Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

Oct 07,2023 ndiyo iliyoisababisha Gaza iwe ilivyo leo Oct 07,2023 ndiyo iliyowafanya Magaidi wa Hezbollah wakose viongozi wao wakuu akiwemo Hassan Nasrallah. Oct 07,2023 ndiyo iliyosababisha Assad wa Syria apinduliwe. Oct 07,2023 ndiyo inayowafanya magaidi wa Houth wapigwe mpaka sasa. Oct. 07,2023 ndiyo ilisababisha Ismail Hanniyeh na Swahiba wake Yahya Sinwar kufa kibudu.
Daaah! Sahihi kabsa
 
Back
Top Bottom