Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hivi hizo video za hizo ndege mbona hatuoni zikikatisha?
Hypersonic za Iran tunaziona..

Hizo ndege 200 zote videos zake mbona hatuoni?
Supreme Leader and top commanders wa elite revolutionary guard karibu wote wamekuwa eliminated, bado unaamini Iran anaweza kupigana hii vita πŸ€”
 
ziruke mara ngapi shehe..makamanda zaidi ya 40 washazamishwa kwenye udongo na kibabu chao
Huelewi maana ya stand off strike?
Hizo jet zinaishia mipakani...

Akili zako ndogo zinakutuma wanaruka juu ya anga kama zile chinese migs za jwtz zinavyokatiza uwanja wa taifa siku ya maonyesho..

Chinese mig za Tanzania ama zinavyoitwa cheng du, Tanzania wana cheng du J 7 ambapo zinakimbia kuliko F 35..

Zile mig za 1960s zinakwenda mpaka mach 2.07 more than 2000km/ h... F 35 inakwenda 1.6 mach au 1900 km/ h..

Ikitokea F35 ikalengwa uwezo wa ku escape missile ni mdogo..

Mnadanganywa ni stealth.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ warushe juu ya anga la Tehran..
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel imeshambulia kwa makombora eneo la Baqeri town. Mlipuko mkubwa
 

Attachments

  • 2026-03-02_04-43-52_0.mp4
    1.9 MB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel imeshambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-02_04-48-53_0.mp4
    2.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…