Yemen, Iran na Lebanon Mungu aendelee kuwabariki kwa kuwapigania Gaza.⚡️ The Houthis announced they will honor the agreement between Israel and Hamas, and stop launching missiles and drones toward Israel with the beginning of the ceasefire in the Gaza Strip.
🙏🙏
Aaamin 🙏Yemen, Iran na Lebanon Mungu aendelee kuwabariki kwa kuwapigania Gaza.
Kila siku wanerusha hilo moja?Fuatilia huko Youtube na kwenye internet utaona.
Makombora yanayotoka Yemen kila siku yaacha majeruhi na mabaki yanaanguka kwenye makazi ya watu...
Na hapo Houthis wameanza taratibu , Israel ingejitia ujuaji kupiga raia Yemen, basi Houthis wangefanya hivyo..
Yemen, Iran na Lebanon Mungu aendelee kuwabariki kwa kuwapigania Gaza.
Naona unateseka kweli mimi ku-post! Ulivyo mjinga unafuata posts za "poyoyo"; wenye akili wanazipuuzia!Wewe umeshaonekana kua ni poyoyo kwa kujiwekea malengo yako ya vita na kujiona kua wewe ulikua na malengo yako tofauti na wayahudi wenyewe,
Tulia tu sasa ili usiendelee kuzidi kuonyesha upimbi wako.
Ujinga wa Hamas umewagharimu sana wapalestinaHAMAS alitaka kuachia awa mateka tangu mwanzo lkn kibri cha Netanyahu kimefanya mateka kibao kufa IDF kibao kufa tena vijana wadogo baada ya majanga yoteeee!! ayo ndio Netanyahu anabaini HAMAS ni fupa gumu kwa IDF kulishinda sasa kakubali yaleyale aliokataa mwanzooo! YEMEN NDIO IMECHANGIA PAKUBWA HII AMAN.!!!!
Iran Imesha nyolewa mabawa👏👏👏👏👍Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.
Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Ongezea pia for Netanyahu ndio waziri mkuu wa kwanza kupigwa na hypersonic missile zisizozuilika kutoka iran na yemen.Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.
Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Wangekubali mapema lengo lao la Kuwauwa magaidi wengi lisimgetimia!HAMAS alitaka kuachia awa mateka tangu mwanzo lkn kibri cha Netanyahu kimefanya mateka kibao kufa IDF kibao kufa tena vijana wadogo baada ya majanga yoteeee!! ayo ndio Netanyahu anabaini HAMAS ni fupa gumu kwa IDF kulishinda sasa kakubali yaleyale aliokataa mwanzooo! YEMEN NDIO IMECHANGIA PAKUBWA HII AMAN.!!!!
Duuh Supasonic zimeshindwa kumuuwa Netanyahu?!Ongezea pia for Netanyahu ndio waziri mkuu wa kwanza kupigwa na hypersonic missile zisizozuilika kutoka iran na yemen.
Hufuatiliagi wewe israel haijawahi kuishi kwa amanai tangu vita vya ghaza vianzeKila siku wanerusha hilo moja?
Wapuuzi kama nyie mnaopotosha jamii hatuwezi kuwaacha,hatutaki ujinga wenu muuhamishie kwa hawa vijana ambao bado wapo kwenye level ya kujifundisha issue za kidunia.Naona unateseka kweli mimi ku-post! Ulivyo mjinga unafuata posts za "poyoyo"; wenye akili wanazipuuzia!
Mkuu iliwezekanaje na intelijensia yote hiyo walishindwa vipi kuwapata mateka wa kiyahudi? walikwama wapi.Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.
Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Mchokozi ni Israel si anaikalia kimabavu ardhi ya palestinaHuu mtazamo wako ungekuwa perfect kama mchokozi angalikuwa Israel. In contrary, waliolianzisha wametulizwa vilivyo ushindi ni wa nani?
Hana ushujaa wowote. Ni mpumbavu tu.Huyo ni shujaa, amekufa akipambana, japo ni kiongozi na hakuogopa kifo, kama hao mateka wapo hai, unafikiri angeshindwa kwenda kujificha huko mateka walipo?
Ameamua kukaa front kupambana wakati huo Netanyahu kajificha kwenye mashimo... salute to this man...
Chanzo cha wananchi wa Gaza kufariki ni Israel na si Hamas wala viongozi wao...Hana ushujaa wowote. Ni mpumbavu tu.
Yeye ndo kaisababishia Gaza kurudishwa nyuma miaka 1,000.
Mtu aliyepanga mashambulizi ya Okt. 7 hawezi kuwa shujaa hata kidogo.
Kasababisha Wapalestina zaidi ya 50,000 kuuwawa.
Kasababisha viongozi wenzake wa Hamas na Hezbollah kuuwawa.
Na yeye kafa kiboya sana.
Hana ushujaa wowote. Ni poyoyo aliyetenda makosa makubwa sana ya kimkakati.
He is dead!
Utaghani kila aina ya ngonjera. Ukweli ni kuwa huyo fala alifanya makosa makubwa sana ya kimkakati ambayo yameigharimu sana Gaza.Chanzo cha wananchi wa Gaza kufariki ni Israel na si Hamas wala viongozi wao...
Israel ndiye kapiga na kuua kwa makusudi raia wa Gaza.
Kumbuka Oct 7 Hamas walikuwa wana retaliate baada ya mauaji ya Palestinian na kuchukuliwa mateka...
Ni shujaa aliyeleta heshima kwa waPalestina, hadi sasa sidhani kama Israel itakuja kuleta ujinga kudhani kuua Palestinians ni suluhisho katika harakati zake za ukandamizaji.Utaghani kila aina ya ngonjera. Ukweli ni kuwa huyo fala alifanya makosa makubwa sana ya kimkakati ambayo yameigharimu sana Gaza.
He is no hero. He’s a zero and he’s dead. A worthless piece of shit.