Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


View: https://www.instagram.com/reel/DVXrg7ijA6J/?igsh=ZG13YnZ3aXFkcXY5Target zisizo na faida majibu yake ni hayo.NATO na washiriki wake washaingia na wametoa meli na ruhusa kambi zao zitumike kwa mashambulizi, maana yake kambi za US middle east zimechakazwa na haziwezi kutoa msaada na mpaka sasa zaidi ya kambi 27 za US zimepigwa. Lincoln meli kubwa ya kivita hodari kwenye kuattack na kujilinda, huku ikilindwa na meli kumi za kivita jana ,imepigwa na mabomu manne ya balistic.Husizanie kama Iran hana Cordinates za sehemu za kijeshi na Myahudi na US.
 
Ndo maana nakuuliza unajuaje kuwa hawakutegemea? Kwanini uipige nchi kama Iran, uue viongozi wake halafu usitegemee majibu ya kiwango cha juu?
 
Wapalestina wanaofurahia watakuwa wajinga au utakuwa haufikirii.

Justification ya kuchukua Silaha zao imeongezeka mara 100, pia hadi sasa Hamas hawana uwezo wowote wakutoa pole kwa Ndugu zao halisi au Wairan.

Pia hii vita imeziweka karibu nchi za Kiarabu kwa Israel kuliko wakati wowote.

Kumbuka Israel ndio nchi pekee kati yao ndio yenye uwezo wa kuingia Iran na kushambulia
 
Msikilize Trump akiwandaa wananchi wake kisaikolojia hali ni mbaya ,yale mabomu kwenye kambi zake 27 yamehit target na watakuwa wameangamizwa wanajeshi wengi sana.

View: https://www.instagram.com/reel/DVXrg7ijA6J/?igsh=ZG13YnZ3aXFkcXY5
Sasa vitani unataka aseme hakutakuwa na vifo?

Na kasema vita katika eneo hilo itaendelea kwa muda mpaka malengo yao yatimie.

Irani yeye ndio mjinga maana kuna muda Itafika hatakuwa na kombora hata moja sababu yote anawavurumishia wenzie bila mpangilio na mengine yanawindwa na Israel na kulipuliwa kule kule ndani.

Hii vita itamwacha iran ikiwa kilema kabisa ambae anaweza kutandikwa hata na jwtz
 
Style ya attacking ya vita ya siku kumi na mbili na ya sasa ni vice versa nimeelezea kwenye comment yangu.
Mategemeo ya majibu huwa yanaandaliwa kabla ya uvamizi boss, USA kabla haijaivamia Iran tayari ilishategemea possibility za wivango vya respond, labda uhoji timeframe ya majibu ila si kutegemea kutokujibiwa kwa kiwango hata zaidi ya hichi na nchi kama Iran. Tena hapo washirika wa Iran wametulia, ikitokea wameingia utasema tena USA hakutegemea hilo na wakati ni possible? Ukiivamia nchi ndogo ya Africa halafu ikajibu kwa ukubwa kuliko uwezo uliodhani wanao ghafla Russia karespond, China karespond hapo utasema haikutegemewa, ila Iran, lolote linawezekana, hata WW inaweza ibukia humo humo.
 
Hebu niambie ujinga wao ni upi? Nchi ambayo Myahudi anataka kuifuta kabisa vizazi vyote.......

Palestina kila raia anaroho ya Hamas, sababu kila mtu anapigania uhuru wa nchi yao,ndio maana watapoa baada ya mda watamka tena miaka yote wapo hivyo.

Nani ka kwambia ,mgogoro unavyo samba nchi za middle east zitaitenga Iran?maana mimi ninacho ona zitareview uhusiano wao na US maana anawagharimu kwa maamuzi yake ya kipuuzi yasiyo wahusu.
 
Israel na US missiles na interceptors hazitoisha?
 
Hamas alikuwa upande wa Iran, Iran leo anaishambulia kila nchi ya Middle East, je baada ya hii vita Issue ya Palestine itakuwaje.

October 7 ilikuwa kosa kubwa la kimkakati
Good;! Acha Iran apambane hadi tone la mwisho, inshallah Mungu atawasaidia kwa namna yoyote
 
USA aliwaomba UK watumie kambi zake kushambulia Iran ila walikataa hata kabla ya vita kuanza.

Lakin kwakuwa Iran ameishambulia kambi ya UK huko Cyprus wameiruhusu Marekani kutumia hizo kambi kwa oppereshen zao.

Ni kwamba kwa sasa we Iran afurukute, akishamaliza makombora yake ndio ataelewa kumbe vita ni akili
 
Mgumu kuelewa.
Vita ya siku kumi na mbili Iran alianza kuretaliate kwa kumpiga Myahudi, then mishoni akattack kambi moja Qatar.

Round hii US na Myahudi waliamini baada ya kuattack, Iran angeanza kurusha mabomu kuelekea ardhi ya Myahudi, ila yy kaanza kwanza kushambulia kambi za jeshi za US zilizopo kwenye middle east kambi zaidi ya 27, then baadae ndipo akaanza na Myahudi So strategy ya kwanza na ya pili ni tofauti hata US hakutegemea, maana round ya kwanza hata meli ya Lincoln haikuguswa now Iran kaifumua mabomu manne kwa mujibu wa DW yalihit target.
 
USA alishajua na yote hayo Iran alikuwa anasema mkitushambulia sisi tunashambulia base zenu huko.
Kama ulifuatilia USA alianza kuondoa staff wake kwenye hizo kambi

Kama unategemea Iran atadumu kwenye huu mchezo kwa muda mrefu sahahu. Ana wiki mbili tu mbele za kujimwambafai baada ya hapo atatepeta sana
 
Kambi zao nyingi zime haribiwa ,lile meli la Lincoln linabeba meli 90, jana imepigwa mabomu manne lazima wangeomba msaada ,saba hizo ndege hazina pakutua. UK hawezi kumkatalia US ,ila inaonekana mwanzoni US aliwa under rate Iran na hakutegemea hii retaliation na member wa NATO washaanza kutoa misaada kwa US ,wakutumia meli zao na kambi zao.

Vita ni akili kweli ila akili peke yake huwezi shinda vita, sema hana washirika basi. Ila akili Iran anayo sababu hata US hawakutegemea,mpaka anaomba msaada kwa washiriki wake tayari US amesha zidiwa akili, ila sema tu NATO wote kwa US ni waoga na lazima wakubali.
 
Kwanini unasema haikutegemewa? Hapo ndo swali langu lilipo, Nchi kama Iran haina uwezo wa kufanya hili mpaka uhitimishe kuwa haikutegemewa? Kwanini isiwe kwamba ni possibility za gharama za kuivaima Iran ambazo USA iliweka possibility ya kukutana nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…