Quote:
"Mozambique ni vita ya maslahi.
Congo vita haiishi kwa sababu za kimaslahi, hao hao unaowaita wakubwa ndio wachochezi kuharibu amani nchi za watu."
Hii 👆 👆 👆 nimeipenda mno kwa sababu ndo ukweli wenyewe.
Hiyo ya Palestina siiafiki sana kwa sababu Mpalestina hataki kujifunza kwamba kila akitumia nguvu kupambana anapigwa na ardhi inazidi kutwaliwa i.e. inamegwa.
Kumbe angelitafuta njia nyingine mbadala (
alternative B) aone kama atafanikiwa au la. Sio kung'ang'ana tu na matumizi ya ngvu ilhali ameshajua fika kwamba huyo anayepambana naye sio size yake.