Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

Kwamba Hezbolla itaweza kuhimili mkiki wa mabomu 60 kwa siku za ndege za IDF? au unawatakia matatizo raia wa Lebanoni? Yaani unashangaza sana
Isrelei hana huo uwezo kwa sasa amechoka yupo hoi bin taaban labda apige na kurudi tu lakini sio sustainable war
 
Sijalidharau wala kulipuuzia kundi la Hezbollah hata kidogo. Lakini Je, kundi hilo litamudu mtiti wa IDF? Isije tena baadaye tukasikia kuwa ni vilio na simanzi kutoka kwa kundi hilo hilo la Hezbollah vimetamalaki. Kumbuka hakuna aliyelianzisha na Myahudi halafu akabaki salama.

Hivi unaelewa unachokiongea? Hezbu ni hatari zaidi ya Hamas, je! hao IDF wameweza hata kupambana na Hamas wanaotumia silaha dhaifu? Wameshindwa sio! Kuuwa watoto, wamama na wazee kubomoa manyumba ndicho wanachoweza na wamefanikiwa.

Sio chini ya wanajeshi 20,000 wameuawa, sijui kama unafuatilia news, au ndio wale wale bendera fuata upepo?
 
Israel haita hangaika na Hezbollah. Zaidi ita piga na kutilia mbali kizazi cha Lebanon ni watoto magaidi ya baadae na kina mama wanaozaa magaidi. Wasiye anza kulialia eti Israel anaua wazee.magaidi hata Saudi Arabia na Uae hawataki
 
Hezbollah wana mpango wa kulichukua eneo la galilee ndani kabisa ya Israeli ndo maana Israeli tangu juzi ilipeleka wana jeshi laki tatu huko mipakani

Hezbollah sio Hamas hawa wajuba ni piga nikupige
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

Mungu ibariki Israel

Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90)
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war.

“We are approaching the point where a decision will have to be made, and the IDF is prepared and very ready for this decision,” Halevi said during an assessment with military officials and Fire Commissioner Eyal Caspi, at an army base in Kiryat Shmona.

“We have been attacking for eight months, and Hezbollah is paying a very, very high price. It has increased its strengths in recent days and we are prepared after a very good process of training… to move to an attack in the north,” he said.

“[We have] strong defense, readiness to attack, [and] we are approaching a decision point,” he added.

Halevi and Caspi later met with firefighters who worked to extinguish large blazes in northern Israel over the past two days, some of which were sparked by Hezbollah rocket and drone attacks.

The war cabinet met on Tuesday night to discuss the latest developments along the border with Lebanon amid criticism of the government for failing to bring security to the region after long months of conflict.
Mayahudi wana wakati mgumu sana. Kuzungukwa na maadui kila upande! Sijui kama wanafurahia maisha yao ya kila siku.
 
binafsi yangu natamani israel apambanane na makundi ya kigaidi ila asidhuru raia ambao w=hawana hatia kama ambavyo anafnya pale palestina,kama anapigana na hezbollah basi apigane nao sio kuianganmiza lebanon nzima hiyo sio sawa,najua hoja haa itakuwa mbona hezbollah anapiga wanisrael huo pekee hupaswa kuwa utetezi kwa kuwa isreal ni jeshi kamili hivyo wanapswa kujitenga na illegal acts za kivta wasiwe sawa na wanayoyita makundi ya kigaidi
Israeli ni mstaarabu ila anakwamishwa na hao hao magaidi. Kwa mfano kistaarabu kabisa IDF anawatangazia raia wote waondoke kwenye "eneo litakalotembelewa" ndani ya msaa 24.

Na wanaelekezwa waende wapi. Lakini Magaidi wanawazuia na pengine kuwapiga, kuwaua na kuwateka wale raia wanaotaka kutii amri hiyo. Je IDF atakapofika hapo atafanyaje? na mbaya zaidi Magaidi hao wanadiriki hata kuwatumia raia hao kama ngao dhidi ya IDF?

Kundi la Hezbollah ni kundi la kigaidi sio jeshi i.e. hawana sare inayoeleweka wala eneo rasmi kambi/vituo - wametawanyika hovyo huku na kule. Wanaishi miongoni mwa raia na mashambulizi yao ni ya kushtukiza au kutokea kwenye nyumba za raia.

Wanaji-camouflage kwa njia zisizo halali kwani wanaweza hata kuvaa hijab na baibui halafu wakajichanganya na akina mama tena wale akina mama walioongozana na watoto wadogo au wanajivika uzee na kujichanganya na wazee.

Sasa ungekuwa ni wewe IDF katika hali kama hiyo ungefanyaje? Wanajichanganya na wagonjwa mahospitalini au wanajichanganya katika kundi la wanafunzi shuleni!

Ni kazi ngumu kweli kweli kwa IDF kukwepa kuua raia au kubomoa miundombinu ya kiraia.
 
Israel haita hangaika na Hezbollah. Zaidi ita piga na kutilia mbali kizazi cha Lebanon ni watoto magaidi ya baadae na kina mama wanaozaa magaidi. Wasiye anza kulialia eti Israel anaua wazee.magaidi hata Saudi Arabia na Uae hawataki
Vumilia inauma lakini hakuna namna.lazima Hezbollah iwasaidie wapalestina.
 
Israel haita hangaika na Hezbollah. Zaidi ita piga na kutilia mbali kizazi cha Lebanon ni watoto magaidi ya baadae na kina mama wanaozaa magaidi. Wasiye anza kulialia eti Israel anaua wazee.magaidi hata Saudi Arabia na Uae hawataki
Halafu kaa ukitambua kuwa Hezbollah siyo hamas na virocket vya kupiga mpakani. Hezbollah ana silaha za kuwapiga wayahudi na kuwaua kama anavyofanya Israeli. Kwahiyo wakati wanajipanga kuingia vitani na Hezbollah hilo walitilie maanani.
 
Mayahudi wana wakati mgumu sana. Kuzungukwa na maadui kila upande! Sijui kama wanafurahia maisha yao ya kila siku.
Usihofu. Hao wanaendelea na maisha kama kawaida isipokuwa wamejiweka katika tahadhari ya kiwango cha juu zaidi kuliko ilivokuwa mwanzoni. Wanafanya sherehe na shule/vyuo havijafungwa. Si unawakumbuka wale Watanzania walienda huko Israeli kimasomo lakini ikawa bahati mbaya magaidi wakaondoka nao.

Myahudi amezungukwa na maadui muda mrefu sana tangu zamani ila anawamudu mmoja-mmoja au wote kwa pamoja.
 
Hivi unaelewa unachokiongea? Hezbu ni hatari zaidi ya Hamas, je! hao IDF wameweza hata kupambana na Hamas wanaotumia silaha dhaifu? Wameshindwa sio! Kuuwa watoto, wamama na wazee kubomoa manyumba ndicho wanachoweza na wamefanikiwa.

Sio chini ya wanajeshi 20,000 wameuawa, sijui kama unafuatilia news, au ndio wale wale bendera fuata upepo?
Mkuu; Unajua njia ya mwongo ni fupi. Hivi by simple regression, kama IDF wameshindwa kupambana na HAMAS (manake HAMAS amefanikiwa kumdhibiti IDF) Je, hizo kelele za HAMAS na wenzake wanazopiga ni za shangwe kushangilia ushindi au ni za maumivu makali?

Wanaofuatilia (bila kuegemea upande wowote) kinachoendelea baina ya HAMAS na IDF wametulia kwa masikitiko kwani kinachoonekana hapo ni patashika nguo kuchanika hadi HAMAS wamefikishwa mpakani Rafah. Je, HAMAS wamefika Rafah kufanya picnic? Tuseme ukweli.
 
Hezbollah wamerusha missiles kaskazini na kuchoma misitu, watu kadhaa wakiwemo askari wa IDF wamedhurika na moshi hivi juzi.

Hezbollah anaitafuta Israel lakini naona kama Israel wanakuwa wazito.

Israel ikiingia vitani na Hezbollah ni habari nyingine.
Hezbollah wana missiles kufika mahala popote ndani ya Israel, missiles zao ni ngumu kuzuilika na iron dome
Kwahiyo wakiwa na missile ya kufika popote ndio uwezo wa vita? Hezibollah anachokitaka atakipata naona wanahamu ya misaada ya kujenga tena maghorofa
 
Kwahiyo wakiwa na missile ya kufika popote ndio uwezo wa vita? Hezibollah anachokitaka atakipata naona wanahamu ya misaada ya kujenga tena maghorofa
Tulia wewe hiyo mikwara mbuzi unakua kama yule waziri wa ulinzi wa israeli akija kwenye TV anakunja uso kama kabanwa na mavi kumbe hamna lolote.
 
Kwahiyo wakiwa na missile ya kufika popote ndio uwezo wa vita? Hezibollah anachokitaka atakipata naona wanahamu ya misaada ya kujenga tena maghorofa
Usiku huu iron dome huko Ramot naftali barracks Israeli imepigwa na Hezbollah kwa kutumia Almas ATGM

Hezbollah wamerusha missiles kaskazini na kuchoma misitu, watu kadhaa wakiwemo askari wa IDF wamedhurika na moshi hivi juzi.

Hezbollah anaitafuta Israel lakini naona kama Israel wanakuwa wazito.

Israel ikiingia vitani na Hezbollah ni habari nyingine.
Hezbollah wana missiles kufika mahala popote ndani ya Israel, missiles zao ni ngumu kuzuilika na iron dome
Hata Hamas mliwasifia hivi hivi lkn sasa hivi mnawaonea huruma
 
Back
Top Bottom