Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

Mkuu.....ww uniulie watoto wangu na wanawake wangu na mbaya zaidi utembeze maiti za wanawake uchi huku mkishangilia.....afu leo unajiliza mm nikiua watu wako......!!!Si walikua wanashangilia October 07 sasa wanalialia nn???
Kama ulijua hilo kwanini uliua bibi na wajukuu wangu waliokua wanakimbia risasi zako na ukabaka na kutembeza maiti za wanawake zikiwa uchi adharani????
Kama ww umepinda na mm nimepinda zaidi yako..!!!
50/50
Off point,jumuiya ya kimataifa iliweka sheria za vita,hizo propaganda zako hazina maana,fuatilia uchunguzi wa vyombo vya habari Israel,utajua kwamba apache za Israel zilifumua raia wake 7/10..
 
Israel wana hashtag yao kwenye social media NEVER AGAIN kwamba kwa wakati huu wanapeleka ujumbe kwa Hamas kama mnapenda familia zenu basi uhuni ulio fanyika October 7 ndio itakuwa mwisho

bad thing ni kwenye hii process Israel inazalisha Hamas wengine wengi walio uliwa familia zao na wapendwa wao wa kalibu ambao walikua kinyume na ideology ya kuuwa muisrael popote utakapo muona

usiangalie hii vita kwa mlengo wa kidini utakuwa kama wengine humu hii vita inahusu ardhi though dini Ina play part kubwa kama catalyst (petrol) kuchochea wakiwashe zaidi

je Hamas walicho kifanya 7/10 walikua sahihi? kuua na kuteka raia wasio na hatia hata wa mataifa mengine (RIP vijana wetu) you have the answer

Israel njia wanazo tumia ku retaliate are wrong but Hamas are wrong big times huwezi kushikilia mateka Raia ambao hawahusiki kwenye vita mpaka saizi almost 5 months na watu wenye akili timamu wakakuelewa

why usivamie kj ukapiga na kubeba askari? ambao utatumia kufanya mbadilishano wa wafungwa? unabeba katoto ka kike ka miaka Sita? unaua unabeba maiti ya mwanamke umeivua nguo unaipitisha mtaani na raia hao hao wa Palestine wasio na hatia wakishangiria allahu akubar kwamba hivi ndio vitendo vya Mwenyezi Mungu? This is wrongView attachment 2918676
Anayeangalia Vita vya Israel kwa mrengo wa kidini nani!?..Kuna wapalestina zaidi ya elfu 10 jela za Israel,wengine wamewekwa tu kwa kuwa walowezi kule west bank walipiga simu polisi kwamba gaidi anamwangalia Sana,majumba ya wapalestina yakibomolewa kila siku na ndege Vita za Israel,unajua waisrael wameua wapalestina wangapi kwa miaka 70+ ya ukoloni wao!?..unajua wapalestina wangapi waneporwa mashamba yao ya mizaituni na walowezi,waloporwa majumba yao!?..mtu anakuja kwako mlikoishi Karne na Karne anakwambia hii nyumba yangu,toka
 
Kujua chanzo cha huu mzozo tuanzie apo Kwenye ardhi hiyo ambayo Israel wameifanya koloni lao kwa miaka 70+ (means Israel invaded Palestine)

Sasa unaweza kunieleza wa Israel kwao ni wapi exactly?? Ili nikubaliane na hoja yako kuwa Israel ni wakoloni
 
Kwani wewe kwenu ni Tanganyika? Israeli imeanza lini na Palestina lini ?
 
Mkuu.....ww uniulie watoto wangu na wanawake wangu na mbaya zaidi utembeze maiti za wanawake uchi huku mkishangilia.....afu leo unajiliza mm nikiua watu wako......!!!Si walikua wanashangilia October 07 sasa wanalialia nn???
Kama ulijua hilo kwanini uliua bibi na wajukuu wangu waliokua wanakimbia risasi zako na ukabaka na kutembeza maiti za wanawake zikiwa uchi adharani????
Kama ww umepinda na mm nimepinda zaidi yako..!!!
50/50
Una takwimu na picha za watu walioshangilia yalipotendeka hayo unayosema.
Una uhakika majumba asilimia 80 ya ghorofa za gaza yalikaa watu walioshangilia
Jee watu wote 30000 waliouliwa uliwaona wakishangilia na wale majeruhi karibu milioni moja uliwaona nao wakishangilia.
Kama hukuwaona na ukawahukumu kwa adhabu hizo basi ni akili za ushoga na kulaaniwa basi.
 
Kwani wewe kwenu ni Tanganyika? Israeli umeanza lini na Palestina lini ?
ndio mm ni mTanganyika ki historia chimbuko la wazazi wangu ni hapa Tanganyika na kijographia mipaka imeweka na nimezaliwa ndani ya hii mipaka

so turudi kwenye point vipi Israel imeivamia Palestine na kufanya koloni lao je, wananchi wa Israel kwao exactly ni wapi kama hapo walipo Sio pao?
 
Kujua chanzo cha huu mzozo tuanzie apo Kwenye ardhi hiyo ambayo Israel wameifanya koloni lao kwa miaka 70+ (means Israel invaded Palestine)

Sasa unaweza kunieleza wa Israel kwao ni wapi exactly?? Ili nikubaliane na hoja yako kuwa Israel ni wakoloni
Nchi ya Israel ni mpya,hapo mwanzo haikuitwa Israel,iliitwa the Jewish state of Palestine, baadae ikaitwa Israel,pale Palestine palikua na wayahudi,hawakujiita waisrael,akina netanyahu hawana mahusiano na nchi hiyo..na hata wanawapiga Vita wayahudi waliokuwepo Palestine muda mrefu,akina netanyahu ni wazungu waliopata fursa ya kupora ardhi mbali na kwao
 
ndio mm ni mTanganyika ki historia chimbuko la wazazi wangu ni hapa Tanganyika na kijographia mipaka imeweka na nimezaliwa ndani ya hii mipaka

so turudi kwenye point vipi Israel imeivamia Palestine na kufanya koloni lao je, wananchi wa Israel kwao exactly ni wapi kama hapo walipo Sio pao?

Wewe si mbantu ??

WABANTU WAMETOKANA NA CENTRAL AFRIKA HAWANA ASILI EAST AFRICA NA WALE NILOTICS ASILI NI MTO NILE NA ARABUNI NA WALE WA SONGEA ASILI YAO KWA ZULU NATAL KWA SHAKA ZULU

Hao Wayahudi Kwao ni ulaya na Marekani walikotoka , Msikilize huyu mama Myahudi anavyosema kwenye hiyo clip

ndio mm ni mTanganyika ki historia chimbuko la wazazi wangu ni hapa Tanganyika na kijographia mipaka imeweka na nimezaliwa ndani ya hii mipaka

so turudi kwenye point vipi Israel imeivamia Palestine na kufanya koloni lao je, wananchi wa Israel kwao exactly ni wapi kama hapo walipo Sio pao?

Msikilize huyu Waziri Mkuu wa Israel wa Zamani Golda Meier anavyokuambia

View: https://www.youtube.com/watch?v=J2zvHcGNZXQ
 
Mbowe bhn sio gaidi alisingiziwa tu gaidi yupo humu humu JF kutwa nzima ni kuandika nyuzi za kigaidi. Mpaka mwaka huu uishe atakuwa kalipua kafiri wa kutosha afu anakuja kucelebrate humu JF.
 
Nchi ya Israel ni mpya,hapo mwanzo haikuitwa Israel,iliitwa the Jewish state of Palestine, baadae ikaitwa Israel,pale Palestine palikua na wayahudi,hawakujiita waisrael,akina netanyahu hawana mahusiano na nchi hiyo..na hata wanawapiga Vita wayahudi waliokuwepo Palestine muda mrefu,akina netanyahu ni wazungu waliopata fursa ya kupora ardhi mbali na kwao
Hizi stori zenu mnazodanganyana misikitini na redio imani
 
Off point,jumuiya ya kimataifa iliweka sheria za vita,hizo propaganda zako hazina maana,fuatilia uchunguzi wa vyombo vya habari Israel,utajua kwamba apache za Israel zilifumua raia wake 7/10..
Ni katika kuchanganyikiwa kwao.
 
jiliwaze tu.. Israel kasema vita haiishi hadi Hamas waishe hata kama wanajificha na raia haisaidii kitu... mateka wachiwe wote or you dead. na no more utawala wa hamas after war... sema Sema wakipigwa hawawapati lakini Hamas wao wanasema Magaidi wao 6000 wamededi na hii muslim ndio wameomba PO na masharti ya Hamas yametupiliwa mbali eti Israel iondoshe Majeshi Gaza wakati ndio yapo tayari for Good
Acha kujidanganya,hakuna wa kuimaliza hamas na huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom