Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Two wrongs do not make a right. Anashambulia airport sio sawa. Apige hizo base za USA.
Base kamaliza.
Hao majirani ni washenzi, acha wapigwe wapate akili.
Hamuwezi kufanya njama kuua top commanders karibu 30, wanasayansi, na kiongozi wao, wamewakosea kitu gani?

Hotel ina thamani kuliko uhai wa watu na airport?
 
Sasa mbona hakuna madhara?

Madhara ya Israel kwa Iran tunayaona….
We unahisi Iran wanajuaje sehemu Fulani kuna Bunker, sehemu Fulani CIA wamejificha, sehemu Fulani wanajeshi waliokimbia kambi wapo etc.

Wakati wanapiga base za Marekani, Askari walikimbia wakapewa hifadhi kwenye Hotel, Ghafla tunaanza kusikia Drones zinapiga Hotel na watu wanadondoshwa.

Huko Israel kila anapopiga ni sehemu Muhimu, Hapo Barsheba hatujui kapiga nini ila viongozi kibao wametoka na kwenda emergency kubwa soon tutajua madhara.

Na wao pia wapo vizuri ndio maana kila kichochoro cha Israel wanakijua.

Ukikaa kuangalia media za Magharibi kamwe huwezi one KAZI ya Handala, hao jamaa niliwavulia kofia walitoa mpaka video za wale Mawaziri shoga wa Israel, na wanadai tayari Wana Video za Trump za Epstein, take your time wafollow twitter ama soma habari zao.
 
Base kamaliza.
Hao majirani ni washenzi, acha wapigwe wapate akili.
Hamuwezi kufanya njama kuua top commanders karibu 30, wanasayansi, na kiongozi wao, wamewakosea kitu gani?

Hotel ina thamani kuliko uhai wa watu na airport?
Sawa.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora UAE. Waziri wa ulinzi wa UAE anasema kuwa wamezuia makombora hayo
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la bidganeh. Milipuko mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…