Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hatutamlilia.Tutamfanyia hitma njema ili agugune mabikra 72 huku anabugi mvinyo laini kandokando ya kijito.Ayatollah mwenyewe muda wowote mtamlilia

Na Israel anaongoza 4 mtungi full time sijui itakuwajeMpira ni dakika 90 na hapa tupo dakika ya ya pili
Utajua wewe jiandikie chochote ila leo kombora la Iran limeondoka na makumi ya wanamgambo wa kiyahudi waliojificha jiran na hospital ya sorokaNa Israel anaongoza 4 mtungi full time sijui itakuwaje
Maneno yake ni kweli Israel anatumiwa kama vile Ukraine na ukitazama hata Ukraine kiongozi wso ndio kama huo Netanyahu wote ni ZionistChancellor wa Ujerumani: Israel inafanya kazi chafu kwa manufaa yetu sote.
Maneno yake ni kweli Israel anatumiwa kama vile Ukraine na ukitazama hata Ukraine kiongozi wso ndio kama huo Netanyahu wote ni Zionist
Wanao sema Trump alimkataza Netanyahu kumuwa Ayatollah Ali Khomen ni propoganda walitaka kumuwa ijumaa waka failed walinzi wake waliwashika hao walio tumwa na Mossad.
View: https://youtube.com/shorts/VzcXnKasxRg?si=ouCN0KDTdiNtZfS5
We kiazi na kenge hizo ndege zilijua vipi wale macommader wako pale time zile kama kulikuwa hakuna ushirikiano na watu kule Iran. Kwa Ayatollah waliwahi kudakwa kabla ya kuweka hizo device zao zinazo peleka infomation kwenye target ya kupigwa.😂 😂 😂 😂 😂 We kweli kiazi!
.
Kumuua Ayatollah ni mpaka uende moja kwa moja?
Kwani makamanda wake wa jeshi wamekufaje?
Basi mkuu tufanye Ayatollah yuko salama hawezi kufikiwa na IsraelWe kiazi na kenge hizo ndege zilijua vipi wale macommader wako pale time zile kama kulikuwa hakuna ushirikiano na watu kule Iran. Kwa Ayatollah waliwahi kudakwa kabla ya kuweka hizo device zao zinazo peleka infomation kwenye target ya kupigwa.
Hawata mfikia na hata wakimfikia ni lazima wapate wanafiki walio shirikiano nao hawana technology ya kumfikia mtu bila kuwepo wasaidizi huko.Basi mkuu tufanye Ayatollah yuko salama hawezi kufikiwa na Israel
UnaotaHawata mfikia na hata wakimfikia ni lazima wapate wanafiki walio shirikiano nao hawana technology ya kumfikia mtu bila kuwepo wasaidizi huko.
tatizo kubwa linalosumbua tanzania ni poor education, watanzania wengi wana poor thinking capacity na very little exposure ya mambo Mbali Mbali duniani , wewe mleta post ni mmoja wapo wa waathirika wa haya yoteIko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi.
Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao mkuu, Iran. Israel amefanikiwa kuuawa viongozi wote wa Hezbollah, Hamas na kuipiga Yemen ya Hauthi kiasi kwamba nao wameona wawe wapole.
Ni dhahili kuwa makundi yote haya yanayosaidiwa na Iran yamepoteana, baba yao anapigwa lakini makundi yote yamepoa, hayana la kifanya kwani tayari, tangu vita ya Israel na Iran ianze, hakuna hata kombola moja limerushwa na Hezbollah wala Hamas. Kwa kifupi ni kwamba wamepoteana.
Iran-Ndani ya Iran kwenyewe nako wamepoteana, kiongozi pekee aliebaki Iran ni Ali Khemenei, tana na yeye ilikuwa auwawe Ijumaa iliyopita lakini kwa huruma ya Trump akamwambia Netanyahu huyu achana nae kwanza. Iwapo Israel atafanikiwa kupiga kituo cha Nyuklia cha Fordo chini Iran, basi amani ya muda mrefu ya mashariki ya kati itakupatika, na uenda ndio ukawa mwanzo wa kujadili juu ya hatma ya Wapalestina
Hadi sasa hawa ndio viongozi ambao tayari wameawa na Israel, kwa kifupi Ali Khemenei amebaki kama yatima, hajui afanye nini
Viongozi wa Hezbollah Waliouawa
- Hassan Nasrallah – Katibu Mkuu wa Hezbollah (anaripotiwa kuuawa)
Kiongozi wa muda mrefu; anaripotiwa kuuawa mwishoni mwa mwaka 2024 katika shambulio la kombora lililolenga kificho cha chini ya ardhi jijini Beirut. Israel haijathibitisha rasmi, na Hezbollah haijatoa tamko.- Hashem Safieddine – Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Uongozi la Hezbollah
Alikuwa anatazamwa kama mrithi wa Nasrallah. Aliuawa katika shambulio la angani la usahihi mnamo Oktoba 2024.- Fuad Shukr – Kamanda mkuu wa kijeshi na mbunifu wa silaha
Mwanachama wa Baraza la Jihad, aliuawa jijini Beirut katikati ya mwaka 2024.- Wissam al-Tawil (Jawad) – Kamanda wa Vikosi vya Radwan
Aliuawa kusini mwa Lebanon mnamo Januari 2024.- Taleb Abdallah – Kamanda wa eneo la kusini la Hezbollah
Aliuawa Juni 2024 katika shambulio karibu na mpaka wa Israel na Lebanon.
Viongozi wa Hamas Waliouawa
- Yahya Sinwar – Kiongozi wa Hamas huko Gaza
Mbunifu wa shambulio la Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel. Anasadikiwa kuuawa katika shambulio la handaki huko Rafah mwishoni mwa 2024 au mapema 2025. Kifo chake kilithibitishwa Juni 2025 baada ya mwili wake kutambuliwa.- Mohammed Sinwar – Kamanda wa kijeshi na ndugu wa Yahya
Aliuawa katika operesheni ya Khan Younis mapema 2025.- Mohammed Deif – Kamanda mkuu wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
Mbunifu mkuu wa mikakati ya kijeshi ya Hamas. Israel inadai aliuawa katika shambulio la Julai 2024; Hamas haijathibitisha.- Marwan Issa – Naibu kamanda wa kijeshi wa Brigedi za Qassam
Aliuawa Machi 2024 katika kificho cha handaki katikati ya Gaza.- Saleh al-Arouri – Naibu kiongozi wa kisiasa na mratibu na Iran
Aliuawa kwa shambulio la droni mjini Beirut mnamo Januari 2024.
Viongozi wa Iran (IRGC) Waliouawa
- Mohammad Reza Zahedi – Kamanda mwandamizi wa Kikosi cha Quds cha IRGC
Aliuawa katika shambulio la anga mjini Damascus mapema 2024. Alikuwa akisimaia operesheni za Syria na Lebanon.- Mohammad Hadi Haji Rahimi – Kamanda mkuu wa vifaa vya kijeshi wa IRGC
Alishambuliwa na kuuawa pamoja na Zahedi katika tukio hilo hilo huko Damascus.- Ali Reza Zahrai – Afisa wa Kikosi cha Quds
Alilengwa na kuuawa nchini Iraq mwaka 2024.- Maafisa wengine wa IRGC (majina hayajatajwa)
Inaripotiwa kwamba maafisa kadhaa zaidi wameuawa katika mashambulizi ya Israel nchini Syria, Iraq, na huenda pia ndani ya Iran.
Siwezi kubishana na mjinga ebdekea unavyo aminiUnaota
Israel ime copy Lissu style, pambana na mfadhiliIko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi.

😂 😂 😂 😂 😂 Hizi hasira ungezipeleka ukamsaidie Ayatollah saa hii anakificha kwenye mahandakiSiwezi kubishana na mjinga ebdekea unavyo amini
Tutashinda mkuuIran ipo ngunguri.Na, inshaallah,tutayashinda mazayuni.
Iran ipo ngunguri.Na, inshaallah,tutayashinda mazayuni.