Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-18-22-53-21-076_com.instagram.android.jpg
    135 KB · Views: 21
  • Screenshot_2025-06-18-22-54-31-987_com.instagram.android.jpg
    187.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_2025-06-18-23-26-53-005_com.instagram.android.jpg
    274.3 KB · Views: 21
  • Screenshot_2025-06-18-23-17-56-597_com.instagram.android.jpg
    108.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_2025-06-19-05-36-49-551_com.instagram.android.jpg
    183.4 KB · Views: 20
  • Screenshot_2025-06-19-05-39-49-484_com.instagram.android.jpg
    146.6 KB · Views: 22
Irani alijifanya kidume mashariki ya kati sasa hivi Islaeli wanabokoa nje ndani.
 
Nchi nyingi za kiarabu ambazo hazina akili za hovyo zimeendelea sana na zina amani, mfano Qatar, UAE ,Saudi Arabia,Kuwait, Egypt etc, beberu na Israel ni kitu kimoja ukichezea maslahi yao watakumaliza tuu na vita wanaipenda sana
 
Utajua wewe jiandikie chochote ila leo kombora la Iran limeondoka na makumi ya wanamgambo wa kiyahudi waliojificha jiran na hospital ya soroka
Alafu usikii wanawake na watoto. Hiyo ndiyo vita na mwanaume kakaa kimya no wanawake na watoto. Ila kule wale mia mbili na ushenzi kilio Cha wanawake na watoto kilisikiwa. Mwarabu anambinu za kipimbi sana
 
Inaelekea Israel ameufyata leo naona kuko kimya!!
 
Na moja ya mafanikio yao ni kukipata kitabu alichoandika Ayatollah Khamenei cha namna ya kum*t*mba mtoto mdogo

View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1935735621751889955
 
Kweli amani itapatikana, Leo Hezbullah wamesema Kila mtu acheze mechi zake, wanauliza Iran ilikuwa wapi wakati Israel anatupiga?

Soma chini hapo kwenye MSN.

 
Nitaamini tu kama zile Ballistic missiles zitakuwa zimekoma kurushwa kwenda Israel.
 
Middle East conflicts vs Israel ni kama wanasheria wa utopolo, hawajawah kushinda.
 
Angalila isiguswe yenyewe na bwana wake. Jikumbushe ilivyoshindwa wakati wa vita ya Iran na Saddam akitumiwa na Marekani
 
Kama Israel inajiamini ijaribu kugusa hata kiremba au unywele wa Ayatolla, ai kama vipi waacha kutumia ndege warushe hata kajiwe tu pale Tehran waone watakavyopelelewa moto.
 
Wapigepige hizo targets zao pale Iran na wafanikiwe ku change regime, lakini wasiiharibu tu ile nchi. Huwa msipenda sana, ni kati ya nchi huwa napenda kuzitembelea, ni kati ya nchi nzuri sana zenye very strong culture and history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…