MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Sijui wanachowaza mkuu, ngoja tusubiriHawa Waisrael hii mbinu yao ya kipuuzi hawaichoki tu walijaribu kwenye vita ya mwanzo ikafeli wanaijaribu na sasa tena hovyo kabisa.
Wao kama hawaitaki Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wapeleke jeshi lao la ardhini wakauong'oe utawala waache kuwapa kazi ngumu Wairan kwa faida zao
Acha tuendelee kusubiri japo kuendelea kuwategemea Wairan ni jambo gumu sana mpaka sasa vita inavyo endelea bila shaka Ayatollah alikwisha hamisha madaraka muda mrefu sana kwa nayo endelea kuyashuhudia.Sijui wanachowaza mkuu, ngoja tusubiri
Alireza Arafi anafanya kazi yake.Acha tuendelee kusubiri japo kuendelea kuwategemea Wairan ni jambo gumu sana mpaka sasa vita inavyo endelea bila shaka Ayatollah alikwisha hamisha madaraka muda mrefu sana kwa nayo endelea kuyashuhudia.
Madaraka yalikuwa yameama muda sana inaonekana si ajabu hata mzee kutoku hofia kifo kwa kiasi kikubwa.Alireza Arafi anafanya kazi yake.
Silaha zinatumika kwa bajeti na si kwa mihemko kwasababu haijulikani vita itaisha lini.Ukweli ni kuwa vita ya zile siku 12 Iran alikuwa anarusha sana ballistics, wakati huu naona kama zimepungua
Military bases za marekani duniani kote ni kwa ajili ya Military buildup tu ya Marekani mpaka sasa ndicho nilichoona ila kwenye kupambana sijaona bado kwa kweli kitu cha ajabuSilaha zinatumika kwa bajeti na si kwa mihemko kwasababu haijulikani vita itaisha lini.
Alafu kumbuka sasa hivi anapigana pande nyingi wakati vita ya siku 12 alikuwa anapigana na Israel tu.
Asipokuwa makini inaweza geuka miezi minne,miaka minne,miaka kumi na minne itategemeana na namna Wairan wamejipangaje na sio Marekani na Israel wanatakaje💥💥💥💥
Trump: tunatarajia operation ya wiki nne. Iran ni nchi kubwa hivyo itachukua wiki nne
Kuna mwandishi mmoja wa channel gani sijui ile ya Israel, imeandikwa kiebrania, wakati ana report vyuma vikaonekana angani, jamaa amekimbia kamuacha camera man, camera man na yeye akaona isiwe tabu ya nini kujifia kisa ajira, jamaa katupa camera chini puuh! giza, nduki.Chochote atachokifanya huwa mna criticise, naandika Tu japo najua unajua ila unajitoa ufahamu.
1. Mwanzo alikua anarusha mabomu mengi kwa mpigo kudhoofisha mifumo ya Anga na kadhaa yalitunguliwa mengine yalipita watu wengi walikua wakidhihaki ukiwemo wewe, hii ilifanyika kabla na mwanzo wa vita ya siku ya 12
2. Tukapata Taarifa kwenye vita vya siku 12 Ndege ya China imetua Iran probably ilibeba beidou chips, Ghafla Iran akageuza Strategy Kombora mpya zikatumika zenye uwezo wa kutoroka Air defense ya Israel na Yana Chawa wake, Kombora moja likipiga Radius mpaka Mita 100 mtaa mzima unaathirika. Mkaanza tena kusema Iran kaishiwa makombora mbona hatumi tena mengi.
3. Vita ya sasa hivi tunaona vitu vipya Kombora likipiga ni kama msingi wa ghorofa linafumua Hadi bunker
View attachment 3550774
Israel wanaficha Taarifa nyingi ila hizo chache zinazotoka ni maafa makubwa.
Si maneno yangu Ila Fox news chombo cha Marekani kina report imewalazimu kuondoka Tel Aviv uharibifu wa sasa ni mkubwa kupata kutokea, including hivyo vita vya siku 12.
So whatever they do now ni strategy mpya ambayo Air defense za Israel zipo helpless, kuna video pia zinasambaa kama umeona Kombora badala ya kulipuliwa na interceptor Kombora linalipua interceptor na kupiga target.