Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nahisi haya mashambulizi ya issel tunayo ambiwa yanalenga zaidi MAENEO ambapo vyuma vya Iran vinatokea wakimaliza hapo kazi itakuwa imekwisha.

Japo Iran nampongeza kwa kuonesha kupambana
Vita sio Sindimba,vita na Iraq imekatika miaka nane na huyo Iraq hana tech wala uwezo wa kijeshi kama waliokuwa nao Iran, hii ngoma bado mbichi sana ndio kwanza imeanza kimasihala hapa wanaweza toboa hata miaka 20.
 
Vita sio Sindimba,vita na Iraq imekatika miaka nane na huyo Iraq hana tech wala uwezo wa kijeshi kama waliokuwa nao Iran, hii ngoma bado mbichi sana ndio kwanza imeanza kimasihala hapa wanaweza tobacco hata miaka 20.
Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesi
 
Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesi
Kuangusha utawala wa Iran ni hadi jeshi likanyage ardhi.

US na Israel mategemeo yao makubwa ni wananchi wamalize show, lakini wananchi wa Iran hawatabiriki maana wamejitokeza mamilioni kulaani baada ya Ayatollah kuuawa.

Operation desert storm ya kumtoa Sadam, nchi 42 zikiongozwa na US zilivamia Iraq.
 
Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesi
Hawana uwezo huo, nchi za ulaya uchumi wao kwa sasa haupo stable Corona na Vita ya Ukraine imeharibu uchumi wao, ndio maana hata NGO nyingi za kibongo zina hali mbaya. Hii vita atapigana mwenyewe US na baadhi ya nchi kama UK na Germany,ila hawa wengine wana hali mbaya sana. So hata wao wenyewe wanaweza sitisha sababu ya hasara. Vita gharama, vita ya Iraq US pekee yake katumia USD 3T.
 
Sasa wajigawe huku kuisadia Ukraine na kule Israel.
 
Tukio linalosubiriwa Kwa sasa ni unyakuo KWANZA
UNYAKUO NI MWISHONI! ! !


“Mara baada ya dhiki ya siku zile, “ ‘jua litatiwa giza, nao mwezi hautatoa nuru yake; nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’

“Ndipo itakapotokea ishara ya Mwana wa Adamu angani, na makabila yote ya dunia yataomboleza. Nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya angani, katika uwezo na utukufu mkuu.

Naye atawatuma malaika wake kwa sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho mmoja wa mbingu hadi mwisho mwingine.

Mathayo.24.29-31.NENO2025

“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;

nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’

“Ndipo watu wote watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu.

Naye atawatuma malaika wake wawakusanye wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka miisho ya dunia hadi miisho ya mbingu."

Marko.13.24-27.NENO
 
 
💥💥💥💥
Centicom: siku mbili nyuma Iran walikua na meli zaidi ya 11 kwenye ghuba ya Oman, lakini kwa sasa hawana hata moja. Serikali ya Iran ilikua ikitishia na kushambulia meli za kimataifa zinazopita hapo, kwa sasa hawana tena huo uwezo
 
Nchi za gulf state zilishirikiana na Saudi kuomba US kuishambulia Iran, wakionaIran ni kama tishio .

Kumbe Saudi Arabia na gulf states wanahusika na njama za kushirikiana na Israel kuiomba US kuvamia Iran kijeshi.

Mwezi uliopita Mohamed Bin Salman kiongozi wa Saudi alimpigia simu Trump mara kadhaa akimuomba kuishambulia Iran.

Benjamin Netanyahu pia aliendelea na kampeni yake ya muda mrefu kuiomba US kuishambulia Iran.

Aisee kumbe ndio maana Iran inapiga UAE, Saudi n.k
Kumbe jamaa snitches.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…