Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

Ayatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili
Iran imejaa mishoga mitupu inakuwaje nchi viongozi wake wanauwawa tu ka mbwa, anga lake adui anaingia tu kutoka, aisee waajemi wapunguze kuwa mapunga
 
Kwa jinsi IDF anavyomchakaza Iran ingekuwa lengo lako ni civilian target basi wairan wengi mno mpaka muda wangekuwa wanabikiri tu huko kuzimu
 
Israel mwenyewe vita anaiweza vizuri sana, toka enzi za kina daudi na yoshua walishapigana vita kibao amani kwao ni mwiko
Hizo ni hadithi tu .. Mwenzako sasa anaomba msaada
《》《》《》《》《》《》《》《》《》
Israel has officially requested that the United States join its ongoing operation against Iran, particularly targeting underground nuclear facilities such as the Fordow Fuel Enrichment Plant (FFEP), which the Israeli Air Force does not have the means to effectively strike without “bunker busters” like the GBU-57A/B MOP (Massive Ordnance Penetrator).


View: https://twitter.com/sentdefender/status/1933968430740439388
 
Ehee kumekucha,hii vita inaelekea kubaya jamani,tupunguze sana ushabiki,tusiwe na upande.
Haiwez lusimama kisa mm na ww kuchagua upande la muhimu ni kuomba dua Muumba mbingu na ardh awake hekima mataifa makubwa waisimamishe mnashabikianila impact kwenye maisha hii vita hamtokuja amini masharik ya kati mnajua umuhimu wake kwa upitushsj wa meli za bidhaa mbal mbal pamoja na mafuta kujà afrika leo kumetibuka haya tuone
 
Ila waislamu mnajifariji sana alafu ni wasahulifu sana hata kiongozi wa hezballah kama sijakosea mlimuingiza mkenge hivi hivi same kwa bashar Al assad, na wale viongozi wa hamas waliouliwa
 
Israel ndio ilianza kuua raia.
Ishaua raia zaidi ya 140.
Iran ndio maana imepata hasira ya kulipiza kisasi kwa raia wao.
Waislamu wote wanasema death to Israel kwa hiyo sikushangai na wenzako
 
Usitumie hiyo kauli kuficha ukweli.
Israel alianza kuua raia wa wenzake,Wacha na yeye aonje joto ya jiwe .
Vile ni vita kati ya Jehova vs Allah
Jote ya jiwe mtu amekuulia viongozi wako wa jeshi kadhaaa

Israel katumia mbinu ya kijeshi ili kesho akishambulia makazi ya raia asilaumiwe kama alivyofanya kazi
 
Vile ni vita kati ya Jehova vs Allah
Jote ya jiwe mtu amekuulia viongozi wako wa jeshi kadhaaa

Israel katumia mbinu ya kijeshi ili kesho akishambulia makazi ya raia asilaumiwe kama alivyofanya kazi
Acha kupotosha wewe.
Israel alianza kulipua makazi ya watu na kuua raia 80 kwa mpigo.
Jana katumia majasusi wake ndani ya Iran wakalipua mall na kuua watu 60.
Bro unaongea na mtu mzima sio mtoto mdogo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…