Israel wana hashtag yao kwenye social media NEVER AGAIN kwamba kwa wakati huu wanapeleka ujumbe kwa Hamas kama mnapenda familia zenu basi uhuni ulio fanyika October 7 ndio itakuwa mwisho
bad thing ni kwenye hii process Israel inazalisha Hamas wengine wengi walio uliwa familia zao na wapendwa wao wa kalibu ambao walikua kinyume na ideology ya kuuwa muisrael popote utakapo muona
usiangalie hii vita kwa mlengo wa kidini utakuwa kama wengine humu hii vita inahusu ardhi though dini Ina play part kubwa kama catalyst (petrol) kuchochea wakiwashe zaidi
je Hamas walicho kifanya 7/10 walikua sahihi? kuua na kuteka raia wasio na hatia hata wa mataifa mengine (RIP vijana wetu) you have the answer
Israel njia wanazo tumia ku retaliate are wrong but Hamas are wrong big times huwezi kushikilia mateka Raia ambao hawahusiki kwenye vita mpaka saizi almost 5 months na watu wenye akili timamu wakakuelewa
why usivamie kj ukapiga na kubeba askari? ambao utatumia kufanya mbadilishano wa wafungwa? unabeba katoto ka kike ka miaka Sita? unaua unabeba maiti ya mwanamke umeivua nguo unaipitisha mtaani na raia hao hao wa Palestine wasio na hatia wakishangiria allahu akubar kwamba hivi ndio vitendo vya Mwenyezi Mungu? This is wrong
View attachment 2918676