Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

Kwani kwa mtazamo wako kwenye huu mzozo unazani Hamas wanapigana wakiwa wapi? yaani mazingira yao kwa sababu hapa hatuongelei jeshi lenye military bases tunaongelea watu wanaofanya ambush na kupotea hawana military uniform kuwatofautisha na Raia wa kawaidi kwenye battlefield. Vipi tukisema Hamas ndio hao hao Raia wa kawaidi ambao tunasema hawana hatia?
 
Raia wa kawaida waliojihifafhi hospital!?.. Israel wanashambulia wapalestina wanaofata chakula Cha msaada,wamekosa nini wale!?.. Israel inajua kuwa Hamas Wana mahandaki,na video za mapigano tunaziona,hatuoni bibi vizee na watoto wakirusha yassin propelled grenades Bali wanaume,unaua wanawake na watoto kwa nini!?..
 
Mayahudi ni walaaniwa,hawana utu hata kidogo.
Imeua wagonjwa wangapi mahospitalini ikidai kuna Hamas.Imekata umeme kwenye Hospitali ikijua kuna wagonjwa wako ICU.Mgonjwa aliye icu hata kama angekuwa Hamas basi ni wa kumuacha tu.
 
Israel wana hashtag yao kwenye social media NEVER AGAIN kwamba kwa wakati huu wanapeleka ujumbe kwa Hamas kama mnapenda familia zenu basi uhuni ulio fanyika October 7 ndio itakuwa mwisho

bad thing ni kwenye hii process Israel inazalisha Hamas wengine wengi walio uliwa familia zao na wapendwa wao wa kalibu ambao walikua kinyume na ideology ya kuuwa muisrael popote utakapo muona

usiangalie hii vita kwa mlengo wa kidini utakuwa kama wengine humu hii vita inahusu ardhi though dini Ina play part kubwa kama catalyst (petrol) kuchochea wakiwashe zaidi

je Hamas walicho kifanya 7/10 walikua sahihi? kuua na kuteka raia wasio na hatia hata wa mataifa mengine (RIP vijana wetu) you have the answer

Israel njia wanazo tumia ku retaliate are wrong but Hamas are wrong big times huwezi kushikilia mateka Raia ambao hawahusiki kwenye vita mpaka saizi almost 5 months na watu wenye akili timamu wakakuelewa

why usivamie kj ukapiga na kubeba askari? ambao utatumia kufanya mbadilishano wa wafungwa? unabeba katoto ka kike ka miaka Sita? unaua unabeba maiti ya mwanamke umeivua nguo unaipitisha mtaani na raia hao hao wa Palestine wasio na hatia wakishangiria allahu akubar kwamba hivi ndio vitendo vya Mwenyezi Mungu? This is wrong
 
Mayahudi ni walaaniwa,hawana utu hata kidogo.
Imeua wagonjwa wangapi mahospitalini ikidai kuna Hamas.Imekata umeme kwenye Hospitali ikijua kuna wagonjwa wako ICU.Mgonjwa aliye icu hata kama angekuwa Hamas basi ni wa kumuacha tu.
SIO MAYAHUDI HATA MAARABU NI MALAANIWA PIA.........KWANI MAARABU WAKATI WANALIANZISHA OCTOBER 07 WALITEGEMEA WAKIVUA SARE ZA KIJESHI NA KUJIFICHA HOSPTALIN WATASALIMIKA 🤣🤣🤣
 
Mayahudi ni walaaniwa,hawana utu hata kidogo.
Imeua wagonjwa wangapi mahospitalini ikidai kuna Hamas.Imekata umeme kwenye Hospitali ikijua kuna wagonjwa wako ICU.Mgonjwa aliye icu hata kama angekuwa Hamas basi ni wa kumuacha tu.
Kwahiyo Mungu wa waarabu allah kawalaani wayahudi????
Wakati Mungu wa wakristo na wayahudi yehova kawabariki?????
Nb: Ukiona mtu anawataja wayahudi kua MAYAHUDI na waarabu hawataji MAARABU......bas unajua akili yake ilipoishia 🤣🤣🤣😋😋
 
Mayahudi ni walaaniwa,hawana utu hata kidogo.
Imeua wagonjwa wangapi mahospitalini ikidai kuna Hamas.Imekata umeme kwenye Hospitali ikijua kuna wagonjwa wako ICU.Mgonjwa aliye icu hata kama angekuwa Hamas basi ni wa kumuacha tu.
Hamas wana utu?
 
Duuuuh walitembeza maiti uchi.......bas ndio maana wayahudi wanawachapa
 
Mkuu.....ww uniulie watoto wangu na wanawake wangu na mbaya zaidi utembeze maiti za wanawake uchi huku mkishangilia.....afu leo unajiliza mm nikiua watu wako......!!!Si walikua wanashangilia October 07 sasa wanalialia nn???
Kama ulijua hilo kwanini uliua bibi na wajukuu wangu waliokua wanakimbia risasi zako na ukabaka na kutembeza maiti za wanawake zikiwa uchi adharani????
Kama ww umepinda na mm nimepinda zaidi yako..!!!
50/50
 
Duuuuh walitembeza maiti uchi.......bas ndio maana wayahudi wanawachapa
Ndio na zipo video cha ajabu ni Raia wa Palestine wakina Mama na watoto waliweka shangwe la kufa mtu ilikua sikukuu ndogo ya Idd kwao Kwa kuua na kuteka wa Israeli but know table turned upside down wamekuwa wa kulia ku play victim
 
Hujajibu swali embu jikite kwenye kujibu swali nimekuuliza hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua ? Mbona wameua raia na wameteka raia hizi sheria zenu mnazomkosoa israel huwa haiwahusu hamas?
Wewe unazungumzia Oktoba 7 pekee? Israel imekuwa ikifanya mauaji ya watoto na wanawake tangu 1948 hadi sasa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba wewe na wataalamu wa masuala ya vita na wanasheria nguli duniani hawajaviona isipokuwa wewe tu?

Kesi ya ICJ kwenye utetezi wa Israel yeye anachokomaa ni kusema tu anajilinda wala hajasema unayoyasema wewe. Tunafuatilia kesi live.
 


Yaani myahudi haumii zaidi ya wewe uliyenyeshwa maandiko ya kuchakachuliwa ??
 
Kwamba Israel anauwezo wa vita? Wapi vita ya ya kubomoa makzi ya watu na kuua wanawake na watoto ndo umfananishe na Russia na China. KABLA ya vita nilikuwa naamini Israel ni dubwana kubwa kumbe jeuri yote ni kutoka Marekani, haha Sasa una bigana na wanamgambo wajiji miezi mitano. Hana ujuzi wa vita ya kisasa. AACHE KUU WATOTO NA KINA MAMA
 

Yaani wewe na wayahudi waliopigana huko , unaumia wewe mla makande wa Manzese uliyeletewa kitabu kilichochakachuliwa na wazungu


View: https://www.youtube.com/watch?v=n0KKHIS9D7I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…