Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

Miaka zaidi ya 70 Bado inatafutwa amani?. Likiisha Hilo litaibuka jingine, tutaota sana amani lakini haitokuja. Mzizi wa tatizo si Iran, bali mzizi ni mindset za watu huko middle east.
 
Aisee ila yeye viongozi wake wapo salama.

Inaoneka Jews wana Security Kali sana
 
Chancellor wa Ujerumani: Israel inafanya kazi chafu kwa manufaa yetu sote.
Maneno yake ni kweli Israel anatumiwa kama vile Ukraine na ukitazama hata Ukraine kiongozi wso ndio kama huo Netanyahu wote ni Zionist

Wanao sema Trump alimkataza Netanyahu kumuwa Ayatollah Ali Khomen ni propoganda walitaka kumuwa ijumaa waka failed walinzi wake waliwashika hao walio tumwa na Mossad.



View: https://youtube.com/shorts/VzcXnKasxRg?si=ouCN0KDTdiNtZfS5
 
😂 😂 😂 😂 😂 We kweli kiazi!
.
Kumuua Ayatollah ni mpaka uende moja kwa moja?

Kwani makamanda wake wa jeshi wamekufaje?
 
😂 😂 😂 😂 😂 We kweli kiazi!
.
Kumuua Ayatollah ni mpaka uende moja kwa moja?

Kwani makamanda wake wa jeshi wamekufaje?
We kiazi na kenge hizo ndege zilijua vipi wale macommader wako pale time zile kama kulikuwa hakuna ushirikiano na watu kule Iran. Kwa Ayatollah waliwahi kudakwa kabla ya kuweka hizo device zao zinazo peleka infomation kwenye target ya kupigwa.
 
We kiazi na kenge hizo ndege zilijua vipi wale macommader wako pale time zile kama kulikuwa hakuna ushirikiano na watu kule Iran. Kwa Ayatollah waliwahi kudakwa kabla ya kuweka hizo device zao zinazo peleka infomation kwenye target ya kupigwa.
Basi mkuu tufanye Ayatollah yuko salama hawezi kufikiwa na Israel
 
Basi mkuu tufanye Ayatollah yuko salama hawezi kufikiwa na Israel
Hawata mfikia na hata wakimfikia ni lazima wapate wanafiki walio shirikiano nao hawana technology ya kumfikia mtu bila kuwepo wasaidizi huko.
 
Hongera sn idf.. Usafi wa kina uendelee apo irani
 
tatizo kubwa linalosumbua tanzania ni poor education, watanzania wengi wana poor thinking capacity na very little exposure ya mambo Mbali Mbali duniani , wewe mleta post ni mmoja wapo wa waathirika wa haya yote
hujui kamba Netanyahu ndio tatizo na hata iran akiumizwa na magharibi netanyahu atatafuta chi nyingine ya kuiharibu ili kuendelea kutafuna rasilimali za watu, kama walivyofanya Libya, syria,iraq, palestine, na sasa iran na hawatosimama wakimalizana na iran mtu mlafi ambaye hajali thamani ya maisha ya binaadamu huwa hatosheki
kama liweza kukataa kuokoa mateka wake gaza ili vita isimame huyo ni zaidi ya shetani, dunia nzima inampinga kwa sasa isipokuwa mandondocha wa taifa teule
 
Israel ime copy Lissu style, pambana na mfadhili
 
Wamewashindwa Wanamgambo wa Houthi unadhani wataliweza jeshi la Iran kirahisirahisi?

Kuishinda Irani maana yake umetikisa ushia duniani mamilioni ya Washia dunia wanaisadia Iran kistyle.

Najua hao West sasa hivi watakuwa wanajiandaa kukusanya jeshi la miguu la ISIS na Al-Qaeda ili likaweke pressure ndani ya Iran lakini wakifanya hivyo, hizo nchi za kiarabu zitakuwa in flames
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…