Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!

Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."
 
Attachments

  • IMG_1578.jpeg
    IMG_1578.jpeg
    203.7 KB · Views: 31
  • IMG_2417.jpeg
    IMG_2417.jpeg
    173.8 KB · Views: 32
  • IMG_2452.jpeg
    IMG_2452.jpeg
    167.2 KB · Views: 36
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!

Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."aIsrael igana
Israel itapigana vita ngapi?
 
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!

Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."
Israel kama yeye mwenyewe peke yake hana uwezo huo hata kidogo anaweza kufanya mashambulizi na washirika wake na moto utawaka middle east
 
Israel kama yeye mwenyewe peke yake hana uwezo huo hata kidogo anaweza kufanya mashambulizi na washirika wake na moto utawaka middle eat
Tumia akili yako vizuri hakuna nchi duniani inayoweza kwenda vitani peke yake. Russia mwenyewe haijaingia vitani na Ukraine peke yake anasaidiwa na China,korea kaskazini Iran na Afrika kusini na nchi zingine nyingi tu. Kwa Israel unaona ubaya gani!?
 
Maneno mengi utendaji sifuri.

Vita ya kibiashara tu na China amenywea. Dunia ya leo hakuna mnyonge hasa kwa mataifa yanayojitambua kama Iran, North Korea, Russia nakadhalika.
Trump is a business man,mikwala yote hawezi kupeleka majeshi bila ruhusa ya Raisi Putin.
Putin ni mshirika wa Iran katika vita vya Ukraine.

Trump anafuata amri za Putin.
Lakini huku akijua anamhadaa Israel, lakini kaishafanya mazungumzo yakutatua mzozo huo anachotafuta ni mshiko na utajiri wa mafuta wa Iran.

Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
 
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!!
 
Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
Iran hajawahi itambua Israeli kama taifa.
Huo uhusiano utarudishwa kama mkoa au nchi?
Kumbuka uadui wao unatokana na iran kutowatambua.
 
Iran ndio nchi ya kwanza kutambua Israel ilipoanzishwa
Nchi ya kwanza kuitambua rasmi (de jure) uhuru wa Israel ilikuwa Umoja wa Kisovyeti (USSR) mnamo 17 Mei 1948, siku tatu baada ya Israel kutangaza uhuru wake tarehe 14 Mei 1948.
 
Iran ndio nchi ya kwanza kutambua Israel ilipoanzishwa
Iran haikuwa ya kwanza kuitambua Israel Marekani na nchi zingine za Ulaya. Iran iliitambua baada ya ya Uturuki kuitambua Israel hapo 1948!,
 
Israel na US wanajua fika wanachokifanya ukweli kuwa hawawezi kuingia vita na Iran hasa kipindi hiki wanachotaka ni kumtia presha ili asifanye promise 3 na pia wamkip Bize waisaidie vikundi kwa hofu ya kujilinda kwanza yeye ili wao wabuy time kuendelea kudhoofisha vikundi, kama unakumbuka walivyomdanganya mwanzo asifanye promise 2 ceasefire ya Gaza imekaribia baada ya muua haniye, hivyo ni wahuni tu hao hamna lolote wanajua wanacheza na moto wa aina gani, kile kichapo cha kambi za Israel bado kinawatia wenge Netanyahu roho inamuuma jamaa alikaanga F35 na 16 Zaidi ya 20+ na kuiacha kambi flat na waliokua zamu wote majivu hata sahau mbwa Netanyahu
 
kwa akili yako ndogo unafikiri ndege-Vita zinaanikwa tu kama karanga?
Kwa sababu kwenu uongo ni hulka yenu endelea kujidanganya mwenyewe. Promise-3 ilishabuma haiwezekani tena!!
 
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!

Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."
Tatizo kubwa sana tayari iran imesha kuwa na urafiki wa urussi ...wazungu wa nato ni wapumbavu awakutakiwa kumchokoza urussi bali walitakiwa kuungana naye kuwa kitu kimoja yani kutokuwa maadui ....marekani aina uwezo wowote wa kuishinda iran kijeshi ikiwa urussi ipo nyuma ya irani ....mbinu pekee kwa marekani na Israel ni kuifitinisha serikali ya iran ndani kwa ndani ili idondoke vinginevyo vita ni kujidanganya.
 
Back
Top Bottom