora ya Iran maana Israeli hana uwezo kucheza mziki wa Waajemi.Unachanganya mambo tajiri either kwa makusudi kwa lengo la kupotosha au huelewi.
Vita ya Gaza mbona inaeleweka HAMAS waliamua wao kukaa katika ya raia na walitumia raia kama ngao zao. HAMAS waliishi na kukaa kwenye mashule, mahospitali n.k kwa lengo la kutumia wanawake na watoto kama Kinga.
Hii ya Iran, Israel hakupiga kwenye makazi ya watu. Amejenga vituo vya kijeshi na vitu muhimu kwa Iran ila wao Iran ndio anashambulia makazi ya watu.
Nadhani umeelewa mkuu.
USA hazipiti siku 3 hajaingilia kati toto tundu kalemewa ana vita nyingi sanaHawa wanatakiwa wasiingiliwe na mtu....waachwe mtu bee hivi hivi mpk tuone nani atatoa mlio.....story za vita ya siku sita Huwa Kila nikiisoma naona mauzauza Fulani hivi
Israel mwenyewe vita anaiweza vizuri sana, toka enzi za kina daudi na yoshua walishapigana vita kibao amani kwao ni mwikoVita ni vita mura, Israeli aache kulilia vita haina macho, tuliwaambia Iran sio Palestine. Haya alikeni mabwa zenu wasaidie kudungua makombora ya Iran maana Israeli hana uwezo kucheza mziki wa Waajemi.