Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

The moment US submarine torpedoes Iranian Navy frigate IRIS Dana off the coast of Sri Lanka

The strike, which occurred on Tuesday, killed at least 80 people, Sri Lanka said
 

Attachments

  • VID_20260304_170921_138.mp4
    2.3 MB
Ayatollah ameachia watu msala🀣🀣🀣🀣
 
πŸ’₯😳πŸ’₯πŸ’₯
Iran imerusha tena makombora kuelekea Israel, tangazo limetoka kuingia shelters
View attachment 3552354
Hivi hao wazayuni hawajachoka kweli, maana wakitoka nje kupunga hewa dakika 2 ajisaidie, king'ora... mtu anakimbia kwenye shelter hata hajajisafisha... aisee mbona wana maisha magumu sana..


Na nimeamini maneno ya Iran kwamba Israel king'ora hakitonyamaza...
Hii vita lazima wananchi wanyooshe mikono, huko kwenye shelter kwenyewe hakuna usalama..
 
View attachment 3552353
Sasa hivi pac-2 missile (za 2000) ndio zinatumika baada ya pac-3 interceptor, moja ya Evidence kwamba USA ameanza kuishiwa interceptor.
Naona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.
 
Afadhali wao wanapo pa kujihifadhi, vipi Wairan walitelekezwa na karibu huku washakata moto πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…