Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Hujajibu swali embu jikite kwenye kujibu swali nimekuuliza hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua ? Mbona wameua raia na wameteka raia hizi sheria zenu mnazomkosoa israel huwa haiwahusu hamas?Kwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!
Na unaona sijajibu swali!!..we ni bogus..haya sema kwa nini sheria za vita ziliwekwa!?..maana hata adui akijisalimisha hutakiwi kumuua Wala kumtesa(pow),adui yule yule aliyeanzisha Vita na kuua wenzenuHujajibu swali embu jikite kwenye kujibu swali nimekuuliza hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua ? Mbona wameua raia na wameteka raia hizi sheria zenu mnazomkosoa israel huwa haiwahusu hamas?
Ukiona pahala umeshindwa akili basi kubali tu kuwa akili yako sio mwisho wa kila kitu.Kama hamas wanavaa kiraia kipindi cha vita na wanatangaza vifo vya magaidi wao kama vifo vya raia sisi tutajuaje huyu ni raia au ni hamas wajitofautishe wenyewe na raia
Si uhamie kabisa huko Gaza kwa ndugu zakoVita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Na wewe umekuwa kipofu! Umekuwa mpumbavu, wala huoni, hao mateka na idadi wa wapalestina waliokufa na kujeruhiwa ni sawa !Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Hadithi yako ndio hiyo hiyo kila siku.Kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
Wanajificha ndani ya mahandaki na Israel hawajaweza kupenya kwenda kuwafuata.
Ulitaka wajitokeze uwanjani wote halafu wapigwe hiyo carpet bombs.
Ama yanayohusu ICJ,ndio uone sasa Israel inavunja amri ya mahakama wazi wazi.Mbona umelikalia kimya kama unajali kufuata sheria na kanuni za vita.
Tusubiri siku Israel imetia saini kusubiri mateka halafu hakuna kitu.Itakuwaje kule TelavivHakuna mateka aliye hai
MajivuTusubiri siku Israel imetia saini kusubiri mateka halafu hakuna kitu.Itakuwaje kule Telaviv
Kwa mtazamo wako unazani pia Hamas wanasikitikia raia wao au wanajali maslahi yao zaidiKama yule mwanajeshi wa Marekani aliyejilipua tunasikitikia zaidi raia.
Sheria ya kimataifa inakataza kuua, kumfanya ngao,au kumfanya mateka Raia wa kawaidi ambae hausiki na jeshi Lakini hivi vyote Hamas wamevifanyaKwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!
Kwa nini hamas hawakuheshimu sheria za vita 07 Oktoba?Na unaona sijajibu swali!!..we ni bogus..haya sema kwa nini sheria za vita ziliwekwa!?..maana hata adui akijisalimisha hutakiwi kumuua Wala kumtesa(pow),adui yule yule aliyeanzisha Vita na kuua wenzenu
Unaniuliza Mimi ni kamanda wa Hamas!?..ndani ya jela za Israel Kuna wapalestina wengi TU walioshikwa na kufungwa bila hata kupelekwa mahakamaniKwa nini hamas hawakuheshimu sheria za vita 07 Oktoba?
Mbona unajichanganya!?..soma tena ulichoandikaSheria ya kimataifa inakataza kuua, kumfanya ngao,au kumfanya mateka Raia wa kawaidi ambae hausiki na jeshi Lakini hivi vyote Hamas wamevifanya
Mpaka February hii watoto wadogo kina mama na wazee waliuwawa na wengine kufanywa mateka mpaka muda huu una ongelea vipi hili?
Jibu hivyo hivyo swali lilivyo ulizwa na jinsi ulivyo elewaMbona unajichanganya!?..soma tena ulichoandika
hujamuuliza Mk254 swali hilo ??Nje ya kuongelea mambo ya vita na kuuana una kitu kingine mkuu?
Sijaelewa ndiyo maana nimeuliza,maana wanaoua watoto na wanawake ni IDF,kwa kisingizio Cha Hamas kujificha nyuma yao,walidai Hadi Hamas kujificha hospital,hawajatoa ushahidi wowote,yule bibi na wajukuu zake waliuawa na IDF,alikua kawakinga Hamas?..yule Binti mdogo Hindi aliyedunguliwa kwenye gari baada ya wazazi wake kufa kwa kombora la IDF alikua kawakinga Hamas!?Jibu hivyo hivyo swali lilivyo ulizwa na jinsi ulivyo elewa
Kwani hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua? Au hiyo sheria vita huwa haiwahusu hamas?