Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi.
Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli wake kiuhakika mpaka vilipokuja vita vya Gaza.
Haijawahi kutokea popote pale duniani ambapo mtu anakaa kimya akishuhudia ndugu yake akiuliwa mbele yake.Hilo limetokea kwa kujirudia takriban miaka 2 ndani ya Gaza.
Ikijulikana utitiri wa mataifa hayo wana silaha za kutosha kuamua kutoa amri ya kusitishwa mauwaji hayo kwa sababu yoyote iwayo iliyopelekea kutokea kwa umuhimu wa kulinda maisha ya watu tu.
Ukiacha matumizi ya nguvu ambayo yangekuwa na sababu basi ambacho kingine wangeweza kukifanya mataifa hayo ilikuwa ni kutoa kauli za kulaani na kufanya ziara za kidiplomasia kutafutwa uungwaji mkono kwa lengo la kuzuia ukatili huo.Jambo hilo limekuwa likisikika mara moja moja kutoka kwa mataifa ya mbali na ya dini tofauti na imani ya mataifa hayo ya kiislamu.
Uthibitisho mwengine wa utafiti huo unaonekana pale mataifa hayo ya kiislamu na kiarabu siku yoyote yakikutana hayawezi kufikia kauli moja ya kiutekelezaji kwani katikati yao hutokea wengine miongoni mwao ambao hutetea kwa kujiamini kinyume ya lengo lililowakutanisha.
Chochote kinawez kutokea katikati ya hali hii inayoonekana kama kuvuna kile kilichopandwa na kilichokusudiwa kuvunwa muda huu.Mfano inavyoweza kutokea ni kuporomoka kwa nguvu za Marekani ambayo ndiyo inayoifadhili na kuilinda Israel,jambo ambalo dalili zake zimeshaanza na si rahisi kuzizuia zisiendelee kuleta mpasuka wake.Hiyo inaitwa qadari za Allah ambazo hutokea kwa njia za ajabu zisizofikirika.
Na kama qadari hizo zikiwa zimekusudiwa kuwapa muda zaidi watu wajitafakari,basi itafika muda utawala wa mayahudi wa Israel utaendelea kutenda kama unavyopenda na wataona wamefanikiwa kikamilifu na kufikia malengo.
Mambo yataanza kugeuka kutokana na tabia za mayahudi za kutosita kwenye kutenda uovu wao.Kila wakifikia hatua fulani wanaona haijatosha bora wapande daraja ya juu katika matendo yao maovu.Kwa mfano wakifanikiwa hatua za sasa kuwamaliza wapalestina watataka wauvunje msikiti wa Alaqsa na ambao kila siku wanaendelea kuuchimba.Hawataweza kuufuta kikamilifu lakini muda huo huo wataanza kuelekea masjiful Haram kule Makka na masjidul Nabawi kule Madina.
Watataka kwanza wasitishe ibada za hija na umra huku wakikusudia kutaka kuibomoa na hatimae kujitangazia uungu kamili na kutaka watu wote duniani waabudu kwa mujibu wa matakwa yao.
Katika lugha za mifano huwa tunasema Israel hawezi kula na vipofu.Atawavurugia mbele zao mpaka mwishowe vipofu watashtukia.
Kuna ahadi za Allah kuwa mtu muovu na anayetenda ukafiri uliopitiliz hawezi kupewa nguvu na kuachwa atambe mpaka mwisho wa dunia.Hivyo itafika muda kila kitu kitawaendea kinyume nyume na kuwadhalilisha kama kilichompata Firauni alipojitangazia Uungu kwenye kilele cha utawala wake.
Matakea ya mwisho ya kudhalilika huko yanaweza yakachukua muda kiasi kwamba mimi,Echolimali,Kiranga,Yoda na Imeloa tukawa tumeshaondoka duniani.Sio sisi peke yetu bali hata Kinyungu na MK254 watakuwa wamekwenda kabla hawajaona kilichowapata wenzao walioikataa haki.
Vile vile tupo baadhi yetu tunaweza tukabaki hai au hayo kutokea katika muda wa karibuni na tukayashuhudia kwa macho yetu wengine tukashukuru na wengine tukajionea utukufu wa Allah kwa macho yetu.Anaweza akawa ni PureView zeiss au Kida ze great ambaye kwa tabia zake za siri kila kitu anasikia harufu ya ushuzi hata iwe ni harufu ya biriani.