gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Nijipange kwa lipi? Kwani usiku huo walishambulia Nevatim pekee? Au walishambulia na kambi zingine? Nishakwambia acha ujuaji mimi humu sina aly niko mwenyewe face me bro!Hata baba yako@Ritz naye alikuwa analeta visababu uchwara kama unavyovileta wewe Nimekuuliza wewe Una uhakika gani kuwa hapo ni uwanja wa ndege wa Nevatim? Mimi najua uwanja huo uko Jangwani na hauko karibu na mji mbona sasa Naona kuna majengo na makazi ya watu hiyo labda ni Nevatim ya Manzese!!!
Hivi wewe huoni aibu kudanganya waziwazi??
Nenda kajipange upya!!!!!