dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
waache kulialia, watulie sindano iingieIsrael imeomba angalau makobora yaanze kupigwa baada ya saa tisa usiku ili kuwapa raia muda kidogo wa kulala. Kitendo cha kukubali kinaonyesha Ayatollah mpya kidogokidogo anaanza kuwa soft. Hii ni kwa mujibu wa David Kayes msemaji wa zamani wa Waziri mkuu wa Israel
nafikiria ceasefire ataomba kupitia kwa nani, maana bwana wake mwenyewe hali teteIran wanawasaidia kuchimba mashimo ya kujificha.
Friendly fireF-15E imekula chuma Kuwait.
Ina maana Iran inalenga ndege hadi kuwait?
View: https://twitter.com/i/status/2028344374900203810
Source, wabongo kwa kutunga story.Friendly fire
Sasa boss, unafahamu vipi kwamba USA hawakutegemea hii retaliation? Kwamba USA ikaue viongozi wakuu wa Iran na isitegemee majibu ya kiwango cha juu? USA hata ikisema hawakutegemea ni political words tu, si kweli, walijiandaa na possibility zote za vita na pengine hata World war ipo kwenye possibility zao. Iran sio nchi za Africa zenye bajeti ndogo kwamba utaipiga usipate impact yoyote.Ukiona mpaka mkuu wa nchi wa taifa kubwa lenye nguvu za kijeshi anaongea hivyo hali ni mbaya sana na Iran hapoi kabisa, inaonekana zile kambi 27 zilizolengwa na Iran zimeteketezwa vibaya sana na inaonekana ni ngumu kuficha na jana DW chombo cha Magharibi, kimeripoti Meli ya Lincoln imepigwa na mabomu manne ,japo hatujajua kina hali gani. Ila ukimsikiliza Trump hali ni mbaya na hawakutegemea hii retaliation.
Nadhani Pentagon wameuliza swali zuri sana, nani anaoperate silaha kule Iran ?F-15E imekula chuma Kuwait.
Ina maana Iran inalenga ndege hadi kuwait?
View: https://twitter.com/i/status/2028344374900203810
Wapalestina wanafurahi wanapumua kidogo kutokana na manyanyaso ya Myahudi, hayo mabomu yanayopita kwenye anga lao na kuangukia kwa Myahudi,hawaogopi kabisa.Hamas alikuwa upande wa Iran, Iran leo anaishambulia kila nchi ya Middle East, je baada ya hii vita Issue ya Palestine itakuwaje.
October 7 ilikuwa kosa kubwa la kimkakati
😂 😂 Mnajifarji sana aisee!F-15E imekula chuma Kuwait.
Ina maana Iran inalenga ndege hadi kuwait?
View: https://twitter.com/i/status/2028344374900203810
naona attention ya IDF iko kwa Hezbollah, huko kwa Iran kishasusa
Hawakutegemea kuwa kubwa kiasi hiko, kipindi kile cha vita ya siku kumi na mbili, Iran aliretaliate kwa kushambulia Israel kwa kiwango kikubwa sana,japo aliattack Qatar na Jordan kuwaonyesha uwezo na jeuri ya kushambulia base za US anao.Sasa boss, unafahamu vipi kwamba USA hawakutegemea hii retaliation? Kwamba USA ikaue viongozi wakuu wa Iran na isitegemee majibu ya kiwango cha juu? USA hata ikisema hawakutegemea ni political words tu, si kweli, walijiandaa na possibility zote za vita na pengine hata World war ipo kwenye possibility zao. Iran sio nchi za Africa zenye bajeti ndogo kwamba utaipiga usipate impact yoyote.