Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Tutaona Jehova (Mungu wa israel) vs Allah (Mungu wa waislamu) nani atashindaAcha kupotosha wewe.
Israel alianza kulipua makazi ya watu na kuua raia 80 kwa mpigo.
Jana katumia majasusi wake ndani ya Iran wakalipua mall na kuua watu 60.
Bro unaongea na mtu mzima sio mtoto mdogo hapa.
Unaleta udini?Tutaona Jehova (Mungu wa israel) vs Allah (Mungu wa waislamu) nani atashinda
Kumbuka mpaka sahivi Allah ameshindwa kuwalina gaza, assad, na lebanon
Kwani mashambulizi ya Israel ya kuvizia juzi si aliua raia zaidi ya 70🤔kwani Hamas October 7 si waliua raia waisrael 1200 wakachukua mateka raia 250 wakabaka raia,wakachoma moto watoto ,wakaua raia wa Gaza ila wafia dini mmekuwa mkilia kuhusu wanawake na watoto wa gaza tu ila alichofanya Hamas October 7 hamkioni
Hali inaendeleaje huko jamani nilikua mbali na mtandaoMtoto mjeuri dawa yake ni viboko tu
Wewe mwenyewe mfia dini mkubwa hizi nchi USA, UK, France, tradition zina wakristo wengi na una-influence kubwa sanaUnaleta udini?
Mie siko huko pole yako.
Israel anasaidiwa na USA,UK na France.
Kama hao ndio kina Jehovah hongereni.
Kuendesha mjadala na wewe ni pasua kichwa.Wewe mwenyewe mfia dini mkubwa hizi nchi USA, UK, France, tradition zina wakristo wengi na una-influence kubwa sana
Unajua France mapadre walikwa wanalipwa na serikali misahara yao
Israel ndio alianzisha mashambulizi na mara ya kwanza tu aliua raia wengi kuliko wanajeshi... Hili nalo mnajitoa ufahamuUnakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.
Waislamu wote wa Tanzania wanashabikia iran, hamas, houth, hezbollah, na utawala uliondolewa wa bashar ala asadKuendesha mjadala na wewe ni pasua kichwa.
Uwe na siku njema jamaa.
Atakua mtoto wa mchungaji huyo.Kuendesha mjadala na wewe ni pasua kichwa.
Uwe na siku njema jamaa.
Siku 6 walitandika waarabu wte wakashinda....hili jeshi la pampasi Kuna namna walitupanga kwny Ile propaganda....sasa hapa waachwe mtu mbili tu hakuna kuomba msaada...na hakuna kukimbia Mpk kieleweke😂😂😂😂Mauzauza gani tena broo!?
Aaah soon wanakaa mezani.Siku 6 walitandika waarabu wte wakashinda....hili jeshi la pampasi Kuna namna walitupanga kwny Ile propaganda....sasa hapa waachwe mtu mbili tu hakuna kuomba msaada...na hakuna kukimbia Mpk kieleweke
Unakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.
Hizi kauli waliziongea kwa Gaza Israel alipoanza kuua watu Gaza.Vita ni vita 😁😁😁
Ukitaka vita hupaswi kumpangia opponent wako pa kukupiga Wala silaha ya kukupigia
Hatupangiwi. Kama Myahudi alitaka hivyo, at least angeitaarifu IRAN ,ohaa tunapiga sehemu zenu nyeti leo, hata kama asingezitaja specific, lakini afanye UGAIDI aachiwe tu.Unakosea bosi. Wayahudi hawajashambulia raia mkuu. Amelenga vitu vya msingi. Naye Iran alenge vitu vya msingi vya Wayahudi na sio kupiga makazi ya watu.
Wacha upopoma bro.Israel akianza kupiga makazi ya watu msitoe milio humu
Unaumia ukiwa wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Israel akianza kupiga makazi ya watu msitoe milio humu
Mbona Ayatollah mwenyewe mavi yanagonga kyupi. Haamini mziki wa IAFAyatollah shikilia hapohapo mpaka huyu shoga atie akili