City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Jamaaa ushaanza kutangaza kambumbu!!! Kunywa maji kidogo!!
Mdogoe ndio mdogoye? Karibu sana mkuu ulipotea. Nakumbuka vita yako na walokoleπJamaaa ushaanza kutangaza kambumbu!!! Kunywa maji kidogo!!
Propaganda nyingi kuusu kuendelea kushambuliwa kwa Iran jiongeze ndugu..Aiseee
Ila Iran inakuwaje anaruhusu ndege za wengine ziingie anga lake?
Asante. Leo ndio nimelejea upya ila polepole mkuu tupo pamoja.Mdogoe ndio mdogoye? Karibu sana mkuu ulipotea. Nakumbuka vita yako na walokoleπ
Bado kosugi nae kapotea
Vita yako na walokole imeisha au bado ipo mkuu? πAsante. Leo ndio nimelejea upya ila polepole mkuu tupo pamoja.
Yoooh! π±π±Netanyahu chief of staff Tzavi Braverman IS ELIMINATED.
Mdada wa watu Daah apumzike salama πππ
Ubaya wa vita ndio huu, pande zote huwa wanakufa hata wasio na hatiaMdada wa watu Daah apumzike salama πππ