Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mkuu; Hilo tusiliombee kwa sababu IDF bila shaka anamjua vizuri sana huyo mpinzani tarajiwa(Hezbollah) kuliko Hezbollah anavyojifahamu yy mwenyewe.Hii ndio itakua vita hasa sio ile ya Hamas na IDF kuviana hii vita Hezbollah wanaitamani sana miaka mingi wanaonekana wamejiandaa kwa muda mrefu sana
Hiyo haitakuwa ni vita bali ni maangamizi. Nani abaki kusimulia kilichotokea - Hezbollah au IDF ????. Tutasubiri kipenga cha mwisho.
