Mkuu hakuna njia iliyobaki,kabla ya hiyo October 7 Israel walikua wakivunja nyumba za Palestina Ramallah watanue makazi ya walowezi wa kizayuni,na vyombo vya habari vilikua vikiripoti ila hakuna aloyeikemea Israel.
Mwishowe ilibidi watumie nguvu tu.
1)Palestina haina jeshi,ilishakatazwa kuwa na jeshi kamili,ina askari tu wakawaida wanaomlinda kiongozi wa PLO ambaye ndio rais wa Palestina wa mchongo.
2)Rafiki pekee aliye nae ni Iran,Lebanon,Syria,waliobakia waarabu waoga.
Mkuu hayajatukuta sisi ila kwa point waliyofikia hawana budi kupigana.