Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

#Yemen

Highlights from the speech of the leader of Ansar Allah, Sayyed Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi, regarding the latest developments in the aggression on Gaza and regional and international updates:

- Our forces carried out 7 operations this week using rockets and drones deep into occupied Palestine, including one targeting Haifa.


- The recent Haifa operation took the enemy by surprise.


- These operations deep into occupied Palestine clearly prove the failure of the American aggression.


- Operations continue to confront the American enemy, including strikes and engagements with its aircraft carriers.


- The arrival of another aircraft carrier has not strengthened the American position, nor has it helped it achieve its aggressive goals.


- This week, we conducted 9 naval engagements with American forces, using 27 cruise missiles and drones.


- The naval clashes lasted for hours, and in one instance, as reported by a Chinese website, an aircraft carrier fled deep into the Arabian Sea.


- The newly arrived aircraft carrier also fled hundreds of miles during an engagement and has begun training on evasive maneuvers during clashes.


- Our forces continue to prevent maritime navigation by the "Israeli" enemy and the Americans, as they entangled themselves with the "Israelis".


- "Israeli" and American vessels have completely disappeared from the Red Sea, Bab Al-Mandeb, Gulf of Aden, and the Arabian Sea.


- There is absolutely no navigation activity by the "Israelis" or Americans—it has come to a complete halt.


- Regarding air defense forces—praise be to Allah—their effectiveness and operational outcomes are clearly evident.


- Air defense continues to shoot down armed American MQ-9 reconnaissance drones.


- By Allah's grace, this week alone, three MQ-9 drones were downed over the skies of Sana’a and Al-Hudaydah governorates.


- The seventh American drone to be downed this month over Hajjah is the 22nd drone shot down since the start of the support operations.


- Notably, the criminal Netanyahu was irritated by the “Yafa Drone” and our repeated reference to “Occupied Yafa” in our statements.


- The "Israeli" enemy is disturbed even by the focus on the real names of Palestinian cities and towns in media discourse.


- This annoyance is a valuable lesson—it constantly reminds the enemy it is a usurping, occupying, criminal, and temporary entity destined to vanish.


- Reaffirming the original names of Palestinian cities and towns carries immense significance.


- The "Israeli" enemy’s irritation over naming the drone “Yafa” and adding “Occupied” is an important lesson for media efforts at the Arab and Islamic level.


- The enemy’s frustration highlights the critical importance of terminology and naming in media performance.


- Yemen’s support remains fully active, while the Americans have failed to effectively back the "Israeli" enemy against Yemen.


- This week, the American enemy launched over 260 raids using bombers and other means, targeting civilian sites, as seen in the crime against the Furwah market.


- The American aggression has reached the point of targeting cemeteries, as it did with the Majel Al-Dammah cemetery in Sana’a.


- The aggression also targets travelers on the roads, public streets, and even residential courtyards, as it did early this morning.


#Military_Media
 
Taarifa ni kuwa meli zote za Mazayuni na bwana ake rasmi sasa zitafute namna nyingine ila sio walipo Houth, mchina na Mrusi na Iran wanakula shisha hapo red sea biashara kama kawa
 
Iran ikipigwa basi biashara ya silaha itakua imeisha na huwezi kamwe kumaliza biashara ya silaha duniani.

Nb.. Iran itapigwa na wairan wenyewe ili biashara ya silaha iendelee ngojeni tuone huu mchezo unasetiwaje na wamarekani
 
Oparation true promise 2 ndio oparation ya pili duniani kuwahi kufanyika kwa nchi kuushambulia nchi Zaid ya km 2000+ bila kupeleka jeshi huko wala mtu ya ni op ya kisasa zaidi kuwahi kufanyika dunia huku ya kwanza ikiwa promise 1 hivyo Iran Sasa hivi heshima yake nchi zinaufyata zenyewe zikiskia tehran
Quality ya missiles za muirani zina substitute matumizi ya aircraft
 
Ngoja niwaulize swali, Ni nani ambae alitaka haya mazungumzo baina ya Iran na Israel/USA?

Kuna mmoja katika hao ni muoga na anajua kabisa aki F*ck around ata Find out.

Hapo hakuna vita na wala haitatokea zaidi ya kuendelea kupigana mikwara hata baada ya makubaliano kufanikiwa.
 
Maneno mengi utendaji sifuri.

Vita ya kibiashara tu na China amenywea. Dunia ya leo hakuna mnyonge hasa kwa mataifa yanayojitambua kama Iran, North Korea, Russia nakadhalika.
Usa safari hii wanalo wamepata raisi muongo sana na mbabaishaji na hamna atakayemwamini kamwe mara amefanya deal na china kumbe ni uongo wake tu
 
Ngoja niwaulize swali, Ni nani ambae alitaka haya mazungumzo baina ya Iran na Israel/USA?

Kuna mmoja katika hao ni muoga na anajua kabisa aki F*ck around ata Find out.

Hapo hakuna vita na wala haitatokea zaidi ya kuendelea kupigana mikwara hata baada ya makubaliano kufanikiwa.
Usa wameishindwa yemen itakuwa ni iran ambayo kila siku kwao inajianda na vita
 
Pole sana leta video iliyo kweli kama hiyo ni fake, missile za Iran zinajulikana balaa lake hizo ni missile za Iran 100% roho inauma waislam kua na technology kubwa ya kuangamiza ndani ya dk 7-10 tu
Nazani kuna shida sana kwa watanzania hasa walokole linapokuja taifa la israel .israel akipigwa wanamsifia akipiga wana msifia sijui nani aliwalisha hiyo iman ya kijinga
 
Marekani haina uwezo wa kuipiga Iran sababu ni nyingi ..kwanza marekani kwa sasa inamatatizo na NATO washirika wake kwenye mambo ya vita... mbili iran tayari ina backup ya nchi zenye nguvu ...tatu silaha za ilani zipo chini ya ardhi mbali sana kuweza kufikiwa na mabomu ya marekani ....nne viwanda vya iran vipo ardhini vyote vya msingi kijeshi ..tano nchi ya iran ni kubwa sana ni mara mbili ya Tanzania..yapo mambo mengi tu..
Iran walisema kuhusu kujilinda na kushambulia hawamtegemei mshirika yoyote ila kuungwa mkono na super power kama urus na china kunaongeza faidi lakin walisema hawana haja ya kuletewa wanajeshi na washirika wao wanyewe wamejitosheleza ..
 
Iran walisema kuhusu kujilinda na kushambulia hawamtegemei mshirika yoyote ila kuungwa mkono na super power kama urus na china kunaongeza faidi lakin walisema hawana haja ya kuletewa wanajeshi na washirika wao wanyewe wamejitosheleza ..
Kusema na reality ni vitu viwili tofauti....hata sasa ilani inapewa tafu kijeshi na urussi kwenye tec
 
Oparation true promise 2 ndio oparation ya pili duniani kuwahi kufanyika kwa nchi kuushambulia nchi Zaid ya km 2000+ bila kupeleka jeshi huko wala mtu ya ni op ya kisasa zaidi kuwahi kufanyika dunia huku ya kwanza ikiwa promise 1 hivyo Iran Sasa hivi heshima yake nchi zinaufyata zenyewe zikiskia tehran
Hilo wazayuni wanalijua ila media propaganda hawataruhusiwa kusema hilo .. nilimskiliza IRGC anasema iran kamwe hawajawahi kuonyesha uwezo wao hiyo promis 2 ni kama tone la maji na kuwa wanauwezo wa kurusha missle 2000 kwa wimbi mboja bila shida yoyote na wanauwezo wa kurusha wimbi la kwanza la pili la tatu hata la nned bila shida yoyote .
 
Huu uongo wa vijiwe vya kahawa wa kitoto sana. Za kuambiwa changanya na zako.
Jiongeze kwanza,lakini my predication ndio hiyo inayotokana na viashiria vya Raisi Trump.Jaribu kwanza kujiongeza.Huu mchezo wa Iran vis Israel ya Benjamin mediator na strongman akiwa Trump nimeifanyia simulation na majibu ndio hayo.
Israel na Iran watarudisha Diplomatic Ties kama enzi za Shah.Sema it will take time.In return Marekani na Israel hazitavamia Iran,Iran ataendelea na mpago wake wa Nuclear, Gaza itapewa uhuru wa kuamua.
Vinu 38 vya Nuclear vinavyotaka kujengwa Iran wakandarasi watatoka Marekani.
 
kwani israeli alimpiga nani au nyie wale vilaza mnaoamini ile 6 days war
Waarabu wote kwa ujumla wao wamejaribu sana kupigana vita ili kuifuta taifa la Israel lakini bila mafanikio kwani kila vita waliyoianzisha matokeo yake yalikuwa ni vilio kwa waarabu hadi wakaamua kubwaga manyanga na leo hii hawataki tena vita na Israel.
 
Trump is a business man,mikwala yote hawezi kupeleka majeshi bila ruhusa ya Raisi Putin.
Putin ni mshirika wa Iran katika vita vya Ukraine.

Trump anafuata amri za Putin.
Lakini huku akijua anamhadaa Israel, lakini kaishafanya mazungumzo yakutatua mzozo huo anachotafuta ni mshiko na utajiri wa mafuta wa Iran.

Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
Hii stori yako ni sawa na maskini anayelala na njaa kuota kwamba ataamka na kukuta akiwa na vyakula kibau pamoja na mamilioni ya pesa.

So you're free to continue dreaming. It's what we call reverie.
 
Jiongeze kwanza,lakini my predication ndio hiyo inayotokana na viashiria vya Raisi Trump.Jaribu kwanza kujiongeza.Huu mchezo wa Iran vis Israel ya Benjamin mediator na strongman akiwa Trump nimeifanyia simulation na majibu ndio hayo.
Israel na Iran watarudisha Diplomatic Ties kama enzi za Shah.Sema it will take time.In return Marekani na Israel hazitavamia Iran,Iran ataendelea na mpago wake wa Nuclear, Gaza itapewa uhuru wa kuamua.
Vinu 38 vya Nuclear vinavyotaka kujengwa Iran wakandarasi watatoka Marekani.
Huu uongo wa vijiwe vya kahawa wa kitoto sana. Za kuambiwa changanya na zako. Weka source hapa. A reliable one.otherwise acha kudanganyika sheikh wangu.
 
Back
Top Bottom