Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

Vita ni gharama! Marekani inachosita kuingia vitani na Iran kama Israel inavyotaka ni kwa sababu ndiyo itakayobeba gharama karibia zote mf.silaha,fedha,nk
Ingekuwa Israel ina uwezo ingekuwa tayari imeshaipiga Iran muda mrefu bila hata kungoja US.
Marekani haina uwezo wa kuipiga Iran sababu ni nyingi ..kwanza marekani kwa sasa inamatatizo na NATO washirika wake kwenye mambo ya vita... mbili iran tayari ina backup ya nchi zenye nguvu ...tatu silaha za ilani zipo chini ya ardhi mbali sana kuweza kufikiwa na mabomu ya marekani ....nne viwanda vya iran vipo ardhini vyote vya msingi kijeshi ..tano nchi ya iran ni kubwa sana ni mara mbili ya Tanzania..yapo mambo mengi tu..
 
Zaid ya nuke ya Israel .....Iran kaizidi nguvu Israeli kwa zaidi ya mara 10 kwa nguvu za kijeshi...na miyndombinu ya kijeshi.
The Iranian air force only a few dozen working strike aircraft, including Russian jets and aging U.S. models acquired before the Iranian revolution of 1979. Tehran has a squadron of nine F-4 and F-5 fighter jets, some F-7s and F-14s, plus one squadron of Russian-made Sukhoi-24 jets and some MiG-29s, IISS says.

Israel has an advanced, U.S.-supplied air force with hundreds of F-15, F-16 and F-35 multipurpose jet fighters.

"That is a major advantage, especially in the early stages of an Iran-Israel conflict. Iran is still using decades-old aircraft," said Shaikh.
 
Iran hata isipokuwa na ndege hata moja nguvu zake ni kubwa
 
Israel na US wanajua fika wanachokifanya ukweli kuwa hawawezi kuingia vita na Iran hasa kipindi hiki wanachotaka ni kumtia presha ili asifanye promise 3 na pia wamkip Bize waisaidie vikundi kwa hofu ya kujilinda kwanza yeye ili wao wabuy time kuendelea kudhoofisha vikundi, kama unakumbuka walivyomdanganya mwanzo asifanye promise 2 ceasefire ya Gaza imekaribia baada ya muua haniye, hivyo ni wahuni tu hao hamna lolote wanajua wanacheza na moto wa aina gani, kile kichapo cha kambi za Israel bado kinawatia wenge Netanyahu roho inamuuma jamaa alikaanga F35 na 16 Zaidi ya 20+ na kuiacha kambi flat na waliokua zamu wote majivu hata sahau mbwa Netanyahu
hizi akili zenu za madrasa unafikiri Israel Hana akili akaanike ndege za thamani kubwa F 35 kama mihogo ya daku jangwani
 
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!

Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."
hiyo promise 3 Wala Iran hatofanya kichapo cha ndege 100 zilivyopiga rada za Iran na kuiacha Iran uchi hana hamu Tena Israel inaweza hata kumlipua Ayatollah na kasri lake
 
Trump is a business man,mikwala yote hawezi kupeleka majeshi bila ruhusa ya Raisi Putin.
Putin ni mshirika wa Iran katika vita vya Ukraine.

Trump anafuata amri za Putin.
Lakini huku akijua anamhadaa Israel, lakini kaishafanya mazungumzo yakutatua mzozo huo anachotafuta ni mshiko na utajiri wa mafuta wa Iran.

Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
Huu uongo wa vijiwe vya kahawa wa kitoto sana. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Israel na US wanajua fika wanachokifanya ukweli kuwa hawawezi kuingia vita na Iran hasa kipindi hiki wanachotaka ni kumtia presha ili asifanye promise 3 na pia wamkip Bize waisaidie vikundi kwa hofu ya kujilinda kwanza yeye ili wao wabuy time kuendelea kudhoofisha vikundi, kama unakumbuka walivyomdanganya mwanzo asifanye promise 2 ceasefire ya Gaza imekaribia baada ya muua haniye, hivyo ni wahuni tu hao hamna lolote wanajua wanacheza na moto wa aina gani, kile kichapo cha kambi za Israel bado kinawatia wenge Netanyahu roho inamuuma jamaa alikaanga F35 na 16 Zaidi ya 20+ na kuiacha kambi flat na waliokua zamu wote majivu hata sahau mbwa Netanyahu
Mkishiba tende na ukwaju ndo mnaleta mvumbio kama huu.Promise 3 iliota mbawa baada ya kipigo cha mademu ndani ya Irani. Wale mademu washenzi sana. Walipiga Irani wakarudi kwao kwenda kunywa kahawa. Iran ikaishia kutoa mikwara mpaka leo. Promise 3 mpaka leo imebaki midomoni mwa wandengereko wairan wenyewe hata hamu hawana.
 
Zaid ya nuke ya Israel .....Iran kaizidi nguvu Israeli kwa zaidi ya mara 10 kwa nguvu za kijeshi...na miyndombinu ya kijeshi.
Hao hawatakuelewa na Nuke Iran anayo huwezi Rutubisha ile thermol kwa 60% + ulikose bomb hakuna, mzigo naamini upo ndio maana Trump kachachawa kupiga hawezi kuvamia hawezi ni maneno matupu
 
hiyo promise 3 Wala Iran hatofanya kichapo cha ndege 100 zilivyopiga rada za Iran na kuiacha Iran uchi hana hamu Tena Israel inaweza hata kumlipua Ayatollah na kasri lake
Kwakua Iran Iko uchi ndio wakati sahihi sasa wakuivamia kijeshi waende sasa
 
Narudia ballistic missiles zinazo beba warheads kg kuanzia 500+ hizo sio toy enyi wagalatia huo ni Uzito wa Carina T.I zikisambaa 100 lazima upagawe na ndicho kilichomkuta toto tundu manina
 
Oparation true promise 2 ndio oparation ya pili duniani kuwahi kufanyika kwa nchi kuushambulia nchi Zaid ya km 2000+ bila kupeleka jeshi huko wala mtu ya ni op ya kisasa zaidi kuwahi kufanyika dunia huku ya kwanza ikiwa promise 1 hivyo Iran Sasa hivi heshima yake nchi zinaufyata zenyewe zikiskia tehran
 
hizi akili zenu za madrasa unafikiri Israel Hana akili akaanike ndege za thamani kubwa F 35 kama mihogo ya daku jangwani
Si mmarekani alimwambia atamlinda halafu mzigo ndio ulikua mpya umetua tua kutoka kwa bwana ake na mbaya alishtukizwa mwanzoni alipewa taarifa tunakupiga maneno yakawa mengi hiii alipata taarifa vitu viko hewani utahamisha vingapi ndani dk 7-15? Huku ikipambana kuzuia na bwana ake akimsaidia hahahhahahh
 
Enyi wana taqqiya chutameni mkubwa ni mkubwa tu
 
Back
Top Bottom