Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,232
Reaction score
3,334
Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi.

Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao mkuu, Iran. Israel amefanikiwa kuuawa viongozi wote wa Hezbollah, Hamas na kuipiga Yemen ya Hauthi kiasi kwamba nao wameona wawe wapole.

Ni dhahili kuwa makundi yote haya yanayosaidiwa na Iran yamepoteana, baba yao anapigwa lakini makundi yote yamepoa, hayana la kifanya kwani tayari, tangu vita ya Israel na Iran ianze, hakuna hata kombola moja limerushwa na Hezbollah wala Hamas. Kwa kifupi ni kwamba wamepoteana.

Iran-Ndani ya Iran kwenyewe nako wamepoteana, kiongozi pekee aliebaki Iran ni Ali Khemenei, tana na yeye ilikuwa auwawe Ijumaa iliyopita lakini kwa huruma ya Trump akamwambia Netanyahu huyu achana nae kwanza. Iwapo Israel atafanikiwa kupiga kituo cha Nyuklia cha Fordo chini Iran, basi amani ya muda mrefu ya mashariki ya kati itakupatika, na uenda ndio ukawa mwanzo wa kujadili juu ya hatma ya Wapalestina

Hadi sasa hawa ndio viongozi ambao tayari wameawa na Israel, kwa kifupi Ali Khemenei amebaki kama yatima, hajui afanye nini
Viongozi wa Hezbollah Waliouawa

  • Hassan Nasrallah – Katibu Mkuu wa Hezbollah (anaripotiwa kuuawa)
    Kiongozi wa muda mrefu; anaripotiwa kuuawa mwishoni mwa mwaka 2024 katika shambulio la kombora lililolenga kificho cha chini ya ardhi jijini Beirut. Israel haijathibitisha rasmi, na Hezbollah haijatoa tamko.
  • Hashem Safieddine – Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Uongozi la Hezbollah
    Alikuwa anatazamwa kama mrithi wa Nasrallah. Aliuawa katika shambulio la angani la usahihi mnamo Oktoba 2024.
  • Fuad Shukr – Kamanda mkuu wa kijeshi na mbunifu wa silaha
    Mwanachama wa Baraza la Jihad, aliuawa jijini Beirut katikati ya mwaka 2024.
  • Wissam al-Tawil (Jawad) – Kamanda wa Vikosi vya Radwan
    Aliuawa kusini mwa Lebanon mnamo Januari 2024.
  • Taleb Abdallah – Kamanda wa eneo la kusini la Hezbollah
    Aliuawa Juni 2024 katika shambulio karibu na mpaka wa Israel na Lebanon.

​
Viongozi wa Hamas Waliouawa

  • Yahya Sinwar – Kiongozi wa Hamas huko Gaza
    Mbunifu wa shambulio la Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel. Anasadikiwa kuuawa katika shambulio la handaki huko Rafah mwishoni mwa 2024 au mapema 2025. Kifo chake kilithibitishwa Juni 2025 baada ya mwili wake kutambuliwa.
  • Mohammed Sinwar – Kamanda wa kijeshi na ndugu wa Yahya
    Aliuawa katika operesheni ya Khan Younis mapema 2025.
  • Mohammed Deif – Kamanda mkuu wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
    Mbunifu mkuu wa mikakati ya kijeshi ya Hamas. Israel inadai aliuawa katika shambulio la Julai 2024; Hamas haijathibitisha.
  • Marwan Issa – Naibu kamanda wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
    Aliuawa Machi 2024 katika kificho cha handaki katikati ya Gaza.
  • Saleh al-Arouri – Naibu kiongozi wa kisiasa na mratibu na Iran
    Aliuawa kwa shambulio la droni mjini Beirut mnamo Januari 2024.

​

Viongozi wa Iran (IRGC) Waliouawa

  • Mohammad Reza Zahedi – Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha IRGC
    Aliuawa katika shambulio la anga mjini Damascus mapema 2024. Alikuwa akisimaia operesheni za Syria na Lebanon.
  • Mohammad Hadi Haji Rahimi – Kamanda mkuu wa vifaa vya kijeshi wa IRGC
    Alishambuliwa na kuuawa pamoja na Zahedi katika tukio hilo hilo huko Damascus.
  • Ali Reza Zahrai – Afisa wa Kikosi cha Quds
    Alilengwa na kuuawa nchini Iraq mwaka 2024.
  • Maafisa wengine wa IRGC (majina hayajatajwa)
    Inaripotiwa kwamba maafisa kadhaa zaidi wameuawa katika mashambulizi ya Israel nchini Syria, Iraq, na huenda pia ndani ya Iran.
 
Mwana wa Israel tawi la mpiji magohe katika ubora wako.
Ni nani haswa mfadhili wa ISIS, Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram?.
Fumbua macho mzee baba, Deep State ya Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiri, zingatia sana mpango wa From the river to the Sea.
 
Irani ikianguka hakuna hamas, hakuna hauth wa yemen wala hezbola wa lebanon. Hawa wote walikua wanapata silaha toka Iran. Japo watabakia wapiganaji mmoja mmoja wa kitumia visu na mawe. Tukumbuke huu uhasama ushapandikizwa vizazi na vizazi
 
Mwana wa Israel tawi la mpiji magohe katika ubora wako.
Ni nani haswa mfadhili wa ISIS, Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram?.
Fumbua macho mzee baba, Deep State ya Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiri, zingatia sana mpango wa From the river to the Sea.
Umeanza uongouongo.
 
tangu vita ya Israel na Iran ianze, hakuna hata kombola moja limerushwa na Hezbollah wala Hamas. Kwa kifupi ni kwamba wamepoteana.
Hujui Kitu, sio mfatiliaji wa mashariki ya Kati, jana TU Hamas wamerusha maroketi matatu na Moja limepiga target
 
Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi.

Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao mkuu, Iran. Israel amefanikiwa kuuawa viongozi wote wa Hezbollah, Hamas na kuipiga Yemen ya Hauthi kiasi kwamba nao wameona wawe wapole.

Ni dhahili kuwa makundi yote haya yanayosaidiwa na Iran yamepoteana, baba yao anapigwa lakini makundi yote yamepoa, hayana la kifanya kwani tayari, tangu vita ya Israel na Iran ianze, hakuna hata kombola moja limerushwa na Hezbollah wala Hamas. Kwa kifupi ni kwamba wamepoteana.

Iran-Ndani ya Iran kwenyewe nako wamepoteana, kiongozi pekee aliebaki Iran ni Ali Khemenei, tana na yeye ilikuwa auwawe Ijumaa iliyopita lakini kwa huruma ya Trump akamwambia Netanyahu huyu achana nae kwanza. Iwapo Israel atafanikiwa kupiga kituo cha Nyuklia cha Fordo chini Iran, basi amani ya muda mrefu ya mashariki ya kati itakupatika, na uenda ndio ukawa mwanzo wa kujadili juu ya hatma ya Wapalestina

Hadi sasa hawa ndio viongozi ambao tayari wameawa na Israel, kwa kifupi Ali Khemenei amebaki kama yatima, hajui afanye nini
Viongozi wa Hezbollah Waliouawa

  • Hassan Nasrallah – Katibu Mkuu wa Hezbollah (anaripotiwa kuuawa)
    Kiongozi wa muda mrefu; anaripotiwa kuuawa mwishoni mwa mwaka 2024 katika shambulio la kombora lililolenga kificho cha chini ya ardhi jijini Beirut. Israel haijathibitisha rasmi, na Hezbollah haijatoa tamko.
  • Hashem Safieddine – Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Uongozi la Hezbollah
    Alikuwa anatazamwa kama mrithi wa Nasrallah. Aliuawa katika shambulio la angani la usahihi mnamo Oktoba 2024.
  • Fuad Shukr – Kamanda mkuu wa kijeshi na mbunifu wa silaha
    Mwanachama wa Baraza la Jihad, aliuawa jijini Beirut katikati ya mwaka 2024.
  • Wissam al-Tawil (Jawad) – Kamanda wa Vikosi vya Radwan
    Aliuawa kusini mwa Lebanon mnamo Januari 2024.
  • Taleb Abdallah – Kamanda wa eneo la kusini la Hezbollah
    Aliuawa Juni 2024 katika shambulio karibu na mpaka wa Israel na Lebanon.
​

Viongozi wa Hamas Waliouawa

  • Yahya Sinwar – Kiongozi wa Hamas huko Gaza
    Mbunifu wa shambulio la Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel. Anasadikiwa kuuawa katika shambulio la handaki huko Rafah mwishoni mwa 2024 au mapema 2025. Kifo chake kilithibitishwa Juni 2025 baada ya mwili wake kutambuliwa.
  • Mohammed Sinwar – Kamanda wa kijeshi na ndugu wa Yahya
    Aliuawa katika operesheni ya Khan Younis mapema 2025.
  • Mohammed Deif – Kamanda mkuu wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
    Mbunifu mkuu wa mikakati ya kijeshi ya Hamas. Israel inadai aliuawa katika shambulio la Julai 2024; Hamas haijathibitisha.
  • Marwan Issa – Naibu kamanda wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
    Aliuawa Machi 2024 katika kificho cha handaki katikati ya Gaza.
  • Saleh al-Arouri – Naibu kiongozi wa kisiasa na mratibu na Iran
    Aliuawa kwa shambulio la droni mjini Beirut mnamo Januari 2024.
​

Viongozi wa Iran (IRGC) Waliouawa

  • Mohammad Reza Zahedi – Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha IRGC
    Aliuawa katika shambulio la anga mjini Damascus mapema 2024. Alikuwa akisimaia operesheni za Syria na Lebanon.
  • Mohammad Hadi Haji Rahimi – Kamanda mkuu wa vifaa vya kijeshi wa IRGC
    Alishambuliwa na kuuawa pamoja na Zahedi katika tukio hilo hilo huko Damascus.
  • Ali Reza Zahrai – Afisa wa Kikosi cha Quds
    Alilengwa na kuuawa nchini Iraq mwaka 2024.
  • Maafisa wengine wa IRGC (majina hayajatajwa)
    Inaripotiwa kwamba maafisa kadhaa zaidi wameuawa katika mashambulizi ya Israel nchini Syria, Iraq, na huenda pia ndani ya Iran.
Hapo kwa iran namba ni chache sahivi wameuawa viongozi wa kijeshi 17 pamoja na yule mpya ambaye hakumaliza hata masaa 72 akapelekwa kwa mabikra 72 kiasi cha kuwafanya iran warushe hovyo hypersonic missile kwenye makazi ya watu huko telviv.

Pia Ayatollah ali kamenei ameambiwa ajisalimishe yeye mwenyewe lasi hivyo B-2 itafanya kazi yake.

Kamenei kagoma kwasababu anajua atakufa kifo cha dhihaka kama ilivyokuwa kwa sadam hussein hivyo kaona ni bora afie vitani..

Ngoja tuone itakavyokua maana muda si mrefu USA wataanza kufukua vinu vya nyuklia kwa kivuli cha israel
 
Kwa sasa Israel inachokifanya, ni kuihakikishi utulivu na amani Mashariki ya kati yote.

Machafuko na vita vingi vinavyoendelea, chanzo ni Ayatollah wa Iran.

Ayatollah, kupitia imani yake ya kidini:

1. Anasema mtume aliagiza kuwa wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani.. kupitia falsafa yake yake hiyo anasema ni lazima Iran siku moja ilitekeleze taifa la Israel.

2. Ayatollah anasema kuwa nchi zote zinatakiwa kuongozwa kwa sharia za kiislam. Kupitia falsafa yake hiyo ameanzisha makundi mbalimbali ya kigaidi ili kuzipindua Serikali zinazoongozwa na wasuni wasio na misimamo mikali ndani ya mataifa ya kiarabu. Makundi yake hayo ya kigaidi yameleta maafa makubwa kwa mataifa ya kiarabu: Syria, Yemen na Lebanon.

3. Utawala wa Ayatollah pia umeleta maafa, mateso na umaskini mkubwa kwa wananchi wa Iran kupitia sheria za kishetani zinazosimamiwa na waislam wenye misimamo mikali ya ajabu. Fikiria wanawake 61 waliuawa na huyu shetani Ayatollah, kwa kutovaa ninja, na wengine kwa kupinga mauaji hayo.

Hivyo kuondolewa kwa utawala wa Ayatollah, na kuja kwa utawala mpya utakaoheshimu haki za wananchi wa Iran na mataifa mengine, kutasababisha Mashariki ya kati yote kuwa eneo lenye utulivu na maendeleo. Katika hili, Israel imejitoa sadaka.
 
Kwahio nyie ndio wasemaji wa watu wa IRani? Watu wa IRani ndio wataamua mwenyewe kumtoa sio nyie huo ni unafiki Israel wanataka ardhi ile waliyonayo haiwatoshi nenda kasome Great Israel ndio utaelewa wanataka nini Sasa kuwepo Kwa Irani ile expand haitawezekana, kingine miaka 5-10 ijayo Yemeni itakua Kama Iran hivyo bado vita sio solution hapo middle east zaidi ya makubaliano ya amani ambayo Hata Irani Yuko tayari sema majivuno ya mazayuni Sasa wanalialia kila kona y dunia na kumfosi mmarekani afanye mistake tena
 
Back
Top Bottom