Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

Mungu ibariki Israel

Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90)
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war.

“We are approaching the point where a decision will have to be made, and the IDF is prepared and very ready for this decision,” Halevi said during an assessment with military officials and Fire Commissioner Eyal Caspi, at an army base in Kiryat Shmona.

“We have been attacking for eight months, and Hezbollah is paying a very, very high price. It has increased its strengths in recent days and we are prepared after a very good process of training… to move to an attack in the north,” he said.

“[We have] strong defense, readiness to attack, [and] we are approaching a decision point,” he added.

Halevi and Caspi later met with firefighters who worked to extinguish large blazes in northern Israel over the past two days, some of which were sparked by Hezbollah rocket and drone attacks.

The war cabinet met on Tuesday night to discuss the latest developments along the border with Lebanon amid criticism of the government for failing to bring security to the region after long months of conflict.
 
Hezbollah wamerusha missiles kaskazini na kuchoma misitu, watu kadhaa wakiwemo askari wa IDF wamedhurika na moshi hivi juzi.

Hezbollah anaitafuta Israel lakini naona kama Israel wanakuwa wazito.

Israel ikiingia vitani na Hezbollah ni habari nyingine.
Hezbollah wana missiles kufika mahala popote ndani ya Israel, missiles zao ni ngumu kuzuilika na iron dome
 
isreal wanakuwa wazito. Kwani NATO na USA wanasemaje?
 
Hezbollah wamerusha missiles kaskazini na kuchoma misitu, watu kadhaa wakiwemo askari wa IDF wamedhurika na moshi hivi juzi.

Hezbollah anaitafuta Israel lakini naona kama Israel wanakuwa wazito.

Israel ikiingia vitani na Hezbollah ni habari nyingine.
Hezbollah wana missiles kufika mahala popote ndani ya Israel, missiles zao ni ngumu kuzuilika na iron dome
Hilo ni sawa lakini ngoja Game lianze ndipo tutaonaga hapo hapo. Mwanzoni walisema hivi hivi kwa Gaza lakini tena baadaye vilio vikatamalaki eti IDF anaua akina mama, wazee, watoto na anabomoa miundo mbinu.,.......wameshasahau kwamba walisema wana makombora
 
We huifahamu Hezbollah, usiifananishe Hezbollah na Hamas, Hezbollah wana anti aircrafts, drones, wana missiles za masafa kufika ndani ya Israe mahala popote, sio kundi la kulidharau.
 
Hata US akiruhusu vita na Hezbollah ni habari ingine. Israel kushambulia Lebanon, Hezbollah itapiga ndani ya Israel.

US hajavutiwa kwa Israel kuingia vitani, NATO macho yao wameelekeza Ukraine.
Mkuu, Hezbollah kupiga ndani ya Israel sio hoja sana- inawezekeana. Hoja itakuja pale Israel atakapokuwa anaonesha ghadhabu yake dhidi ya Hezbollah.

Kumbuka kama ilivo kwa HAMAS ambao wapo ndani ya nchi ya Palestina; ndivyo itakavyokuwa kwa Hezbollah ambao wapo ndani ya nchi ya Lebanon.

Palestina kama nchi imeharibiwa sana na ndivyo itakuwa kwa Lebanon. Hayo makundi 2 ya kigaidi yamepelekea kutokea kwa uharibifu mkubwa na vifo vingi vya raia ndani ya nchi husika kuyahifadhi makundi hayo.

Sijui ni kwa nini na ni kwa maslahi ya nani nchi za Palestina na Lebanon zinayakumbatia makundi hayo ya kigaidi.
 
We huifahamu Hezbollah, usiifananishe Hezbollah na Hamas, Hezbollah wana anti aircrafts, drones, wana missiles za masafa kufika ndani ya Israe mahala popote, sio kundi la kulidharau.
Sijalidharau wala kulipuuzia kundi la Hezbollah hata kidogo. Lakini Je, kundi hilo litamudu mtiti wa IDF? Isije tena baadaye tukasikia kuwa ni vilio na simanzi kutoka kwa kundi hilo hilo la Hezbollah vimetamalaki. Kumbuka hakuna aliyelianzisha na Myahudi halafu akabaki salama.
 
Mkuu, Hezbollah kupiga ndani ya Israel sio hoja sana- inawezekeana. Hoja itakuja pale Israel atakapokuwa anaonesha ghadhabu yake dhidi ya Hezbollah.
Kumbuka kama ilivo kwa HAMAS ambao wapo ndani ya nchi ya Palestina; ndivyo itakavyokuwa kwa Hezbollah ambao wapo ndani ya nchi ya Lebanon.
Palestina kama nchi imeharibiwa sana na ndivyo itakuwa kwa Lebanon. Hayo makundi 2 ya kigaidi yamepelekea kutokea kwa uharibifu mkubwa na vifo vingi vya raia ndani ya nchi husika kuyahifadhi makundi hayo. Sijui ni kwa nini na ni kwa maslahi ya nani nchi za Palestina na Lebanon zinayakumbatia makundi hayo ya kigaidi.
Kupiga ndani ya Israel ni hoja tena kubwa. Jinsi Israel itakavyoishambulia Lebanon ndivyo Hezbollah itajibu.

Hezbollah isingekuwepo, Israel ingeshachukua sehemu ya Lebanon.

Hamas vile vile wanapambana dhidi ya uonevu wa Israel.
Matatizo yote ya Israel na maugomvi na hayo makundi ni Israel ndiye alianza ugaidi.
 
Hezbollah wamerusha missiles kaskazini na kuchoma misitu, watu kadhaa wakiwemo askari wa IDF wamedhurika na moshi hivi juzi.

Hezbollah anaitafuta Israel lakini naona kama Israel wanakuwa wazito.

Israel ikiingia vitani na Hezbollah ni habari nyingine.
Hezbollah wana missiles kufika mahala popote ndani ya Israel, missiles zao ni ngumu kuzuilika na iron dome
Bring them on...
Watakapoanza kuchakazwa kwa kichapo msije hapa kusema IDF ni wabaya wanauwa wanawake na watoto
 
2006 Israel ilishindwa.
Alishindwa? OK. Je, mshindani (aliyeshinda) wake alibaki na majeraha ya kiwango gani? Isije ikawa umenishinda lakini nimekuacha huna meno, huna jicho, mdomo umevimba na nguo zako zimechanika chanika hovyo (uko nusu uchi)halafu unajidai umenishinda. Angalia hasara iliyopatikana na itakuchukua muda na gharama kiasi gani kurudisha hali kama ilivyokuwa kabla.
 
Kupiga ndani ya Israel ni hoja tena kubwa. Jinsi Israel itakavyoishambulia Lebanon ndivyo Hezbollah itajibu.

Hezbollah isingekuwepo, Israel ingeshachukua sehemu ya Lebanon.

Hamas vile vile wanapambana dhidi ya uonevu wa Israel.
Matatizo yote ya Israel na maugomvi na hayo makundi ni Israel ndiye alianza ugaidi.
Kama Israeli ndiye alianza ugaidi, mbona kimataifa ukianzisha migogoro au kuyaunga mkono makundi ya kigaidi zipo sheria za kukuwajibisha? ref. Iran au Iraq.
Ni kitu gani kilikuwa ni kikwazo kwa taifa la Israeli kushtakiwa? Mbona kimataifa jambo hilo linazungumzika? Kwa nini kukimbilia matumizi ya makombora, maroketi, mibunduki n.k. n.k. i.e. kutumia nguvu ili kupata suluhisho?
 
Bring them on...
Watakapoanza kuchakazwa kwa kichapo msije hapa kusema IDF ni wabaya wanauwa wanawake na watoto
Yep! Ndo zao hizo. Wanalianzisha nguvu ya soda halafu kesho unasikia ng'u, ng'u, ng'uu.(ziba tundu moja la pua ukitamka hiyo ng'u..) Eti IDF wanabomoa makazi ya watu , wanabomoa miundo mbinu, wanakata maji na umeme blaa-blaa nyingi kuomba poo. Inaonekana Hawa watu hawaijui vizuri hasira, ghadhabu na kichapo cha Myahudi bado. Wamepata vikombora cjui 2-3 vya mkopo halafu wanaanza kuleta za kuleta.
 
Back
Top Bottom