Israel itapigana vita ngapi?Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!
Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."aIsrael igana
Pale middle East ile ni vita ya wenyewe kwa wenyewe. Na Iran itakuwa vita baina ya mataifa mawili matukufu.Israel itapigana vita ngapi?
kwamba akili yako inafikiri IRAN ni kundi la watu!!!Nawahurumia wanawake na watoto wa Iran maanake wanakuja kugeuzwa ngao.
Israel kama yeye mwenyewe peke yake hana uwezo huo hata kidogo anaweza kufanya mashambulizi na washirika wake na moto utawaka middle eastTrump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!
Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."
Tumia akili yako vizuri hakuna nchi duniani inayoweza kwenda vitani peke yake. Russia mwenyewe haijaingia vitani na Ukraine peke yake anasaidiwa na China,korea kaskazini Iran na Afrika kusini na nchi zingine nyingi tu. Kwa Israel unaona ubaya gani!?Israel kama yeye mwenyewe peke yake hana uwezo huo hata kidogo anaweza kufanya mashambulizi na washirika wake na moto utawaka middle eat
Trump is a business man,mikwala yote hawezi kupeleka majeshi bila ruhusa ya Raisi Putin.Maneno mengi utendaji sifuri.
Vita ya kibiashara tu na China amenywea. Dunia ya leo hakuna mnyonge hasa kwa mataifa yanayojitambua kama Iran, North Korea, Russia nakadhalika.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!!Trump is a business man,mikwala yote hawezi kupeleka majeshi bila ruhusa ya Raisi Putin.
Putin ni mshirika wa Iran katika vita vya Ukraine.
Trump anafuata amri za Putin.
Lakini huku akijua anamhadaa Israel, lakini kaishafanya mazungumzo yakutatua mzozo huo anachotafuta ni mshiko na utajiri wa mafuta wa Iran.
Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
Iran hajawahi itambua Israeli kama taifa.Mwisho utasikia Iran imeishakuwa na makombora ya nuclear on his watch.
Atamlazimisha Netanyahu arudishe uhusiano na Iran full stop.
Iran ndio nchi ya kwanza kutambua Israel ilipoanzishwaIran hajawahi itambua Israeli kama taifa.
Huo uhusiano utarudishwa kama mkoa au nchi?
Kumbuka uadui wao unatokana na iran kutowatambua.
Nchi ya kwanza kuitambua rasmi (de jure) uhuru wa Israel ilikuwa Umoja wa Kisovyeti (USSR) mnamo 17 Mei 1948, siku tatu baada ya Israel kutangaza uhuru wake tarehe 14 Mei 1948.Iran ndio nchi ya kwanza kutambua Israel ilipoanzishwa
Iran sio gazaNawahurumia wanawake na watoto wa Iran maanake wanakuja kugeuzwa ngao.
Tatizo kubwa sana tayari iran imesha kuwa na urafiki wa urussi ...wazungu wa nato ni wapumbavu awakutakiwa kumchokoza urussi bali walitakiwa kuungana naye kuwa kitu kimoja yani kutokuwa maadui ....marekani aina uwezo wowote wa kuishinda iran kijeshi ikiwa urussi ipo nyuma ya irani ....mbinu pekee kwa marekani na Israel ni kuifitinisha serikali ya iran ndani kwa ndani ili idondoke vinginevyo vita ni kujidanganya.Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!
Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran - lakini alibainisha, "Makubaliano bado yanaweza kufikiwa bila shambulio." Kulingana na yeye, Waziri Mkuu wa Israel anaweza kuiongoza nchi katika vita na Tehran: "Hatutaburutwa ndani yake, lakini ikiwa hatutafikia makubaliano - nitajiunga kushusha kipigo kwa Iran kwa furaha."