Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mke wa Khamenei amefariki kutokana na majeraha ya shambulio la juzi.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel wamedhamiria kumuua Naem Qassem kiongozi mkuu wa Hezboullah. He watafanikiwa? Tusubiri
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-02_17-33-32_0.mp4
    1.3 MB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel limetoa taarifa rasmi ya kuuwawa kwa Hussein Maqlad(mkuu wa intelijensia wa hezboullah)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…