Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

Sasa hao 320 wamekufa na robo tatu ya Hamas hao wapalestina 12000 na basement za Hamas wamebaki kutia huruma wakati huo Israel Ina zaidi ya active soldier laki na ushenzi na wengine laki tano ambao wakiitwa mda wowote hawaapa Sasa hao 320 walioigeuza Gaza majivu hawafiki hatakarobo
 
kiukiweli, HAMAS kama adhabu tu wamepata, hata ukibisha ni kwamba unajikaza tu. makamanda wao wengi sana wameuliwa, majengo karibia yote yamefyekwa na israel hatayajenga. shida ni mateka, sio uwezo wa hamas. isingekuwa hivyo vita ingeshaisha kitambo. hata hivyo angalia kwanza warelease mateka afu uone kitakahotokea. utashangaa.
Palestina maisha yao siku zote ni hayo ndiyo maana unaona wapo kitu kimoja nakuuliza imekuaje tena Israel wamekaa meza moja na magaidi tena wametoa masharti yao na Israel wamekubali hayo maneno yako mengine no porojo wangekuwa na uwezo si wangewakomboa mateka wao?
 
: Afisa mkuu wa Israeli anaripoti kukaribia makubaliano ya kuachiliwa kwa waliotekwa nyara; inaelezea maelezo ya makubaliano.

Afisa huyo alisema kuwa mkataba huo uko karibu, huku kukiwa na masuala ya kiufundi pekee ambayo yanapaswa kuhitimishwa.

Muhtasari wa Mkataba:
-Kuachiliwa kwa mateka 50.
-Sitisha mapigano kwa siku 5.
-Kuachiliwa kwa wafungwa 100 wa usalama wa kike na magaidi wadogo kutoka magereza ya Israel.
-Kuingizwa kwa dizeli Gaza.
-Kuongezeka kwa misaada ya kibinadamu.

Afisa huyo pia alitaja mpango huo kuwa ni pamoja na kuachiliwa kwa watoto, mama zao na wanawake wengine miongoni mwa waliotekwa nyara.

Chanzo: Yediotnews, Channel 12

Haya ndoyo Mashrti ya Hamas walioto kama Israel wanataka mateka wao na Israel kakubali.

Kikowapi? Unakubali masharti ya magaidi.
 
Attachments

  • IMG_6552.jpeg
    IMG_6552.jpeg
    42.5 KB · Views: 1
Palestina maisha yao siku zote ni hayo ndiyo maana unaona wapo kitu kimoja nakuuliza imekuaje tena Israel wamekaa meza moja na magaidi tena wametoa masharti yao na Israel wamekubali hayo maneno yako mengine no porojo wangekuwa na uwezo si wangewakomboa mateka wao?
unawakomboaje sasa wakati wapo kwenye mahandaki na ukipiga unaua na raia wako, swali gani hilo? ati wangekuwa na uwezo wangewakomboa raia wao, ni uwezo gani unahitajika kumkomboa mtu ambaye ametekwa na gaidi linalomuweka kama ngao? shule shule shule.
 
Israel si ina sifa ya kuwa na makomandoo makini wameishafanya hivyo mara nyingi?

Unapingana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Waziri Mkuu kuwa wanaenda kulifuta kundi la Hamas na kukomboa mateka.
 
Na hilo wamefanikiwa hamas wamebaki kua kama vibaka sasa au fuko wanaishi mashimoni
magaid ya Hamas ni vipanyarodi vinavyoishi mashimoni kwa sasa na havitoki nje si usiku si mchana
 
Ningekua Mimi Benjamin huo upuuzi wa kukaa meza na magaidi eti kubadilishana mateka usingekuwepo! Magaidi yameua waisrael karibia 1500 wasiokua na hatia sembuse mateka 240?

Kwani hao 240 Wana thamani sana kuliko maelfu waliouawa tarehe 7? Pale Gaza ni Bomu Moja la kugeuza juu chini kiumbe yeyote aliepo pale habari yake inaishia hapo maisha yanaendelea
Sasa wewe unadhani Netanyahu anapenda kukaa meza moja na Hamas kukubaliana na masharti ya Hamas? Hali tete unaambiwa juzi na jana Tel aviv ilitaka kugeuzwa kifusi huku Hezbollah nao hawapoi , huko Yemen wanasema hakuna meli yeyote kupita kwenda Israel wewe hiyo block unaionaje? Lazima mtu aombe sub.
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
76% wa Israel wanataka Benjamin netanyau aondoke madarakani na uchaguzi ufanyike haraka.
 
Attachments

  • Screenshot_20231121-010129.png
    Screenshot_20231121-010129.png
    110.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231121-005930.png
    Screenshot_20231121-005930.png
    90 KB · Views: 1
Ningekua Mimi Benjamin huo upuuzi wa kukaa meza na magaidi eti kubadilishana mateka usingekuwepo! Magaidi yameua waisrael karibia 1500 wasiokua na hatia sembuse mateka 240?

Kwani hao 240 Wana thamani sana kuliko maelfu waliouawa tarehe 7? Pale Gaza ni Bomu Moja la kugeuza juu chini kiumbe yeyote aliepo pale habari yake inaishia hapo maisha yanaendelea
Kundesha vita sio kama kikao cha ukoo mwenzio mwenye mawazo kama hayo maji yameshaamfika shingon .kumbuka hamas ni kakikundi tu na hawana cha kupoteza .tofaut na Israel ni serikali kubwa na mbele ya Uso wa kimataifa unajinasibu kunwa super power
 
Back
Top Bottom