King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Time will tell.Mkuu hii sii kweli. Iran ana uwezo wa kuangusha ndege hizo za marekani & israel zinapiga huko. Lakini kwa sasa bado. Siku wakiangusha itakua ni moja ya ushindi mzuri kuangusha hizi jets ambazo ni stealth. Iran watafanya doc kuanzia hilo eneo zilipoanguka mpaka mabaki ya ndege
Wanajitetea tu. Si wangeacha wanaolipua wapoteze silaha zao.Kwanini Ayatola awakumuamishia sehemu salama mpka wakasubili akala kichapo
Mkuu kwanza hakuna media ya Israel imeandikwa hivyo. Pili ulichoweka ni vice versa, F-35i ndio imeangusha Yak 130 ya Iran.Time will tell.
π₯π₯π₯π₯
Video footage: Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la pasdaran. Mlipuko mkubwa
Ndio eneo pekee ?Malizia pia ndege za marekani zinatoka kwenye warplane ya uss Abraham Lincoln
Mkuu silaha ndio nyenzo muhimu wakati huu. Viongozi unaweza kuwa replace tu.Wanajitetea tu. Si wangeacha wanaolipua wapoteze silaha zao.
Hivi vitu media kubwa huvikuti.Footage captures the seventeenth wave of missiles launched as part of the "True Promise 4" operation, targeting positions of the zionist entity and its American ally.
Hapana, zipo zingine zinazotumika mfano za Saudi ArabiaNdio eneo pekee ?
Amka utajikojolea kwenye mkeka.Iran hii vita hatoboi. Maana alikuwa kwenye Panic Mode ya Muda mrefu ya kuvamiwa na Marekani.
Na Netanyahu Bibi anataka kuigeuza Tehran kuwe kama Gaza.
Muhajemi ataeleza kwanini alitoa silaha kwa HAMAS na kuwafundisha kuchimba Mahandaki